Hivi haiwezekani kwa sisi wadau kwenda migodini kuona na kujifunza hawa TMAA na Migodi wanafanyaje kazi ili tuweze kufanya maamuzi kwa Informations Kamili?
Ndugu yangu hii post ndio naiona leo. Kitaalamu sukari yako iko normal kwa kuwa binaadamu mwenye sukari ya kawaida huwa ni 3.9 mmol/L isishuke hapo hadi 7mmo/L isipande hapo. Ila ukiona unataka ipande kidogo kunywa Fanta Orange
Muanzisha mada hii, nakuomba uende kusikiliza mafunzo yao wanayotoa, jitahidi sana kuwa mtembezi wa mikutano yao, msikivu, ninakushauri sana wewe na maamuzi yako ndio viwe jawabu na si kuwahoji wadau ambao hawana majibu ya uhakika zaidi ya kukuangusha kimawazo.
Biashara ya mtandao ni biashara...
Kisukari kinatibika ikiwa kiko katika hatua za mwanzo kabisa, na dawa kuu ni kufuata masharti. Masharti ndio dawa kuu ya kisukari mimi ninacho na mara ya kwanza nilikuwa na 32.7 ikawa nikikijitahidi kushusha inafika 28 ila baada ya kuanza kufuata masharti ilishuka na kufika 11 hadi 2 ambapo...
Sio Ustaarabu kabisa mtu kaweka post yake ukiona haina mashiko kaa kimya sasa unapotukana na kuwa ona lasaba hawana maana wakati ndio watakao kuosha ukifa sio utu huo. Nadhani usomi ni kuongea lugha zenye kuonesha umesoma na si matusi kama shabiki wa timu ya mtaani. mtoa mada usivunjike moyo...
Kitomari nakushukuru kwa uaminifu wako mzigo nimepokea nasubiri kanga tu sasa najipanga nikuagize na bata mzinga na kuku pia hao ndio watoto wa bata bukini ulionitumia naanza kuwaandalia mazingira mazuri ya maisha ya majini muda si mrefu.
mimi namuelewa siri ya MLM/NM au biashara ya mtandao huwezi ongea na mtu kwa simu au kwa kuchat ndio maana anakuwa kama anaonekana mbishi kikubwa kama unahitaji kujua mawili matatu nenda alipokuelekeza ujue kinachoendelea, na yeye kusema hivyo haimaanishi anafundisha yeye yeye inaonekana ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.