Search results

  1. Menapitatu

    Natafuta data za mvua na joto ya kila mwezi kwenye mikoa ya Kagera, Dodoma, Tanga kuanzia 2006 mpaka 2016

    Data hizo pia unaweza kuzipata ofisi za Mabonde zilizo kila mkoa ofisi hizi zipo chini ya Wizara ya Maji
  2. Menapitatu

    Smartphone inauzwa

    uko wapi nikupe laki moja chap
  3. Menapitatu

    Kati ya UDOM na SAUTI wapi bora?

    Njoo SAUT tulijenge jiji la Mungu
  4. Menapitatu

    Yupi Msanii bora kwa mwaka 2017?

    Kiba katisha bhana na Ile kitu yake seduce me
  5. Menapitatu

    Hizi ajira mpya za Ualimu zilizotoka hazikufuata haki na hata kama wataendelea kutoa watafata mtindo waliouanzisha

    Walimu wa sekondari ni mwalimu mmoja tu kutoka chuo cha SAUT ndo kabahatika kupata ajira Jina lake ni Bahati
  6. Menapitatu

    St. Augustine university of Tanzania (SAUT), main campus malimbe Mwanza special thread.

    Hii penalty ya Ada mwisho tarehe 07/01/2018 nahisi nishafungwa hii penalt anapiga Messi wakati kipa ni kaseja wa kagera sugar
  7. Menapitatu

    Mshahara wa Disemba 2017

    Huu mshahara ndo mpaka January hivyo
  8. Menapitatu

    Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

    Unainusa kama ina kaharufu ubabadilisha kama Aina songa nayo mpka kieleweke
  9. Menapitatu

    Ijue Historia ya Kabila la Wapare

    Ujazungumzia uchoyo, nasikia ni wachoyo sana
  10. Menapitatu

    Dogo Kanitibulia Valentine Yangu, Wallah Nikimkamata Nauaa

    tutapata viwanda kweli kwa dizaini hii
  11. Menapitatu

    Kuchimba Kisima cha Maji

    Kwanza kabla ya kuchimba lazima uwe na drilling permit na baada ya kuchimba inakupasa uwe na water use permit hizi zote zinatolewa na ofisi said maji bonde LA wami ruvu ilioko chini ya wizara ya maji yangu ni hayo tu
  12. Menapitatu

    Msafara wa Rais Magufuli wakati akielekea Simiyu

    ,mzee wa kanda ya ziwa
  13. Menapitatu

    Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

    na picha sasa maneno matupu bila picha
  14. Menapitatu

    Mageuzi makubwa CCM

    halafu hivi kanumwaga nini mbona sura yake iko vile???
Back
Top Bottom