Search results

  1. zagalo

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ndio wenyewe, thanks brother
  2. zagalo

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wandava Click wakimshirikisha Juma Nature wimbo unaitwa kigetogeto original version
  3. zagalo

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mr II Sugu wimbo unaitwa Yeyote Popote Sent using Jamii Forums mobile app
  4. zagalo

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu huu uliotuma ni remix, upo original version alishirikishwa Juma Nature na kundi linaitwa Wandava kama sikosei.
  5. zagalo

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kiongozi una original version ya kighetogheto nimeitafuta sana, nimeikosa
  6. zagalo

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Jamani natafuta wimbo kighetogheto original version iliimbwa na King Sapeto, Biko na Juma Nature
  7. zagalo

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kighetogheto (original version) - King Sapeto feat Juma Nature
  8. zagalo

    Wapi naweza pata Spear za pikipiki (Yamaha)

    Nenda pale Toyota Tanzania ndio ma agent wa Yamaha Tanzania Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
  9. zagalo

    Vanessa Mdee aachia nyimbo mpya - Cash Madame

    Nyimbo ni wingi wa wimbo. Sema hivi "aachia wimbo mpya" ndio kiswahili sahihi
  10. zagalo

    Tuache Kuforce Mambo, Mziki wa Kisingeli hauna Ladha

    Mimi nadhani wangeacha kuupa promo muziki wa Nigeria. Infact ungepigwa marufuku kabisa
  11. zagalo

    Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

    Umeanza kumsikiliza Sugu mwaka 2000. Basi jua kwamba 2proud alitoa album ya kwanza mwaka 1995 inaitwa ni mimi, 1997 akatoa album ya pili "ndani ya bongo", 1998 akatoa album ya tatu " niite mr II" na 1999 alitoa album ya nne "nje ya bongo". Wakati anatoa album zote hizo ulikua wapi?
  12. zagalo

    List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

    Slaa kama ana ushahidi mbona hakwenda mahakamani kushtaki? Porojo tu
  13. zagalo

    ITV/Radio one muende na wakati

    Mimi mwenyewe toka nakua naisikia inaitwa radio one sijui kwa nini hawaibadilishi jina
  14. zagalo

    Msaada Iphone 5 inakataa kufunguka

    Ipo njia moja na rahisi, mtafute mwenye nayo halafu muombe password
  15. zagalo

    Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Utakapokuja kugundua ni usanii wa clouds fm kutafuta attention ya watu, nadhani utarudi kufuta comment yako. Mark my words
Back
Top Bottom