Search results

  1. D

    Prayer to heal

    An elderly couple was watching TV when a TV evangelist came on air to pray for the sick. The evangelist said. "For those of you who are sick, I want to pray with you so that you can be cured of your sickness. Place your right hand on the part of your body that is suffering from disorder, and...
  2. D

    Marriage....!!

    Wondering whether this stuff could make ur day..........ha!ha!ha! When a man steals your wife, there is no better revenge than to let him keep her. Lee Majors After marriage, husband and wife become two sides of a coin; they just can't face each other, but still they stay together...
  3. D

    Marriage....!!

    Wondering whether this stuff could make ur day..........ha!ha!ha! When a man steals your wife, there is no better revenge than to let him keep her. Lee Majors After marriage, husband and wife become two sides of a coin; they just can't face each other, but still they stay together...
  4. D

    Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

    Mi nakumbuka walimu saa ya matangazo ya kwenda nyumbani utasikia kesho nataka mje na fimbo, mbolea, maua, miiba, jembe, dumu la maji, majani sahani ya uji husisaau yani utafikiri ndicho kinachokupeleka shule, na enzi hizo ukifaulu darasa la saba yani mtaa mzima watajua, bt siku hizi hata ukienda...
  5. D

    ATCL: Maiden/Launch flight at Arusha Airport

    Tupeni nauli jamani tuone ka niza ushindani
  6. D

    Please cheka kidogo!

    Don't sleep in the church A man who went to church with his wife always fell asleep during the sermon. The wife decided to do something about this. One Sunday, she took a long hatpin with her to poke him with every time he would doze off. As the preacher got to a part in the sermon where he...
  7. D

    Demu huyu anapenda kupiga mwiba!

    chapa mwendo....huyo yuko kibiashara zaidi si kwa ajiri ya mapenzi
  8. D

    Mafuta ya IPTL yamenunuliwa wapi?

    Tulichokua tunasubiri ni mitambo izimwe nchi iwe kizani ? Nguvumali nchi hii kila kitu kinafanywa kwa zima moto unakumbuka issue ya mabasi kupata ajali za kufululiza tamko likatolewa magari yenye chassis cha malori yatolewe barabarani, as if walikuwa hawajui kuwepo kwa haya magari b4 " ewe...
  9. D

    Nipeni Ushauri mwanana

    Ndugu yangu wewe si shabiki ni mpenzi ungekuwa shabiki kama mimi husingekuwa unaumia, shabiki yeye anafurahia mpira unavyochezwa wacheze manyema au yanga anayecheza vizuri ndiye anayeshabikia ukiona unaumia ujue umetoka kwenye ushabiki umeamia kwenye upenzi waulize ndugu zako wa bwawa la maini...
  10. D

    Hodi JF

    Karibu Mr angalizo nakupa, chunga vidole vyako kila unachokisema kuwa na data za kutosha sababu ni kuwa humu ndani kuna watu wa kila aina maprofferser mpaka siye wakulima najua unanielewa.....!!!
  11. D

    Miss Tanzania kuna nini jamani...?

    Maana hata dada hapo nyumbani kwangu nikimfunga kanga anaweza kucheza taarabu, kwa hiyo ana talent!! Siyo kwamba naichukia taarabu, hapana, ila kuicheza siyo talent. Ndugu yangu unayozungumza ni ya kweli au? basi Tanzania tunasafari ndefu bado hatujui tunatafuta nini hata huko miss world
  12. D

    Kujifunza ulaya, sawa! Lakini!!.

    While visiting England , Mr. Mrema the Chairman of TLP was invited to have tea with the Queen. He asked her what her leadership philosophy. She said that it is to be surrounded with intelligent people. He asked how she knows if they're intelligent. "I do so by asking them the right...
  13. D

    Natafuta chuma chakavu

    hata mbagala vipo vimejaa tele maeneo ya jeshini tuwasiliane...
  14. D

    Hodi Hodi...!!!

    Karibu mama jisikie huko nyumbani lakini hakupikwai huku...!!
  15. D

    ScanLink likitoka Mwanza kuja Dar lapinduka Gairo - Morogoro

    Napajua hapo mahali gari lilipo angukia wala hakuna kutafuta mchawi nani hapo, hiyo sehemu lami imekosewa mvua kidogo lami inateleza na polisi wanalijua hilo na wausika TANROAD wanalijua yani mvua ikinyesha kidogo tu hiyo sehemu magari yanaangukaga sababu si nyingine ni uzembe wa watendaji...
  16. D

    Unafanyaje ukifumania?

    Huku kwetu kila nyumba yoyote kubwa kwa kawaida inakuwa na nyumba ndogo pembeni ambayo ni CHOO kama unajua una nyumba ndogo elewa hiyo ni choo harufu na hadha yake yakubidi kuivumilia, Mwenye sikio na asikie
  17. D

    Rashidi Lema na hatima ya mashahidi katika mahakama za Tanzania!

    Yani haiwezi mwingia mtu yeyote akilini kuwa watu wote wale wameachiwa huru tujiulize wale askari walioenda kupika risasi kule tegeta na kumletea zombe maganda walikuwa wanafanya hili iweje? tujiulize kulikuwa na kundi la askari walikwenda msitu wa pande kufanikisha azma ya mkubwa au inamaana...
  18. D

    Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

    Zombe kaachiwa huru..................!!!!!!!!!!!!!!!!
  19. D

    Angalizo la Bank ya wanawake

    Napenda kutoa angalizo la hii bank ya wanawake Tanzania iliyofunguliwa hivi majuzi ni kwamba lengo kweli ni kuwasaidia wanawake au ni kama njia ya kupitishia hela za uchaguzi 2010 wadanganyika tuwe watazamaji hii bank haitafika 2011 utasikia sababu kibao or mara ilikuwa na mtaji kidogo or mara...
  20. D

    Hii ni Luku gani tena?

    hii nafikiri inapima ukweli wa mada uliyotoa ka unauakika nayo or!!
Back
Top Bottom