Search results

  1. Konseli Mkuu Andrew

    Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

    Blessed One, Mbelwa Kairuki. Mtu kazaliwa Tanzania ila siku alizokaa Tanzania zinahesabika.Blessed One
  2. Konseli Mkuu Andrew

    Nasikitika ninaposikia mafanikio ya TAKUKURU kuwafikisha watuhumiwa mahakamani bila matokeo ya hukumu kwa watuhumiwa wa rushwa

    Kwa mujibu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara 107A(1) inayotamka kama ifuatavyo: "Mamlaka ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano itakuwa mikononi mwa Idara ya Mahakama na Idara ya Mahakama ya Zanzibar, na kwa hiyo hakuna chombo cha Seriikali wala cha Bunge au Baraza la...
  3. Konseli Mkuu Andrew

    Katiba ya Zanzibar inasemaje ikitokea Rais aliye madarakani akafariki dunia, Makamu wa kwanza wa Rais ndio anaapishwa kuwa Rais wa Zanzibar?

    Baada ya Rais kufariki akiwa madarakani basi anayefuata ni makamu wa raisi ataishika nafasi hiyo
  4. Konseli Mkuu Andrew

    Katiba ya Zanzibar inasemaje ikitokea Rais aliye madarakani akafariki dunia, Makamu wa kwanza wa Rais ndio anaapishwa kuwa Rais wa Zanzibar?

    33.(1) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kwa: (a) kufariki; au (b) kujiuzulu; au (c) maradhi ya kimwili au kiakili; au (d) sababu nyengine yoyote itakayomfanya Rais kushindwa kutekeleza kazi za Rais, watu wafuatao, kwa mujibu wa mpangilio, watashika nafasi hiyo: (i) Makamo wa Pili wa Rais, au...
  5. Konseli Mkuu Andrew

    Katiba ya Zanzibar inasemaje ikitokea Rais aliye madarakani akafariki dunia, Makamu wa kwanza wa Rais ndio anaapishwa kuwa Rais wa Zanzibar?

    Kwa mujibu wa Ibara ya 33 ya Katiba ya Zanzibar Ibara ndodo ya .(1) inasema hivi Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kwa: (a) kufariki; au (b) kujiuzulu; au (c) maradhi ya kimwili au kiakili; au (d) sababu nyengine yoyote itakayomfanya Rais kushindwa kutekeleza kazi za Rais, watu wafuatao, kwa...
  6. Konseli Mkuu Andrew

    Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    sikia wakati ule tulishindwa tuu kueleweshwa vyema, wale hawakusaini mikataba ya manunuzi ya vifaa bali walipewa Memorundum of Understanding na sio Legal Contract kama tulivyoaminishwa
  7. Konseli Mkuu Andrew

    Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    vifaa vipo japo kuna kasumba ya kufanyia maitanance hivyo vifaa yakiwemo magari.Ndio maana nimeshauri livunjwe na kuwa kitengo kidogo
  8. Konseli Mkuu Andrew

    Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    kimuundo linaitwa Jeshi la zima moto na uokoaji, ambapo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limeundwa na kufanya kazi chini ya sheria namba 14 ya mwaka 2007 “FIRE AND RESCUE FORCE ACT
  9. Konseli Mkuu Andrew

    Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    namaanisha kikiwa ni kitengo ndani ya jeshi la polisi watafanya majukumu mengine wakati majanga yanapokuwa hayapo.Pia vitendea kazi vipo ila kuna kauzembe ndani ya ili jeshi
Back
Top Bottom