Search results

  1. N

    Kikwete kweli alikuwa wa Kimataifa: Umuhimu wa Lugha ya Kiingereza

    Watu wengi mnaishia kuropoka tuu Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  2. N

    Mwinjilisti amvaa Rais Magufuli, amuonya

    Mchungaji hongera kwa kutoa hofu na unafki na kuwa muwazi... watu siku hizi wamejawa hofu na woga kiasi cha kutofanya kazi sahihi na kufanya ili kulinda vibarua vyao visiote nyasi km wenzao.... Mungu atulindie Tanzania yetu na atupe hekima.... Amen
  3. N

    Kwanini Lowassa, Mbowe na CHADEMA kwa ujumla hawaungi mkono mahakama ya mafisadi?

    Usanii mtupu ccm hamna ukweli hata chembe
  4. N

    Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

    Kenyatta mashoto pia. Lakini walio wengi ni kulia bill Gates mwenyewe ni ryt handed..... mwajifariji tuu nq huo mtazamo was vichwa hapo juu ni wa Uwongo kabisaaaaaaaaaa[emoji46] Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  5. N

    Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

    Fikirini maendeleo Acheni utoto Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  6. N

    Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

    Hamna kitu km hiko koz akimpeleka Lowassa wengi watafuata hata huyo huyo alompoint out Makomeo atafungwa pia?? Acheni ndoto za alinacha Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  7. N

    Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    Hi nchi Mungu atusaidie tuu Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  8. N

    TANZIA: Christina Lissu afariki Dunia jijini Dar

    Poleni sana Ndgze name Familia yake. .... Mungu awajalie moyo wa subira name uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu na cha majonzi..... Pole sana Kaka Lissu. ... R.I.P Christina
  9. N

    Hii ndiyo amani Wanayoihubiri CCM

    kwenda weyeee mlipopiga kura xa maoni mlikaa kusubiri kutangaziwa alopita..... mlitumia kigezo gani???? hakuna atakayerudi home mpaka kieleweke nyie mafisiemu mrudi cye twalinda police hawatouwa wote hata ICC tutawapelekaaaaaaaaaa.... fisiemu rest in piece
  10. N

    Mwigulu Amfuta Lowassa Tunduma mchana huu

    ccm tunduma hamna lenuuuuuuuu
  11. N

    Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

    Asante ndg wewe ni kichwaaaaaaa hongera sana....... vilaza wana tabu sana....... yaani ni matusi kwa mwl
  12. N

    Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

    shida ya kutokufikiri mbali..... unahitaji ushauri was jinsi ya kufananisha watu.... magufuli hamfikii nyerere hata 1/8 tuuuuuuu....... hata kikwete magufuli hajamfikia
  13. N

    Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

    hata huyu c alijaribu kujiendelezea muda slaa akamuwahi???? hebu acheni uccm wenu wa kutudanganya..... cc ni Lowassa tuuuuuuuuu awe mkenya , mtz, mkongo, mrwandiz, mbirundi au nani we don't care what we want is ccm out of the way...... mnang'ang'ania nini????????
  14. N

    Tunaposema CCM ni ilele tunamaanisha

    Anaaibisha miye naonaga aibu kumuangalia....
  15. N

    Hata sisi tunamtaka mgombea tajiri wa urais sio maskini

    hata Mimi ccm ikishinda atakayenijia anilalamikie ntamwambia fata ccm wakusaidie maana hawa wanaleta mackini wao kuja kutajirikia ikulu km jaamaa anayetoka loooooh ni ngashokaaaaaaaaaa.... ccm ni yao cyo kwa manufaa ya wananchii ...... kwa pamoja tuwatoeeeeeee........ kila cku tutafanya haya...
  16. N

    Hata sisi tunamtaka mgombea tajiri wa urais sio maskini

    hahaahahaa umenifurahisha mnooooooooooooooo
  17. N

    MIMI DIASPORA: Muonjesheni Dk. Magufuli uongozi wa chama cha upinzani 10/25

    Tutamwonjesha mwaya ucjali........ keep on praying
  18. N

    NEC imepiga marufuku Mawakala wa Vyama kuwa na simu vituoni

    kwa kweli ccm wanatumia kila mbinu kurudi ikulu..... km ikulu Hanna lulu wanachosumbukia ninini??? c wanasema hao mbele kwa mbele?? basis watulie wajiamini.... miye ninkiwa wakala naenda na cm yangu na cha kwanza wakihesabu Tuu miye picha pwaaaaaaaa.....
  19. N

    Edward Lowassa kutodhuru makaburi ya Nyerere, Karume na Sokoine, kitendawili kipya

    hatuabudu mizimu jamani..... Kwani kuomba kwenye kaburi la mfu ni kuomba mizimu cc tunamjua mungu aliye hai
  20. N

    Je, UKAWA tusiposhinda urais 2015 na ubunge japo kwa 50%, plan B ni ipi?

    slaa cyo mungu pls acha hizo na km alishindwa kuongoza kanisa nchi ataiwezepi??? km mnamwabudu mrudisheni Tuu
Back
Top Bottom