Tumekuwa na utaratibu wa sisi wananchi kuwaachia wanasiasa hatma ya maisha yetu katika jamii zetu tunazoishi.
Nashauri tuanze utamaduni mpya wa kabla ya chaguzi zozote zile na hasa za mitaa tunayoishi, tuwe na mikutano huru ya wananchi katika eneo husika bila kuingiliwa wala kupenyeza itikadi...
Habari wanajanvi,
Leo katika kipindi cha baragumu CHANNEL 10, asubuhi akiongea kwa simu Makongoro Nyerere alieleza namna ambavyo Baba wa Taifa alimruhusu mwanae kugombea kupitia NCCR Mageuzi kuliko kushinikiza Kamati kuu ya chama kupitisha jina lake.
Pia kaeleza namna akiwa Mbunge alivyokuwa...
Ndg. wanajamii mtakumbuka tangu viongozi wa waandamizi wa chama walipinga uanzishwaji katiba mpya.
Nadhani yanayotokea sasa na tangu utungwaji wa sheria yenyewe yawezekana ilipangwa kwa makusudi ili katiba ya sasa iendelee.
Kwa mantiki hiyo mpango mkakati wa CCM umefanikiwa kwa 100% na sasa...
Ndg. wanajamii kutokana na hali ya mkanganyiko wa sasa wa mchakato wa Katiba, napendekeza kuwe na mdahalo ambao wazungumzaji wakuu wawe:
1. Jaji Joseph Warioba
2. Prof. Kabudi
3. Mh. Samweli Sita
4. Mh. Andrew Chenge
Mdahalo huu utangazwe na vyombo vyote vya habari binafsi na vya serikali...
Ndg. Zangu ili mchakato huu uendelee kwa manufaa ya wananchi wote, napendekeza Spika wa Bunge la Katiba asitokane na wanasiasa. Mimi nampendekeza Francis Stola (Samahani kama nimekosea jina lake). Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika
Ndg. Zangu ili mchakato huu uendelee kwa manufaa ya wananchi wote, napendekeza Spika wa Bunge la Katiba asitokane na wanasiasa. Mimi nampendekeza Francis Stola (Samahani kama nimekosea jina lake). Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika
Hongera sana Mheshimiwa Mbunge,
Katika vipaumbele vyako kwa barabara, naomba ongeza daraja linalounganisha makongo juu na Goba, kwani hili ni kiungo muhimu sana kwa watu wanaoelekea Mwenge na UDSM...
Usiumize sana juu ya upatikanaji wa fedha... Mradi wa maji Goba kama makusanyo yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.