Search results

  1. R

    I like to think am hardcore, but kwa huyu nilichemsha

    Congratulation Karucee. I like the way you express youself. You are a good story maker
  2. R

    sababu zipi za msingi kuishi na mme wa ndoa wakati naweza jitegemea sasa

    Adamu alikuwa na vyote alivyohitaji katika bustani la Edeni lakini bado Mungu alioona kuna jambo si zuri (upweke wa kutokuwa na mwenza) na hivyo kumpa Hawa.
  3. R

    Taarifa ya msiba wa mama yangu mpendwa.

    Pole sana mkuu. Mungu akupe faraja
  4. R

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    mwaweza pia kutembelea KTN LIVE | KenyaMOJA.com kupata updates za matokeo rasmi na idadi ya majimbo yaliyosalia
  5. R

    CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    sikiliza kwenye dullonet.com/sports/kagame-cup-live
  6. R

    CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    Edson na rmashauri asanteni sana kwa link hii
  7. R

    Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

    Asante mwana mpotevu na wengine wote mliotupa updates za mechi hii. Hongera watanzania wenzangu. Hongera taifa stars
  8. R

    Msaada; Tshs 85Mil, inajenga Ghorofa??

    Mkuu, sitaki kukukatisha tamaa lakini ukweli kwa nyumba unayotaka ili ifikie angalau hatua ya kukalika andaa si chini ya mil 150. Mil 85 haitoshi. Bei ya vifaa vya ujenzi viko juu sana
  9. R

    Shamba la ekari 20 linauzwa kiluvya tondoroni

    Liko eneo gani specifically mkuuu
  10. R

    Ushauri juu ya marumaru (tiles )

    Tiba naona kama unauelewa mkubwa wa ujanja huu wanaofanya wachina kukwepa kodi ila nimeshangaa kuwa pamoja na uelewa huo haukuchukua hatua badala yake umekuja kulalamika hapa JF. Watanzania jamani tujitahidi kuchukua hatua kwa mambo kama haya yaliyo chini ya uwezo wetu. Binafsi nilimewahi...
  11. R

    Natafuta nyumba ya kupanga tafadhali help me out

    Mji una nyumba yenye vyumba viwil vya kulala, moja kati ya hizo ni self contained (ina choo ndani)Ina sebule, dining room, jiko na public toilet iliyotenganishwa na bafu. Pia ina nyumba nyingine ya biashara yenye frame mbili za duka, chumba cha kulala, veranda kubwa mbele na choo cha nje. Mji...
  12. R

    CHAD 1 - 2 Taifa Stars: Tanzania Kidedea!

    Stars 2 chad 1, dk ya 90
  13. R

    Nyumba inauzwa Ununio Beach

    Bora umeongeza sauti yako kumweleza. Anarudirudia neo serious buyer wakati yeye mwenyewe si serious seller. Anafikiri wanunuzi wote wako dar au Tanzania kiasi cha kumpigia na kutembelea site katika hatua hii ya wali. Fikiria ni nyumba ngapi zinatangazwa kuuzwa katika forums mbalimbali na hao...
  14. R

    Nyumba inauzwa Ununio Beach

    Matusi yako badala ya kujibu maswali muhimu yanatupa wasiwasi-hoja ujibiwa kwa hoja si matusi.
  15. R

    Wakazi wa Ilala kota watimuliwa kama mbwa; damu yaweza kumwagika

    Hivi ni wao tu ndiyo watanzania maskini wanaostahili kukaa kwenye nyumba za shirika la UMMA kwa zaidi ya miaka 40? Hivi maskini wengine tukifukuzwa kwenye nyumba baada ya kupewa notes tunapewa pia pesa za kupanga nyumba miezi mitatu? Hivi hizo pesa walizopewa wao ni mali ya nani na ni kwa nini...
  16. R

    Viwanja vinauzwa Gezaulole Kigamboni na Luguruni kwa Kolimba

    Shark asante kwa taarifa. Tuzuie kwa juhudi zote wanaotumia jukwaa hili kutapeli watu na ukweli unaposemwa wanakuwa wakali kama wamemwagiwa maji ya betri. This is a forum where we dare to talk openly
Back
Top Bottom