Search results

  1. L

    Naomba kufahamishwa ratiba za CPA review class 2017

    Heshima mbele wadau, napenda kujua review za hapa City Center (DSM) na ratiba zao za masomo ya Final stage tafadhali.
  2. L

    Taratibu za kufuata mgeni kuingia nchini

    Heshima mbele wakuu, Ninategemea kupokea mgeni/raia kutoka nchi za ng'ambo, Ningependa kujua afate taratibu zipi akiwa huko kwao nami pia nifanye nini huku ili kurahisisha zoezi hili. Aksante wadau Lyandembela1
  3. L

    Uhusiano kati ya upasuaji na tumbo kuwa kubwa

    Heshima mbele wakuu, Shemeji yenu alijifungua kwa njia ya upasuaji mwaka na nusu umepita sasa, lakini kila uchao tumbo halipungui utadhani ana nyingine. Na nikumwambia atafute namna ya kupunguza kanambia kuwa mwanamke akijifungua kwa njia ya upasuaji tumbo haliwezi kuwa dogo kamwe. Je kuna...
  4. L

    Msaada kwa hili.

    Heshima mbele wadau, Nimepiga X-ray jana hapa Shree Hindu Mandal Hospital. Moja ya kipimo wanasema moyo umetanuka kidogo. Na daktari kashauri nipime kipimo kinachoitwa ECHO and EGC kwa uchunguzi zaidi. 1: Naomba kujua ECHO and EGC ni kipimo cha nini? 2: Nini kinasababisha moyo kutanuka? 3...
  5. L

    PCCB aptitude test result out

    Wadau habari zenyu, PCCB aptitude test result na majina ya Oral interview yametoka ndg zanguni. http://pccb.go.tz/images/stories/adverts/APTITUDE RESULTS.pdf http://pccb.go.tz/images/stories/adverts/CALL FOR INTERVIEW.pdf
  6. L

    Msaada wadau juu ya thread

    Heshima mbele wakuu, Kuna mdau au member humu ndani alichambua zile kesi ziliondeshwa na tume ya malidhiano ya afrika ya kusini. Kama sijakosea alikuwa Mh Mtambuzi. Ndugu nahitaji msaada wenu katika hili mwenye link ya ile thread. The Boss MziziMkavu King'asti Babu DC
  7. L

    Huku ni kutiana nukusi/mkosi au binti anahitaji kuolewa lakini hajapata?

    Heshima mbeele wadau, Kuna jamaa mmoja kapeleka posa kwa binti na mwz Dec au jan anatakiwa kwenda nyumbani kwa msichana kupeleka mahali. na binti yuko so desparate na ndoa sijui ndo mwaita harusi? wenyewe mwajua. Full kuwekana kwenye profile za FB, kwenye simu. Kutambulishana kwa ndg na jamaa...
  8. L

    Kufungua Biashara

    Habari wadau nahitaji kuanzisha biashara ndogo, naomba kujua hivi vitu ni nini na vinapatikana wapi? 1: Certificate of registration 2: Extract of registration 3: Valid business licence Natanguliza shukrani wadau.
  9. L

    Msaada wa mawazo

    Heshima mbele wakuu. Nina ndg yangu (Mdogo) wangu alioa kitambo sana, na toka aoe sijapata nafasi ya kuonana na shemeji. coz yeye anaishi hapa Dar na mimi ninaishi mkoani. na wana mtoto na mara ya mwisho alinambia mkewe ni mjamzito. Na kwa sasa nipo hapa mjini ningependa kwenda kuwasabhahi...
  10. L

    Usafiri wa Dodoma-Dar alfajili

    Heshima mbele wakuuu, Nataka kusafiri mapema kesho round saa 12 asubuhi. Gari gani nikipanda ntafika mapema saa saba Dar kutokea Dom. Natanguliza shukrani
  11. L

    Kazi TAKUKURU

    Heshima mbele wakuu naambiwa kuwa TAKUKURU wame tangaza kazi kwenye daily news la leo mwenye taarifa tafadhali. Wengine huku tuliko gazeti la leo tunasoma baada ya siku mbili. @Lyandembele 1
  12. L

    Habari ya mtambuzi katika gazeti la raia mwema

    Heshima mbele wakuu, Mdau Mtambuzi akiwa safarini Rwanda na Congo (DRC) alituletea yaliyojili huko. Sasa ninaona kile alichotueleza ndicho kilichomo katika gazeti la Raia Mwema,Toleo la 317 la tarehe Septemba 25,2013 Mwandishi akiwa Shabani Kaluse. Safari yangu mjini Goma, utanashati...
  13. L

    Nafasi za kazi Lake Tanganyika Tobacco Ooperative Union (LATCU Ltd)-MPANDA

    haya wadau nafasi za kazi Mpanda-Katavi. Lake Tanganyika Cooperative Unions
  14. L

    Waliosoma kiswahili A'level miaka ya 2000s

    Heshima mbele wakuu, Tafadhali kwa wale waliosoma Somo la kiswahili A'Level miaka ya 2000, Kuna hiki kitabu cha ushairi kinaitwa KIMBUNGA na shairi linaloitwa MFEREJI WA MARINGO, tafadhali aniwekee shahiri hili ndugu zanguni.
  15. L

    Eneo la chini ya kitovu kuvuta

    Heshima mbele wakuu na madaktari wote pande hizo. Huyu ni msichana wa umri wa miaka 28 analalamika kuwa chini ya kitovu panavuta, Wiki moja imepita trh 03/08 alikwenda Muhimbili hosipitali wakampima vipimo vyote, ULTRA SOUND, X-RAY pamoja na full blood picture kulingana na maelezo yake. lakini...
  16. L

    Filimbi na Ngoma usiku huu mitaa ya Dodama-Maili mbili darajani.

    Heshima mbele wadau, Nimekuwa nikisikia mara nyingi sauti za ngoma na filimbi mida kama hii haya maeneo ya Dodoma-Manispaa. Mitaa ya maili mbili na darajani hapa. Najiuliza ni ngoma za jadi au nini wadau tusaidiane katika hili. Wenyeji wa Dodoma.
  17. L

    Chuo cha MIPANGO mpaka leo wanabandika matokeo kwenye mbao za matangazo

    Habari wanajamvi, Naleta kwenu hii maneno tupate kushirukishana vituko hivi, Chuo cha Mipango na maendeleo vijijini mpaka wakati huu bado wanatoa matokeo ya mitihani kwa kubandika kwenye mbao za matangazo, wakati wanao ule mfumo wa "ARIS" na kitengo cha IT kipo chuoni pale na vijana wake katika...
  18. L

    Haya tangazo la sekeretarieti tarehe 26/03/2013 wameita.

    Haya wanajamvi walioomba kazi za za tarehe husika hapo juu. Document Details | TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI-MIKOANI http://ajira.go.tz/index.php?option=com_docman&task=doc_details&Itemid=0&gid=168
  19. L

    Nahitaji Mumamaaa

    Heshima mbele wanajamvi, Wakuu natafuta mama wa umri wa 45-50 mimi nina umri wa 30-35. Awe na mkwanja wa kutosha yaani mupunga (Hela). Ni kijana mwenye nguvu za kutosha katika mambo yetu yaleeeeeeee. PM zinaruhusiwa
  20. L

    Mimba kutunga nje ya kizazi

    Heshima mbele madaktari na wadau wote wa jamvi hili. Naomba kujua vitu vinavyopelekea msichana au mwanamke mimba kutunga nje ya kizazi na mwishowe kutoka. Natanguliza shukrani na pongezi kwa jitihada zenu mnazonyesha katika jamvi hili kama wataalamu.
Back
Top Bottom