Search results

  1. Edson

    Pumzika Sanctus Mtsimbe, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza. Asante Kutuachia Hazina Kubwa ya Maarifa Humu JF Tutakuishi Milele!. Pumzika

    nimeumia kwa kifo cha mtsimbe...miaka ya 2009 na 2010 aligusa maisha yangu sana...RIP
  2. Edson

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    ooooh...lala salama..hadithi yako ya maisha ni nzuri sana
  3. Edson

    Rais mrejeshe Kalemani wizara ya nishati Uchumi ukue

    nhi imewekwa chiniya ulinzi (state capture) na genge la watu 8. ..
  4. Edson

    Msiba wa Lowassa ni gunia la misumari kwa Kikwete

    kuna picha nimemuona kainama kichwa tuu.. mwanzo mwisho....
  5. Edson

    Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

    watoto wangu wakirudi shule huwa nawauliza maswali haya: 1. siku yako ilikuwaje 2. kitu gani kipya umejifunza leo? 3. kitu gani hujakipenda siku ya leo? 4. hapo shuleni kwenu kuna sheri ipi ambayo unaona haiko sawa? 5. kuna mtu amekukorifisha leo? 6. ulipocheka shule kwa saut kubwa nini...
  6. Edson

    Hatimaye Boss kaoa

    huna X-factor na pia you are not '' the woman of substance'' jamaa nilimuuliza swali kwa nini kakuacha akanijib hivyo....na ni kweli mate hufai kuwa mke wake...
  7. Edson

    Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

    huo mkasa ni kweli ila hakutoka kama ulivyoeleza .. bali mwalimu alituma jasusi mmoja pale monduli kwenda kufatilia mkasa ule na kuchunguza.. riport ilipofika ofisini kwa mwalimu ile ripoti haikukidhi mataraijo ya mwalimu kwa ilikuwa hafifu na duni kwa mwalimu kuchukua hatua... mwalimu...
  8. Edson

    TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha afariki dunia

    bangusilo..lala salama
  9. Edson

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    Mungu amuweke mahali pema peponi..Amina..
  10. Edson

    Wanafunzi wa kike shule za sekondari nyingi Mtwara wanadanga na wazazi ni kama wamebariki kabisa

    mwanangu kaanza class one akiwa na miaka 3 na miezi 7 . now yuko form 2. anaemfuata kaanza akiwa na miaka 4 now yuko la 5
  11. Edson

    Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

    NIMEFURAHI SANA..nilinusurika siku hiyo
  12. Edson

    TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

    hata huo mwili wa marehemu hakuufanyia Autops badale yake alifanya postmoterm
  13. Edson

    Mke wangu ananiletea Usuperstar

    mama mtu ni kutoka mikoa ya kanda ya kati??
  14. Edson

    DOKEZO Walimu wa Shule ya Gisela (Ukonga) tuna hali mbaya, hatulipwi mishahara wala malipo ya NSSF

    mara nyingi matatizo haya huwa yanasababishwa na: baba: mkurugenzi wa shule mama: mkuu wa shule mtoto: mhasibu mkuu ukikuta shule iko hivyo, basi walimu MPAKA MSEME....
  15. Edson

    Rais Samia: Tuna ‘crisis’ ya umeme, tunafanya ukarabati wa mashine

    MAREHEMU ANASINGIZIWA KILA KITU....kwamba hakuwa anakarabati mitambo..
  16. Edson

    Marriage is not for everyone

    mara zote ukitafuta mke hali hii hutokea..lakini ukikutanishwa na mke utaishi vizuri na mkeo/ mumeo.. wengi mnatafuta badala ya kukutanishwa...... bible imeweka wazi kabisa kwa si kila mtu ni wa kuoa au kuolewa... .NB: mke kukimbia na vitu vya ndani na kuacha watoto wake...
  17. Edson

    Ghafla Wananchi wamekuwa na Imani kubwa sana na Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Biteko

    wanajiandaa kUMUUA kama walivyofanya kwa filikunjombe.....
  18. Edson

    Hakuna mwanasiasa/Rais aliweza kupambana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na akashinda!

    kutoka ndani ya korido za vatican 1 . dubai wakipewa bandari mfumo wa udini utakua kwa kasi na kuleta mpasuko mkubwa 2. kuna agenda ya siri nyuma ya bandari kwamba wakishaingia rasmi.. taratibu watahakikisha mfumo wa utawala na uongizi nchini unatoka dini ya kiislam... 3. vikundi vya kigaidi...
  19. Edson

    Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

    kizazi cha sasa kina uwezo mdogo sana wa kufikiri mambo..... Dr slaa amekuwa wazi kwenye misimamo yake tangu enzi na enzi.... na ni mtu anaetetea maslahi ya taifa.. kuvuliwa hadhi ya ubalizi kwake hakuwezi kumyumbisha....
Back
Top Bottom