Wanaitafuta 70,000/= yako ndugu yangu. Yaani acha vyote hivyo mtu akutumie bure $1500 x 2550 =3,825,000/= ashindwe kukulipia hiyo 70K. PIa huko Majuu wana-scan huwezi pitisha hizo Dollar wakakuacha salama
Nakuelewa vizuri sana. Sitasahau tukio moja mwaka 2019, ambapo watu walivuna miwa na mihogo wazi wazi wakati wa mazishi ktk shamba la mfiwa. Nilisikitika sana na ilikuwa mara yangu ya kwanza kuona tukio kama hilo, lkn huku duniani kuna watu na viatu ndani ya muda mfupi miwa yote chali, alianza...
Kuwa makini kijana ebu soma hapa:
https://m.facebook.com/media/set/?set=a.1140885605943959&type=3 NA HAPA PIA: MAELFU WAHUDHURUA MAZISHI YA BALOZI JOSEPH CLEMENCE RWEGASIRA HUKO KANYIGO !!
Nimeamini wewe ni mmoja wa hao mnaonufaika na michango ya watu kwa kupewa mikopo lukuki isiyo na riba na kulipana posho lukuki, na pia kuwekeza kwenye miradi ya Pwagu na Pwaguzi. Kama eti michango haikuwakilishwa hilo ni kosa la nani hasa? Nyinyi si mna sheria ya kuwashtaki wasiowasilisha kwa...
Hebu acha hii, bwana mtu unapokea michango yake halali toka kwa mwajiri na asilimia yake - mtumishi halafu unachelewesha mafao yake eti hakuna barua ya kuidhinishwa kazini?!!!!!!!!!!!! Kwa nini usikatae michango yake kwa sababu hizo hizo? Mbona uwa wanapita kuangalia nani hajawasilisha michango...
Usichoelewa ni kwamba ukiwa na kiongozi mwenye vision nzuri, mwenye udhubutu na anayefuata maadili mambo yanaenda. Mifano ipo angalia wakati wa JPM ( Kwa maoni yangu), Mambo mengi yalionekana kwenda vizuri kwa kichwa kile. Mama anaendeleza miradi mingi iliyoibuliwa na kichwa kile kwa kutoa...
Kwa uwezo gani hasa ulioonyeshwa? Yaani mchezo mzima hakuna Mpira uliopigwa GOLINI halafu eti apewe timu? Ebu tuwe "serious" kidogo yaani mechi unayotakiwa kushinda usonge mbele unacheza OVYO hivyo halafu watu wanasema kwamba upewe timu moja kwa moja. Mmelogwa AMA?
Ebu angalia hapa
Kuna moja inaitwa TERMITE KILLER hiyo nayo inasaidia sana. Nunua lita moja TZS 35K - 40K. Chimba nje kwa kufuatisha msingi kama sm 50 hivi kwenda chini, changanya cc 30 kwa lita ishirini, mwanga kwenye hilo shimo ulilo chimba kama lita ishirini za mchanganyiko kwa mita 5-7 hivi hapo chini...
JAMANI hizo boxer za kumwaga Kariakoo zinauzwa hata hata za watoto wadogo zipo, machinga wanatembea nazo lukuki nyingi 3,000/=. Maskini alikuwa " at the wrong place at the wrong time". Nawaombea sana wazazi, ndugu, na marafiki MUNGU wetu awe nao ktk kipindi hiki kigumu kwa kweli. Kuanzia Oktoba...
Hakuna Reference Hapa huyu ni Bush Lawyer Mwenzio. Kama Sehemu imepimwa na kuwekewa JIWE (Beacon) ina maana kutakuwa na barabara ya viwango meter 10, 15, 30, 45, 60 hadi 242 (Moro Road). Huruhusiwi kufanya chochote humo (eneo la barabara) PERIOD. Kuanzia lilipoishia jiwe ni kwako, sasa huyo...
Sema ni makuballiano hakuna sheria hiyo kuanzia kwenye jiwe hadi jiwe la mwisho la kiwanja chako ni kwako inabidi ulipe kodi kila mwaka (yaani umekodishwa kwa muda wa miaka 33,66,99), hivyo wewe ndo unaamua ulitumie je kwa mujibu wa mashart uliyopewa wakati wa kumilikishwa, hayo madai kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.