Search results

  1. E

    Azamtv mnakwama wapi?

    Inasikitisha sana kupiga promo kubwa sana la visimbuzi vya antena afu mbaya zaid mmefunga minara baadhi tu ya maeneo. Haya mnatuambia dar vinapatikana ila ukija bunju na boko hakuna mnara na visimbuzi iv havifanyi kazi.
  2. E

    Msaada: Azam antena inasumbua SIGNAL

    Unaishi sehemu gani?
  3. E

    Raha, Tamu na chungu ya VPN

    Shukran bro. Napeta tu hapa
  4. E

    Raha, Tamu na chungu ya VPN

    Kwani ili suala litadumu au, maana wengine vpn inagoma
  5. E

    Msaada ndugu zangu

    Sawa sawa ngoja nifanye ivo
  6. E

    Msaada ndugu zangu

    Nashukuru ndugu ntafanya ivo kesho mapema kabisa
  7. E

    Msaada ndugu zangu

    Nimetokwa vipele hivi sijui shida nini maana kama tetekuwanga nilishawahu kuugua nikiwa mdogo na kama wasemavyo tetekuwanga hairudi mara mbili. Haviumi ila vikitumbuka vinawasha.
  8. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Da wanapoelekea tutawaikimbia sasa
  9. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jaman awa betpawa ni mimi peke angu ndo siwapat au kotekote?
  10. E

    Iphone 7 plus inauzwa... gb 32 laki 8 tu

    Mkuu kipi kingine unachotaka?
  11. E

    Iphone 7 plus inauzwa... gb 32 laki 8 tu

    Iphone 7 plus Rose Gold Gb 32 Nichek 0757321230
  12. E

    MREJESHO: Nimeendesha Uber na Taxify kwa gari yangu ndani ya miezi mitatu

    Hahahahaha mwenyewe nimeshangaa 🤣🤣 Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom