Search results

  1. D

    Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

    Umeongea vema. Siasa za dini bwana, zinawafanya hata wautafsiri hovyo hovyo unabii
  2. D

    KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    Wewe ndo jitu zima hovyo. unadhani kujiajiri ni rahisi kama kutafuna Big G? Inahitaji taaluma au fani uliyonayo PLUS Capital.
  3. D

    KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    Mheshimiwa Mkuu wa nchi, ni msema kweli, na ni mpenzi wa Mungu. Alitoa tamko kuwa Baada ya uhakiki wa wafanyakazi hewa utakapokamilika ndipo ajira zitatolewa na Wafanyakazi wanaostahili kupandishwa madaraja watapandishwa. Alisema zoezi lingechukua muda mwezi mmoja na Nusu, lakini halitozidi...
  4. D

    KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    Mtaji wa kujiajiri uko wapi? hata hivyo mfumo wa elimu yetu haulengi kumuandaa mhitimu kujiajiri
  5. D

    Kutoka kuimba nyimbo za injili hadi mipasho

    Miaka ya karibuni baadhi ya waimbaji maarufu wa nyimbo za injili wamekuwa wakitumia mgongo wa uimbaji nyimbo za dini lakini ukisikiliza kwa makini waimbaji hao wamekuwa wakirusha vijembe kwa wengine kiasi kwamba maana ya halisi ya usanii wao inapotoka na kunakuwa hakupo zaidi ya kufanya...
  6. D

    Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

    Kuna Dada mmoja amemaliza UDOM haujui hata kuandika barua tuuu kwa Computer, yaan hajiwezi kwa kila kitu. Ni mzigo. Nashangaa hata hiyo dissertation kaandikaje.Mambo yenu ya spoon feeding
  7. D

    Kumbe Uturuki hamna Christmas!..

    Uingereza ndo kabisaa habari ya X -Mass hawataki kuisikia
  8. D

    Kumbe Uturuki hamna Christmas!..

    wapi kwenye bible au Quran kifungu hata kimoja kinachoonyesha Yesu/Issa bin Mariam alizaliwa tarehe 25. Dec
  9. D

    Suzuki Carry inauzwa

    Issue ni muda, kutumika au Uzima?
  10. D

    Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango

    Kila la kheri serikali yetu ya JMT chini ya JPM
  11. D

    Natafuta shule ya temple nifundshe

    Huyu Mwalimu atawafundisha watoto wetu vivyo hivyo Na temple yake
  12. D

    Magufuli aendelea kutumbua Majipu: Mkurugenzi Hospitali ya Ocean Road Asimamishwa

    kuwa Na busara. Watumishi wa chini wanakosa gani? kama wao wanapata maelekezo au wanabinywa ktk kufanya jambo flani nani wa kulaumiwa!? mbona Kiini cha jipu kiliisha ng'olewa na mtumbuaji
  13. D

    Kukamata meseji za mwenzi wako katoka nje ya ndoa

    Endapo nimebaini mume wangu ameshiriki tendo la ndoa nje ya ndoa na nimepata Meseji kama ushahidi je naweza fungua kesi kwa huyo aliyetembea na mume wangu?
  14. D

    Ukaguzi wa vyeti feki Serikalini umeanza rasmi, waanza na Walimu

    Hilo nalo jipu. Mamluki kibao wameajiria bila sifa na ndio maana madudu na utendaji chini ya kiwango vimetawala
Back
Top Bottom