Search results

  1. Erick tryphone

    Kwa wale wote waliosoma HGL , HKL na KLF soma hapa

    Kwangu mimi napenda kuwashauri wadogo zangu kwa walio soma HKL, KLF au HGL apply UDOM uje usome Bachelor degree in Chinese kwasababu hii course now ina soko sana sema tatizo watu wengi sana hawalijui hili wanao soma hii course mwaka wa pili wapo wawili tu na mwaka wa kwanza wapo 12 tu but hii...
  2. Erick tryphone

    Natafuta kazi ya kujitolea(intership)

    Natafuta kazi ya kujitolea (internship) kwenye kampuni binafsi au NGOs, elimu yangu ni diploma nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa hapa Tanzania na hii hapa ni CV yangu
  3. Erick tryphone

    Kwa waliokosea kujaza fomu HESLB

    Leo nimeongea na mtoa huduma kwa wateja wa bodi ya mkopo HESLB na kusema kama umekosea kujaza fomu yako, mfano umekosea kujaza tarehe na mwaka wa kuzaliwa au taarifa zozote na tayari umesha print, unaweza ukaandika baarua yako ikieleza tatizo lako kisha ambatanisha na fomu ya maombi ya bodi ya...
  4. Erick tryphone

    christmas song

    mwenye nyimbo yoyote ya Christmas naomba anitumie au aziweke hapa
  5. Erick tryphone

    gazeti la mwananchi la tarehe 10

    kwa mtu yoyote mwenye ilo gazeti naomba aniangalizie majina ya walio itwa kwenye usaili halimashauli ya mji wa bariadi bashite peter lazaro Frank bahati
  6. Erick tryphone

    nafasi za kazi halimashauri ya URAMBO

    http://www.fabecddam.blogspot.com/2015/12/mtendaji-wa-kijiji-nafasi-9.html?m=1
  7. Erick tryphone

    Wasichana wawili (2) wanatafuta kazi

    Wasichana wawili (2) wanatafuta kazi ya kuuza duka au hotelini kama utahitaji nitafute 0764531080 then nikuunganishe nao Wanapendelea mikoa ya mwanza au dodoma Mmoja ana miaka 20 mwingine 22
  8. Erick tryphone

    Nimechaguliwa Bsc in optometry kcmc

    Hii course inausu nini? vipi kuhusu process za kuomba transfer kupitia TCU
  9. Erick tryphone

    Tujikumbushe uchaguzi mkuu Zanzibar 2010

    Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein jana alifanikiwa kunyakua ushindi kwenye uchaguzi uliofanyika Jumapili akimshinda mgombea wa CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad. Dk Shein, ambaye anamalizia kipindi chake kama makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano...
  10. Erick tryphone

    udom wanatoa diploma zipi?

    Jamani napenda kujua kuna diploma za corse zip zinazo tolewa udom
  11. Erick tryphone

    Qn. How did socialogical positivism help to solve problem in the society?

    Naombeni msaada wa mawazo mbali mbali juu ya hilo swali.
  12. Erick tryphone

    niangalizieni jina la FRANK BAHATI na wlfred.n.shaktuli kama yamechaguliwa

    Niangalizieni jina la FRANK BAHATI ambae kasoma BUKOLI na WLFRED.N.SHAKTULI ambae kasoma st karoli kama wamechaguliwa kujiunga na chuo cha ualimu
  13. Erick tryphone

    bei ya chini ya laptop ni sh ngapi?

    Naomba kufahamishwa bei ya chini ya laptop ni sh ngapi?
  14. Erick tryphone

    bei ya chini ya laptop ni sh ngapi?

    Naomba kujuzwa bei ya chini ya kununulia laptop kwasababu ina umuhimu mkubwa pale uendapo kusoma chuoni
  15. Erick tryphone

    bei ya laptop ni sh ngapi?

    Naomba kujua bei ya chini ya laptop ni sh ngapi?
  16. Erick tryphone

    tarehe ya kuriport DIT ni lini?

    Anae jua tarehe ya kuriport Kwa walio chaguliwa kujiunga na chuo cha dar instute of technology(DIT) ni lini?
  17. Erick tryphone

    anae jua NYERERE(MWANGA) high school ipo mkoa gani?

    Msaada kwa anae ijua nyerere high school anijuze kua ipo mkoa gani?
  18. Erick tryphone

    majina ya waliochaguliwa IRDP yametoka

    Niangalizieni Jina hili FRANK BAHATI kama limechaguliwa IRDP mwanza campus kwenye WWW.IRDP.AC.TZ
  19. Erick tryphone

    gazeti la mwanachi hua linatoka siku gani?

    Wiki hii selection za chuo cha mipango zitawekwa katika gazeti hili. Kwahiyo napenda kufahamu gazeti hili hua linatoka lini?
Back
Top Bottom