Search results

  1. Amigo

    "Dawa za Kulevya"za Manji si Dawa za Kulevya

    Nimeipenda hii nakumbuka wakati wa kampeni mheshimiwa flani saadam Rais wa Kuwait
  2. Amigo

    Katibu BAVICHA anapaswa kuisaidia polisi kwa kauli za kichochezi

    Hizi sio Kauli Za kichochezi au uchochezi haufanywi na Wenye kinga?????
  3. Amigo

    This is how whites manage the blacks; we need to change

    Robert UG says: I believe some of you will have come across this piece which has been floating around for sometime now via forwarded emails. Apparently its Genesis is an observation read on radio by American DJ Dee Lee, a black radio personality. Be Warned this material could be very...
  4. Amigo

    JF Exclusive: OC CID Kawe... (inahusiana na Dr. Ulimboka)

    everything goes with it otherwise you got it kama kahusika kwa njia moja ua nyingine lazima tu yatamrudia na akiwa hajuhusika basi ni kama ajali zinazo wapata binadamu wengine, je madakitari wataamini kama hajahusika na hali serikali imeshatangaza ubaya ubaya tu kwa madakitari kazi anayo
  5. Amigo

    Kibonde naona sasa akili imeanza kukuingia!

    Huyu kawaida yake hua anaongea bila kufanya tafiti na kujua ukweli uko wapi na ndio maana hua anaonekana kama Zuzu.
  6. Amigo

    Pinda ashindwa kupelekea madaktari wanajeshi ktk hospitali za DSM

    Team ya maafande wa JWTZ yatua muhimbili kitengo cha dharura ilikuto huduma kwa wagonjwa wanaofikishwa katika kitengo hicho na inasemekana kua katika madakitari hao kumi na moja ni medical doctors na saba ni specialist doctors. Hawa madakitari ni madakitari ambao walikua hawapractise medical...
  7. Amigo

    Majambazi wakamatwa Kigoma na Mzigo wa risasi

    Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamekamatwa na wanashikiliwa na Polisi Mkoani Kigoma wakiwa na risasi 1,200 za silaha za kijeshi aina ya SMG wakizisafirisha kwenda Mpanda mkoani Rukwa. Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma Mratibu Mwandamizi wa Polisi SSP Kihenya Mzulwa Kihenya...
  8. Amigo

    Kibonde kuhamia Al-Jazeera tv...

    Kama kalamba dume sharti tumpongeze kwani vyeti havifanyi kazi sisi wabongo ndio maana hua tunashindwa kuendelea issue ni kudeliver basi kama mtu kazi anaweza anapewa sio vyeti ndio vinaweza kuja baadae lakini hapa issue ni uzoefu na kuweza kudeliver basi. kaka nenda kapige kazi unaweza kuingia...
  9. Amigo

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    Hii ndio inaitwa nidhamu katika kufanya mageuzi ukiona kama kuna watu ambao watasumbua katika kazi ya mageuzi ni bora kuwatoa ili kazi iende kwa kuwajibika bado shibuda kiboko chake kinakuja maana alisha onekana mwanzo kuwa anashida tangu katika azimio la chama la kuondoka bungeni. ingekua...
  10. Amigo

    Meremeta & TANGOLD Revealed!

    Hiima hatua zichukuliwe hilo nalo neno maana tumechoshwa na kulindana uchafu wa mafisadi hata ikiwezekana hawa mafisadi pindi wanapo onekana ni kupigwa mawe tu jamii yote iwakatae.
  11. Amigo

    Hii ndiyo rekodi ya uchapakazi wa Lowassa

    ukweli unabaki pale pale jamaa hafai tunakubali kuna mazuri kafanya lakini baya moja tu linauwezo wa kufuta mazuri yote ndio maana hata marehemu Baba wa taifa alisha muona anadosari.
  12. Amigo

    Serikali kuanza kujenga barabara za juu kupunguza msongamano wa magari Dar!

    Hii kaka ikaa vibaya haijatulia kabisa, unalosema kweli kabisa barabara zimesha washinda za kawaida tu sasa hizo za juu labda lipewe kampuni kuweza kuzi manage maana wabongo wala hazitachukua miezi sita utasikia zimeeanza kuangukia watu.
  13. Amigo

    Jairo asimamishwa kazi

    Hiyo Ndio matokeo ya siasa Uchara maana lazima mbuzi wakafara apatikana ila Vinara wao wako mbali kama vile hawajui vile, hii ilitakiwa wote na Ngeleja wafukuzwe haraka na mafao yao yote pamoja mali zao zote wazikamate zirudi serikalini.
  14. Amigo

    JK: Sijawahi kusema serikali yangu itajenga Barabara kupitia Mbuga ya Serengeti

    ''Lairs should have good memories'' otherwise lazima wakubambe sasa huyo tunamuona coz ndio tabia yake, kwani aliwahaidi watanzania watakua na maisha bora lakini sasa hivi ni kila mtanzania na jiza.
  15. Amigo

    Unahitaji nini toka usa?

    kuwa Mmoja wa washindani leta vitu kitu kinacho hitajika ni ubora tu sema vitu vingi vya Bongo vinatatizo la ubora japo kua kuna vitu kibao tu.
  16. Amigo

    Nape: Bajeti Mbadala ya Kambi ya Upinzani inadhihirisha uongo wa CHADEMA

    Huyu jamaa anatapatapa tu amekua kama marketing Manager wa makampuni ya simu. Hana jipya atasema kupiga simu bure, ukiweka vocha unapata dakika za bure, ukituma pesa kwa kutumia jia ya simu utashinda zawadi, ndio vitu tulivyo vizoea kutoka kwake.
  17. Amigo

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Kilimo Baba kinatoa sema wabongo ndio kwanza hatujishugulishi tunataka kupiga hela za fasta fasta Kaka kazana jembe litakutoa bila kusita.
  18. Amigo

    Tamko la Ikulu juu ya Richmond

    wee bwana Luhanjo hatutaki siasa mambo yako wazi tunachotaka hatua ndio zichukuliwe sio siasa, hapa hatukuelewi.
  19. Amigo

    Dr Slaa jenga chama

    Kwa hili lazima CDM waliangalie lazima kujipanga kuweza kuwa na ofisi au coordination ya njia moja au nyingine sio lazima kufata njia ya CCM kwani Ofisi nyingi ni kweli zilitaifishwa na zingine zilijengwa kipindi cha chama kimoja na watanzania wote walichangia na pengine kukatwa kwenye mishara...
Back
Top Bottom