Search results

  1. B

    Utaziona Afrika pekee!

    Huyu Baba aliyetundika mobile phone kwenye sikio lake, natumaini anafahamu adhari ya radiation na itakuwa imezimwa. Vinginevyo anajitayarishia brain-tumor kwa tabasamu lake hilo!!!!
  2. B

    The Declaration of Resolve: We will defeat you!

    Thanks Mwanakijiji. You can count on us. I read most of your articles with tears on my eyes. Do not pay attention with Bluray and his like with their vain intellectualism. I think he belongs the class profiting with this looting of our nation. You can not twist history and try to liken every...
  3. B

    Saudi investors eye Tanzanian farmland

    Ndugu Yebo Yebo ninatofoutiana kimawazo nawe. Ndugu Jasusi heshima mbele kwa kuona ukweli ulivyo. Nafikiri hukuitaji kutoa mifano ya mbali ya Guatemala. Tembelea Kenya uone nani anafaidika na miradi mikubwa ya mashamba yanayomilikiwa na makabaila huko. Sio wakenya!!. Njoo kwetu Tz. Nenda arusha...
  4. B

    Kikwete siyo safi! - yes I said it!

    Asante Mwana Kijiji kwa taarifa na makala yako. Nashindwa kushangaa kwa balaa lililoingia katika nchi yetu kwa kipindi kifupi kupitia kwa viongozi wetu. Mungu inusuru taifa letu. Pamoja na hayo adhabu tutakayoipata sisi watanzania ni ile ya kuwachagua tena miaka nenda rudi watu hawa hawa. Sasa...
  5. B

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    PanguPakavu heshima mbele. Umesema ukweli. Hi DECI DECI sio kitu kingine ila ni ponzi scheme full stop. Katika ponzi scheme kawaida hufaidka wawekezaji wale wa mwanzo au niwaite wawekezaji wa first stages. watapata faida sawa, lakini ili mchezo uendelee kuzalisha faida inayoahidiwa lazima...
  6. B

    Zitto sasa apachikwa jina la 'DOWANS'

    Advocate Jasha, heshima mbele. Nakubaliana nawe. Nafikiri Ziitto kaingizwa mjini. Ama kwa kutokujua au labda mengine anayafahamu mwenyewe kama kweli hatagombea tena ubunge. Kwa vyoyote vile wapinzani wake wamefunga mabao mawili kwa mpigo. Kwanza wamemmaliza Zitto kisiasa na pili wamefanikiwa kwa...
  7. B

    Uso wake Michael Jackson umeshaoza kabisaa!

    Wanaomtetea Mike Jackson ama hawaoni au wana makengeza. Mwenye macho haambiwi tazama. kazi kwenu dada zetu mnaodharau maumbile mliyozaliwa nayo na kukimbilia mkorogo.
  8. B

    Umeme na Nishati: Tatizo sugu Tanzania

    Taifa letu liachwe kuendeshwa kiuenda wazimu!. Ni muhimu sasa watanzania waone ukweli kuliko kukubali kudanganywa tena na kuchonganishwa na wabunge waliowachagua kwa ajili ya kulinda masilahi ya watu wachache. Yaani ndiyo kusema mitambo ya Dowans isiponunuliwa nchi itawekwa gizani ili tu...
Back
Top Bottom