Search results

  1. N

    Jifunze kwa waliofanikiwa

    Tunapenda kumfikiria Mungu kama muumba, jambo ambalo ni zuri lakini upo wakati ambapo tunapaswa tumwone Mungu kama MFANYAKAZI-MWENZA. Tutazame jinsi alivyofanya kazi yake kwa muda wa wiki moja tu akamaliza mambo yake yote bila dosari yoyote, kazi ambayo mpaka sasa imedumu ili na sisi tuige...
  2. N

    Kamwe usifanye jambo kwa kushindana na mwingine

    Kamwe usifanye jambo kwa kushindana na mwingine kwasababu siku akifa huyo unayeshindana naye, na malengo yako yanafia hapo hapo..kwasababu aliyekuwa anakufanya uwajibike hayupo tena. Lakini ukijifunza kutimiza malengo yako, kwa kuzitazama ndoto zako, hamasa yako haitaathiriwa na mabadiliko...
  3. N

    Mume / mke bora kutoka kwa bwana utamwona ukiwa katika mazingira gani?

    Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze Neno la Mungu ili tupate maarifa sahihi ya kuishi hapa duniani. Na leo tutaona mazingira ambayo ukikaa katika hayo basi Mungu atakujalia umwone mke/mume sahihi aliyekuchagulia toka mbali. Tofauti na mazingira ya...
  4. N

    Kuwaogopa wanadamu huleta mtego

    SWALI: Naomba kufahamu maana ya mstari huu” Mithali 29:25 “Kuwaogopa wanadamu huleta mtego, ..” Ni mitego gani hiyo hukupata iwapo utamwogopa mwanadamu?. JIBU: Ukiendelea kusoma inasema.. Mithali 29:25 [25]Kuwaogopa wanadamu huleta mtego; Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama. Hofu ya kwamba...
  5. N

    Kwanini ndoa nyingi zinavunjika? (Sehemu ya 1: Upande wa wanaume)

    Katika siku hizi za mwisho, migogoro ya kindoa imekuwa ni mingi sana, kiasi kwamba ndoa kudumu hata mwaka mmoja, ni jambo la kushukuru sana. Kila kukicha mikwaruzano, hakuna amani, kila mmoja amemchoka mwenzake. Mpaka wengine kudhani huyo mwenzi aliyemuoa au aliyeolewa naye halikuwa chaguo...
  6. N

    Jehanamu ni nini?

    Jehanamu au Jehanum ni Neno lenye chimbuko la kiyunani Gehenna, ambalo limetafsiriwa kutoka katika lugha ya kiyahudi ge-hinnom Ikiwa na maana bonde la mwana wa Hinomu.. Hili ni eneo lililokuwa kusini mwa mji wa Yerusalemu, lililojulikana kama Tofethi ambao watu wasiokuwa wanamcha Bwana...
  7. N

    NINI TUNAJIFUNZA KWA THEOFILO MTUKUFU?

    Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia neno la Mungu wetu, ambalo ni taa iongozayo miguu yetu na Mwanga wa njia yetu. Leo tutajifunza juu ya mtu mmoja aliyeitwa Theofilo, ambaye biblia haijaeleza habari zake kwa urefu lakini amehusika pakubwa sana katika kuieneza...
  8. N

    Bonde la kukata maneno

    Bonde la kukata maneno ni nini? Biblia inatuambia kuna wakati unafika hapa mbele yetu ambao Mungu atayaleta mataifa yote katika bonde lijulikanalo kama bonde la kukata maneno, biblia imeliita pia kama Bonde la Yehoshafau ukisoma kuanzia mstari wa 12. Yehoshafua maana yake ni...
  9. N

    Utasimama peke yako siku ile

    Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe..karibu tujifunze mambo ya msingi katika safari ya haya maisha ya hapa duniani..biblia inasema dunia inapita, pamoja na tamaa zake zote, (1Yohana 2:17). Na siku ya hukumu siku moja itafika na kila mmoja atatoa habari zake mwenyewe…(Warumi 14:12). Wengi...
  10. N

    Samehe kutoka ndani ya moyo wako

    Moja ya dhambi zinazowaangusha wengi ni “kutokusamehe”. Na hii inatokana mara nyingi na kutokuelewa nini maana ya msamaha. Ni rahisi kujilazimisha kusamehe lakini kama msamaha haujatoka ndani basi huo sio msamaha. Ili kuelewa vizuri, tuchukue mfano una mtoto mdogo labda wa umri wa miaka 6 hivi...
  11. N

    Laana ya Yeriko

    Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze maneno ya uzima. Wana wa Israeli walipokuwa wanavuka Yordani kuingia Kaanani kama tunavyosoma habari walikutana na kizuizi kikubwa sana, nacho si kingine zaidi ya Mji wa Yeriko pamoja na watu wake ambao walikuwa hodari sana, majitu makubwa yenye nguvu, hayo...
  12. N

    Jifunze kuelewa maana ya kuoa/kuolewa kabla ya kuingia huko

    Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Kama wengi wetu tujuavyo, Ndoa ya kwanza ilifungishwa pale Edeni na Mungu mwenyewe. Na ilikuwa ndoa takatifu, iliyobeba msingi na dira ya ndoa nyingine zote zitakazofuata jinsi zinavyopaswa ziwe. Katika ndoa ile ilihusisha Mtu mume mmoja (Adamu) na...
  13. N

    Ewe mke! Heshima yako ipo kwa wakwe zako

    Heshima na Baraka za mwanamke uliyeolewa zipo kwa wakwe zako (hususani mama mkwe wako). Vitabu viwili vikuu vilivyoitwa kwa majina ya wanawake ni Esta, na Ruthu. Vimeitwa hivyo sio kwasababu tu Mungu anataka kupitisha ujumbe wake wa wokovu kwa kanisa, lakini pia upo ujumbe mahususi unaowahusu...
Back
Top Bottom