Search results

  1. Konseli Mkuu Andrew

    Nasikitika ninaposikia mafanikio ya TAKUKURU kuwafikisha watuhumiwa mahakamani bila matokeo ya hukumu kwa watuhumiwa wa rushwa

    Kwa mujibu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara 107A(1) inayotamka kama ifuatavyo: "Mamlaka ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano itakuwa mikononi mwa Idara ya Mahakama na Idara ya Mahakama ya Zanzibar, na kwa hiyo hakuna chombo cha Seriikali wala cha Bunge au Baraza la...
  2. Konseli Mkuu Andrew

    Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa. Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo...
  3. Konseli Mkuu Andrew

    Ni muda sasa tunatakiwa kuwa na sheria inayomtaka Rais kuendeleza alichokiacha mtangulizi wake na sio kuendesha nchi kwa maono yake

    Katika mamia ya sheria nilizowahi kuzisoma hapa nchini Tanzania sijwahi kukutana na sheria inayomtaka Rais kuendeleza kile alichokianzisha mtangulizi wake, na badala yake nchi huwa ikiendeshwa kwa maono ya Rais aliyeoko madarakani.Tuna ushaidi kwa namna gani nchi imekuwa ikipoteza mamia ya pesa...
  4. Konseli Mkuu Andrew

    CHADEMA, Huwa inawasaidia vipi raia wenye kesi za jinai na madai dhidi ya Jamhuri kwa kuwawekea Mawakili? Au ndo wanaishia kuwachangisha tu?

    Kuna kesi nyingi sana zilizofanyiwa hukumu na ambazo mashauri yanaendelea na wengi wa watuhumiwa ni kutokana kaya masikini sana ambao hawana uwezo wa kuweka Mawakili katika Mahakaman mbali mbali.Kwakuwa CHADEMA ni chama kinachopigania haki na demokrasia , kina program yoyote ya kuwasaidia hawa...
  5. Konseli Mkuu Andrew

    Serikali inakiuka Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wafungwa

    Salaam wakuu. Ibara ya 11(2) ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inatamka kama ifuatavyo; "Kila mtu anayo haki ya kujielimisha, na kila raia atakuwa huru kutafuta elimu katika fani anayopenda hadi kufikia upeo wowote kulingana na stahili na uwezo wake" Hali ni tofauti...
  6. Konseli Mkuu Andrew

    Vita ya Palestina na Israel imekuja kuifunika suala la Urusi na Ukraine kwa makusudi

    Wazungu wanajua kucheza na akili za watu duniani, yaani wanaunda matatizo wenyewe ili kufunika matatizo mengine. Kuanzia mwaka 2019 dunia nzima kulitokea janga la Corona virus🦠😷 watu akili na masikio havikutaka kuona wala kusikia chochote tofauti na habari ya Corona na walifanikiwa kupitia...
  7. Konseli Mkuu Andrew

    Suala sio katiba mpya wala sheria nzuri

    Haya mambo ya kutokuheshimu sheria, kuna siku atatokea kiongozi katika moja wapo ya nchi hapa Afrika atakuja na mawazo ya kuzifanya National Parks yawe mashamba ya mahindi na kuteketeza wanyama waliopo. Kama tuu sheria zipo za kulinda rasilimali za taifa ila watu wanapeleka miswada(bills) ili...
  8. Konseli Mkuu Andrew

    Wazazi jukumu lenu lisiwe ni kuwasomesha watoto tu, jitaidini kuwatafutia connection. Dunia imebadilika

    Salaam Wakuu. Dunia ya sasa mambo yamebadilika tofauti na miaka ya nyuma , (nasikia) zamani ukisoma hadi level ya degree ilikuwa ni rahisi sana kupata nafasi ya kazi pasina na hata kujuana na mtu katika idara au taasisi fulani.Wazazi wa wakati huo jukumu lao lilikuwa ni moja kuwapeleka watoto...
  9. Konseli Mkuu Andrew

    Napendekeza taasisi binafsi ziruhusiwe kufanya uchunguzi katika Cyber Crimes

    Serikali kupitia wizara husika inapasa kufanya mabadiliko kidogo katika sheria ya uhalifu wa kimtandao ya mwaka 2015 yaani Cyber Crimes Act , 2015 kwani tangu ilipoanzishwa na kupitishwa na Bunge tarehe 22 .05.2015 polisi ndio wamepewa mamlaka ya kufuatilia uhalifu na uchunguzi juu ya masuala ya...
  10. Konseli Mkuu Andrew

    Kijana , kuwa mwanaCCM pekee sio suluhisho CCM inataka vijana wajenga hoja kwa maendeleo ya Tanzania

    Salam wakuu, Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wavivu wa mawazo kukimbilia kujiunga na Chama Cha mapinduzi kwa kuamini kwao itakuwa fursa ya kufanikiwa either kupata kazi serikali na sio kupata connection za deal kubwa kubwa kama tender katika idara kubwa kubwa utashi huo wengi hawajafikia...
  11. Konseli Mkuu Andrew

    Kama walimu wanalipwa mishaara kupitia NMB, benki yenu ni nani ataikuza?

    Salaam Wakuu, Moja kati ya mambo yanayonishangaza ni kuwa Chama cha Walimu Tanzania CWT walianzisha bank yao inayoitwa Mwalimu Commercial Bank ila ajabu no kuwa hadi Leo mishaara ya walimu bado inapitia NMB na mikopo pia wanakopa kupitia NMB. Napenda kuwaambia CWT kuwa wasitegemee maendeleo...
  12. Konseli Mkuu Andrew

    Tunavyojidanganya kuhusu mapinduzi huko Sri Lanka

    Salaam wakuu, Hivi majuzi kumetokea vurugu huko nchini Sri Lanka baada ya wananchi kutoka kila nyanja ya maisha kuingia ikulu ya Raisi na makazi ya Waziri Mkuu kuwataka kujiuzuru na hadi wakati huu bado wananchi wanaendelea kukalia makazi na ofisi hizo hadi pale viongozi hao watakapo jiuzuru...
  13. Konseli Mkuu Andrew

    Kupima wanafunzi wa kidato cha pili kwa kutumia division ni kuharibu mfumo wa elimu

    Kwa miaka kadhaa sasa baraza la mitihani ya taifa linatoa matokeo ya kidato cha pili kwa kutumia mfumo wa division tofauti na ule wa miaka ya nyuma wa wastani.Hii tasfiri yake kuwa mwanafunzi akiwa amepata D mbili na F saba au 9 basi anakuwa amefaulu kuendelea na kidato cha tatu na hatimae kuja...
  14. Konseli Mkuu Andrew

    Mtoto wa Msukuma apata 'A' zote kwenye matokeo ya kidato cha pili

    Wakati mnapigania elimu bure, nyie mnajua jinsi ya kuwekeza kwenye elimu bora. Namba 5
  15. Konseli Mkuu Andrew

    Serikali inawachukulia hatua gani waajiri wanaoipatishia hasara serikali kwa kufukuza kazi watumishi kihuni?

    Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for Mediation and Arbitration na mwishowe huwa maamuzi hufikiwa idara hiyo ya serikali hutakiwa kumlipa...
  16. Konseli Mkuu Andrew

    Dereva gari limemzidi uwezo, Leseni ichunguzwe

    Dereva gari limemshindwa kila kukicha ni kumtupia lawama dereva aliyepita eti ubovu huu wa gari ulisababishwa na yeye pamoja na wasaidizi wake amesahau naye alikuwa ni kondokta wa dereva mkuu, alishindwaje kumshauri.Chaajabu anaendesha gari ovyo ovyo bila hata ya umakini hasikilizi abiria ndani...
  17. Konseli Mkuu Andrew

    Serikali ya Rais Samia ije na mpango wa kunusuru wasio na kazi

    Kimekuwa ni kilio cha muda mrefu sana kuhusu ukosefu wa ajira hapa nchini kwa makundi yote yaaani wenye elimu za juu, kati na hata chini ,lakini serikali za awamu zote zijaona kama zimekuja na mpango mkakati juu ya ili kundi ili kulinusuru maana hatua ya sasa hali imekuwa ni mbaya kuliko...
  18. Konseli Mkuu Andrew

    Tasmini baada kuanza kwa mifumo ya usajili kwa alama za vidole

    Salaam Wakuu. Leo tujadili kidogo kuhusu matumizi ya mifumo ya kusajili simukadi kwa alama za vidole maana moja kati ya faida tulizokuwa tukiambiwa ni kwamba utaweza kuzuia hali ya uhalifu wa kimtatandao ambao kwa wakati ule ulikuwa umeanza kuota mizizi.Maswali ya kujiuliza: 1. Je mfumo huu...
  19. Konseli Mkuu Andrew

    Sheria inasemaje pale mtu anapokutwa na hatia?

    Salaam Wakuu, Niende kwenye maada tajwa hapo juu. Nafahamu kwa sheria za Tanzania Mahakama ndiyo imepewa mamlaka ya kumkuta mtuhumiwa na hatia na si chombo kingine.Swali langu ni kuwa Mahakama baada ya kumpa kifungo huyo aliyekuwa mtuhumiwa kuna namna yoyote na kutunza mali anazoziacha kama...
  20. Konseli Mkuu Andrew

    Wizara ya habari ili sio la kulifumbia hata kidogo

    Moja kati ya wizara ambazo kwa kipindi cha kwanza cha awamu ya tano binafsi naona haijaleta mabadiliko basi ni Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo chini ya Dr H Mwakyembe na naibu wake Mh Juliana Shonza. Wakati wa awamu yao tuliona wazi wamiliki wa tv na radio stations waliitisha press...
Back
Top Bottom