Search results

  1. Principessa

    Miaka 50 hakuna chakujivunia kama mbwai mbwai tuuuuuuuuuuuuu

    we still produce what we do not consume,and consume what we do not produce...
  2. Principessa

    Type of Men/Husbands And Their Characters

    kila mwanaume atasema yeye ni namba kumi...ingewezekana partners wenu ndio wacomment waseme mko namba ngapi!...wangu anamchanganyiko wa point kutoka baadhi ya vipengele hapo sasa sijui ni namba ngapi hiyo.
  3. Principessa

    Love messages

    wale wale
  4. Principessa

    Love messages

    hili nalo swali la msingi.
  5. Principessa

    Love messages

    asante
  6. Principessa

    Love messages

    ndio kwanza tuna mwaka na tuna mtoto mmoja.hajawahi kunionyesha kuwa amenichioka,na nikiri kwamba ananipenda na kunijali sana.ananipa kila kitu kwa kadri ya uwezo wake,weekends kama haendi chuo basi huwa anashinda nyumbani,hajawahi kuilala nje na anajali familia. hata sakramenti ya ndoa iko pale...
  7. Principessa

    Love messages

    tatizo mi sio mtu wa ugomvi sana,halafu niwaambieje nikishawapigia?naogopa wakimwambia mume wangu nimepiga simu.kuna mmoja nilimpigia alipopokea nikaishia tu kumwambia wrong number nikakata simu.
  8. Principessa

    Love messages

    mhh nilishamwambia ikiwa ni mimi atafanyaje akasema ataniua...
  9. Principessa

    Love messages

    kwa kifupi mimi sifurahii,na inaninyima raha kabisa.sina raha hat ana ndoa yenyewe maana siamini kile mume wangu anachoniambia...nikimwambia ingekuwa mimi angefanyaje ananiambia ataniua...
  10. Principessa

    Love messages

    mume wangu huwa anawasiliana meseji za mapenzi na wasichana...halafu la kushangaza ni wa aina tofauti tofauti,nikimwuliza anasema sio wapenzi wake.tena ananiambia niachane na simu yake...nifanyeje jamani?
  11. Principessa

    Warembo wa Wiki..

    kwani wao si watu mpaka ujute kuhudhuria nao?ulitaka ukute watoto wa uzunguni?acha kudharau wenzako bwana!
  12. Principessa

    Elections 2010 CCM na wasanii waliofulia....

    hivi na nyie wote sio mashabiki kweli?mlikaa kutwa njima mnaangalia huo mkutano?????????wote washabiki,msiwaseme wenzenu bwana!
  13. Principessa

    Elections 2010 Moshi Mweupe Dodoma, Mgombea Mwenza wa JK 2010 ni Gharib Bilal

    or form another political party and take many outstanding CCM members!also ni njia ya kutokomeza talks za kuua muungano!with shein z'bar,muungano will stand!
  14. Principessa

    Kina Dada sometimez tunajitakia matatizo hii mnaionaje ?

    shida hiyo ilimpata dada mmoja,aliamua kubeba mimba ya kijana ili apate uhakika wa kuwa ni wake pekee,cha kushangaza,kuolewa hajaolewa mpaka leo,na kijana anamega na wasichana wengine,tena anasema live kuwa hawezi kumwoa,cha kusikitisha ni kwamba,kijana na wazazi wake wanadai mtoto anaweza kuwa...
  15. Principessa

    Bado yapo haya!?

    duuh...zile za nimegee hadi kwenye asikirimu...unatia mate lakini bado mtu kakomaa tu anataka,hadi umpe!
  16. Principessa

    Bado yapo haya!?

    yapo...ila siku hizi ubrothermen na usister duu umeshamiri,huwezi kuta mtu anakula hivyo siku hizi...kweli old is gold jamani! yaani kuyaona tu,mate kibakuli...itabidi niyatafute nikumbuke enzi!
  17. Principessa

    Nawaageni nakwenda mwezini

    mhh hapa nilipo nijkianza zile safari za mwezi za kina mama tu hapatoshi,sasa nikiufuata huko huko si ndio balaa??NO THANKYOU!
  18. Principessa

    Mange Kimambi wa Kimataifa (USA) aka Teairra Mari

    wanaypyafanya ili kupata hayo ma 'jaguar' asikwambie mtu,bora yabaki kuwa siri yao...ni mazito,hata wewe huwezi fanya nakwambia.so,usimwonee wivu mtu aliye na kitu fulani,hujui 'alivyopigika' kupata hivyo vitu.
  19. Principessa

    Chakubanga

    asante sana!
Back
Top Bottom