Search results

  1. M

    Jirani yangu amekuwa akisumbuliwa sana na hawa mapepo wachafu

    Watu huwa wanakimbilia kutoa majibu rahisi rahisi badala ya kutafuta sababu za kisayansi. Mapepo/Uchawi/Mkono wa mtu ndiyo majibu ya wengi.
  2. M

    Naishindaje hofu ya kifo inayoniandama?

    Ondoa mawazo ya kufa kufa. Kifo kipo kwa uhakika. Usali, usisali haibadili lolote.
  3. M

    Nimefanikiwa kuacha kunywa soda

    Nyama ina shida gani?
  4. M

    Kanisa la SDA la Kirumba jijini Mwanza lawafuturisha waislamu!

    Mkuu wewe ndiye unayeamua dhehebu gani ni Wakristo na lipi si Wakristo! Pole sana kwa chuki hiyo. Usamehewe bure.
  5. M

    Tunajifunza nini kwa Kifo cha Mtoto wa Nabii Bushiri Aka Major 1?

    Yesu gani huyo unayemfananishafananisha na mtoto wa Bushiri? Kifo cha huyo YESU kilikuwa na maana kubwa. Hivyo si mfano sahihi.
  6. M

    Tunajifunza nini kwa Kifo cha Mtoto wa Nabii Bushiri Aka Major 1?

    Daudi hakuwa akiombea watu na kujitapa kama hawa manabiimamboleo.
  7. M

    Dhana ya kutokula nyama siku ya Ijumaa Kuu kwa wakristo ni imani potofu

    Ingependeza kama ungeweka hiyo aya ya Biblia hapa. Vinginevyo UNAPOTOSHA kwa kutuaminisha kuwa "Biblia inasema..." wapi na inasema nini?
  8. M

    Dhana ya kutokula nyama siku ya Ijumaa Kuu kwa wakristo ni imani potofu

    Wewe si mtii kwa amri za kanisa. Kwa maneno mengine umeliasi kanisa.
  9. M

    #COVID19 Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    Hii tafsiri inakanganya sana. Ulisema article ya kiingereza utacheka namna yalivyotafsiriwa kwa kiswahili hapa.
  10. M

    Niulize chochote kuhusu Gamboshi jiji la wachawi

    Umeandika lugha gani hii? Au ndo lugha ya Gambosi?
  11. M

    Nini faida ya kuwa Mpagani?

    Yaani kwa hilo jina lako, lazima iwe unatishiwa kuwa kuna moto mkali wa jehanum. Badili jina pia.
  12. M

    Utapeli kwenye makanisa

    Achana naye huyo. Nashangaa kuwa hata heading hakuisoma! Na huko ndo kutokusoma kwenyewe.
  13. M

    Utapeli kwenye makanisa

    Kila asomaye bandiko hili inampasa atafakari. Ni bandiko linaloelimisha. ASOMAYE NA AFAHAMU.
  14. M

    Askofu Gwajima, mahubiri yako ya jana tarehe 7 Machi, 2021 yana walakini

    Mpangaji ni mtu wa namna gani? Huwezi kumheshimu asiyeamini unachokiamini?
  15. M

    Shetani pia hukiri akishuhudia ukuu wa Mungu

    Mungu gani alisema ujisaidie na yeye atakusaidia? Naomba uweke hiyo aya hapa kama kweli ipo.
  16. M

    Nimeibiwa pikipiki zangu mbili, anayemjua mganga wa uhakika anipe ramani

    Mkuu, bado unaamini mambo ya kufikirika?
  17. M

    Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

    Ingependeza kama utaweka hayo maneno umeyatoa fungu gani ili watu msiwe mnarejea vichwa chenu badala ya biblia
Back
Top Bottom