Search results

  1. Nyati

    Msaada Chuo cha Ualimu Masomo ya Biashara

    Wakuu Naomba Msaada wa kujua chuo kinachotoa Elimu ngazi ya Diploma Upande wa Masomo ya Biasahara yaani Commerce na Bookkeeping. Naomba kujua pia kama ni chuo cha Serikali AMA cha Binafsi naomba kiwe kinatambulika yaani kilichosajiriwa na Mamlaka husika. Aksanteni Sana
  2. Nyati

    Fundi wa umeme wa gari - Dodoma

    Wakuu habari za kazi, Jamaa yangu gari linamsubua baada ya kusafisha / kuosha Injini ya gari. Tatizo ni indicators zinasumbua, mara ziwake mara zisiwake. Naomba kama kuna fundi mweledi aliyeko Dodoma nisaidiwe namba yake
  3. Nyati

    Ni rangi ya Kampuni gani na aina gani inayofaa kupaka kwenye mabati?

    Wakuu habari za Miangaiko, Mabati yangu yameanza kupauka hivi na kuweka vitu vinavyoonekana kama kutu hivi. Nataka kupaka rangi hivyo naomba uzoefu na kujua rangi ya kampuni / aina gani hasa inafaa kwa kazi hii. Ama uzoefu na ushauri mwingine wowote Natanguliza shukrani za dhati Nyati - Mikumi
  4. Nyati

    Wasafirishaji Mizigo Mikoani wenye ofisi Mbezi - MORO Road AMA Kibaha

    Wakuu naomba kama kuna mdau anawafahamu Wasafirishaji waaminifu walio na ofisi katika maeneo ya Mbezi hadi Kibaha anisaidie nina mizigo michache nataka kuisafirisha. Natanguliza shukrani za dhati
  5. Nyati

    Tujuzane maeneo ya Matrafiki Kutupiga - Cash cows

    Kwa kweli wamekuwa kero na hali ni ngumu kuelekea sikukuu, jamaa nao wameamua kuongeza ubunifu na hivyo kuwaliza wengi. Tusaidiane kujua maeneo hayo hasa ya kudumu ili kuokoa kilichoko mifukoni mwetu. Nao wapambane na hali zao. Naanza 1. Njia panda Banana - Ukonga - Dar Es Salaam Kama unatoka...
  6. Nyati

    Ndg. Livin Amandus Singeu, nina ujumbe wako...

    Wakuu, Habari za majukumu mbali mbali. Kama unamfahamu huyu jamaa njoo inbox kuna ujumbe wake wa muhimu ili uweze kumfikishia. Kuna mahali amesahau kitambulisho chake cha Uraia wa Tanzania Bara (NIDA).
  7. Nyati

    Msaada kada ya Afya - Mtoto

    Wakuu heri za sikukuu, Naomba msaada===> Watoto wadogo kichwani uwa wanasehemu ambayo uwa inabonyea ukiangalia wakati amekatwa nywele ni kama vile ina tweet - yaani kama inapumua vile ama kitu kama hicho. Hivi hiyo kitu huwa inaitwaje kitabibu, na je inatakiwa iache mtoto akiwa na umri gani...
  8. Nyati

    High Court: Appointment of IEBC returning officers illegal

    Mahakama yasema mchakato wa uteuzi wa wasimamizi wa uchaguzi ulikuwa batili. ======== The process that led to the appointment of constituency returning officers and their deputies is illegal, High Court has ruled. Judge George Odunga on Wednesday found that the Independent Electoral and...
  9. Nyati

    Hoteli au Lodge gani ya bei ya kati Morogoro?

    Wakuu Salaam, Jamaa yangu anatafuta sehemu nzuri yenye usalama na ya bei ya kati say Tsh 30,000/ - 50,000/= katika mkoa wa Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi wiki ijayo. Msaada wowote unakaribishwa na shukrani zinatangulizwa
  10. Nyati

    Msaada wa Vifaranga vya Kuku wa Mayai

    Wadau, Salaam, Naomba msaada wa jinsi ya kupata vifaranga vya kuku wa mayai. Mimi nipo Dar Es Salaam, natanguliza shukrani za dhati.
  11. Nyati

    Kidnapped Tanzania clerics freed in DR Congo

    Six Tanzanian Muslim clerics taken hostage three weeks ago by a Congolese militia group in eastern DR Congo have been freed following a gun fight with government troops. The Mai Mai militia kidnapped the Muslim preachers from a road not far from the regional capital, Goma, and sought a...
  12. Nyati

    Hii inatuhusu soma na Jadili - Tanzanian women endangered

    By Kizito Makoye Dar es Salaam (Thomson Reuters Foundation) - Lydia Daudi saw no other choice than to end her six-week pregnancy to spare her deeply religious family from the shame of a pregnancy before marriage. With the help of a friend, the 26-year-old student at the College of Business...
  13. Nyati

    Vifaranga vya kuku wa nyama

    Jamani kuna jamaa yangu anaangaika na jinsi ya kupata vifaranga bora visivyosumbua. Yeye amekuwa akinunua vifaranga toka sehemu makampuni mabli mbali lakini mara zote ( kama 3 hivi) ama vinakufa sana ama vinakuwa havikui vizuri. Naomba mwenye uzoefu ajaribu kusaidia hapa ni kampuni gani hasa...
  14. Nyati

    Remembering Precision Air vs Dr. Lwaitama

    Wakuu nipo mwanza Airport naona Dr. Lwaitama naye yupo hapa na ana ticket ya Precision kuelekea Bukoba, ngoja nitawataarifu kama atapokea maelekezo kwa Kiingereza ama atakataa tena tuwezejua kama dawa ilimwingia vizuri ama la. Tumeisha- "check in" tunasubiri kupanda baada ya saa moja kama MUNGU...
  15. Nyati

    Ulaghai wa punguzo la nusu bei Shoprite Mlimani City

    Jamani aliyetangualia katangulia kwani wenzetu wamekuja na mbinu nzuri ya kupata wateja hapo Mlimani City. Wanasema kuwa vitu vyote wanauza nusu bei, wabongo wameingia kichwa kichwa na sasa baadhi yao wameonja joto ya jiwe. Kumbe unapokwenda kuchagua vitu kwa mujibu wa dada mmoja aliyenionyesha...
  16. Nyati

    Ni Yupi huyu CHADEMA mwenye cheti feki?

    Jana bungeni kulikuwa na mjadala mkali dhidi ya vyeti feki vilivyozagaa huku nchini, ktk malumbano hayo wapinzani waliwashika pabaya sisiemu hadi pale mmoja wa mawaziri aliposema kuwa kuna mbunge mmoja wa chadema ana cheti cha kidato cha nne feki. Waziri Ghasia alisema .... "Baadhi yetu si...
  17. Nyati

    Kama umepangiwa Bukoba mjini ama unafanyakazi huko soma hapa

    Wana jamvi salaamu, Kuna mzee ana nyumba na shamba katika manispaa ya Bukoba anatafuta mtu wa kukaa hapo. Nyumba ina maji, umeme, inafikika kiurahisi (dala dala, taxi, boda boda, na pia kwa miguu kama unafanyakazi karibu) na ina eneo kubwa kama heka 1½ hivi anatafuta mpangaji ila anapendelea...
  18. Nyati

    Ogopa matapeli

    Mapema mwaka jana nikiwa safarini kikazi kigoma nilikutana na kisa hiki: Kuna daktari mstaafu anafundisha ktk chuo kimojawapo cha Afya mkoani hapo. Siku moja jumanne alipokea simu kutoka kwa mtu asiyemfahamu ambaye alijitambulisha kuwa alisoma na mwanae (akataja jina) hapo zamani, na alikuwa...
  19. Nyati

    Nauza Boda boda za asili

    Jamani mwenye kuhitaji kwa ajili ya kununua ama kukodi anipigie simu +9 0909 0909 Bei: Kuuza Tshs 47,000/= Kukodi Tshs 217/= kwa siku Maelewano yapo VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA Nyati
  20. Nyati

    Mtu wa ku-design Mpangilio wa Majengo

    Wakuu kuna jamaa yangu anatafuta mtu atakayetoa huduma ya ku-design layout ya majengo katika kiwanja chake yaani apangilie wapi ijengwe nyumba kubwa na wapi viwekwe vitu vingine. Natumaini wapo wataalamu wa hivyo vitu hapa janvini hivyo nawasilisha ili asaidiwe.
Back
Top Bottom