Search results

  1. C

    Tetesi: Mangungu akataa kujiuzulu nafasi yake Simba SC

    Baada ya Shetani kugundua kuwa siku hizi mapenzi haumizi tena kama zamani ndio akaja na mbinu nyingine ya kutuletea Simba SC Club na Arsenal FC
  2. C

    Ni wakati na sisi Watusi tutambuliwe kama kabila hapa Tanzania

    Kwa nini muitwe watusi. Au mna matusi na mnawatusi sana watu. By the way TZ hatuna uhaba wa makabila. Rudini kwenu Burundi mkapambane na CNDD, UPRONA, FRODEBU na Palipehutu–FNL Wakora waitu!
  3. C

    Askofu Malasusa anavuruga KKKT; namwona kama anaingiza dola kwenye kanisa badala ya kuingiza dini

    Kuna vitu unachanganya hapa. Kumbuka aliunga mkono hoja zake na sio vimada na ushirikina wake
  4. C

    Haya ni mambo 25 ambayo hujawahi kuyajua kumhusu paka

    Mbona hujasema paka "anakata gogo" kila baada ya muda gani?
  5. C

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Yaani shetani alivyogundua kuwa mapenzi hayaumizi tena ndio kaamua katuletea Simba Sc Club
  6. C

    Kuna mawaziri wana Sponsor Raisi atukanwe?

    Ushaambiwa na Gwaji boy kuwa Bashite alizungusha duara kuanzia primary, kisha form 4 akapata Fight For Food For Four years (yaani F5 za NECTA) halafu leo wewe umekaa unamsikiliza huyu jamaa. Kabla hujamsikiliza anayosema jiulize kwanza kichwani kwake kuna nini?
  7. C

    Maajabu ya bbc swahili

    Aandike vizuri wapi wakati huyu atakuwa amesoma chuo Madrassa kwa ustaz Maulid
  8. C

    Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

    Namshauri akae kimya kwa sababu hajui kama anabishana na majini:HYPERRACC::JAMMIN:
  9. C

    Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

    Acha ujinga basi wewe fala. Mtu yupo serious ana hali mbaya ya kiuchumi anaomba ushauri ili aweze kujisitiri halafu una mletea uchuro wako eti ajaribu Chadema. Kwani yeye kakuambia ni mfuasi wa Chadema? Hata kama angekuwa amejitambulisha kuwa yeye ni mfuasi wa Chama cha siasa. Kwani hakuna watu...
  10. C

    Uzi maalumu kuwaenzi Waandishi wakongwe kwa njia ya kuweka misemo au nukuu maarufu kupitia vitabu vyao

    Mkuu hii inasaidia vipi kuhusu kuporomoka kwa thamani ya shilingi yetu dhidi ya US dolar na sarafu nyingine za kigeni?
  11. C

    NEC yabadilishwa jina sasa kuitwa Tume Huru ya Uchaguzi

    Naona Chanzo Cha Matatizo(CCM) kinazidi kuongeza Matatizo ndani ya JMT. Mlichokifanya kwenye hili la Tume ya Uchaguzi ni sawa na kumbatiza mbwa ili awe mbuzi wakati ataendelea kuwa mbwa na sio mbuzi
  12. C

    Dogo ana miaka 17 tu tayari ana maisha mazuri na mpenzi

    Kwa hiyo maisha mazuri kwako ni kupiga picha kwenye maji na mwanamke mweupe kama huyo jamaa?
  13. C

    Urefu wa Mama Mjamzito

    Hapo watu wa afya wanataka kujua kama kweli mtoto atakayezaliwa ataweza kula urefu wa kamba yake kwenye dunia hii yenye changamoto nyingi au la.
Back
Top Bottom