Search results

  1. moghasa

    Yawezekana Afande Sele yupo Sahihi?

    Wanajamii, Umofia kwenu. Baada ya msiba wa mzee Magufuli, mwimbaji wa zamani wa mziki wa kizazi kipya maarufu kama Afande Sele/mkali wa rhymes alijitokeza na kutoa maneno mengi yaliyotafsiriwa kama kashfa au matusi kwa Mungu na watu wengi. Msanii huyo mantiki yake ilionekana kudai Mungu ni...
  2. moghasa

    Wapi naweza nunua Joho la Mahafali?

    Waungwana habari za wakati huu? Poleni kwa kampeni zinazoendelea na hongera kama chama chako kinafanya vizuri! Ndugu naomba kujuzwa ni wapi naweza pata Joho la kununua angalau moja au mawili kwaajili ya biashara yangu ndogo.! mimi nipo singida. NB: joho saizi ya mtu mzima, na kofia yake. asanteni.
  3. moghasa

    TBC mnachokifanya ni ujambazi!

    Umofia kwenu Jamiination! Leo baada ya kuishiwa kifurushi cha Azam sikuwa na namna badala yake ilinibidi niangalie TBC siku nzima yaani mpaka muda huu naandika hapa! (Simba kakosa nyama) Katika kodoa kodoa zangu mbele ya uchawi huu wa kizungu Mara kikaanza kipindi kilichoenda kwa jina la...
  4. moghasa

    Msaada namna ya kumpata Ras Simba!

    wakuu habari. Naomba kama kuna yeyote anayeweza kunielekeza kwa ras simba au hata namba ya simu please! shukrani wakuu!
  5. moghasa

    Chronic prostatis

    A Tanzanian from southern Sahara (Yes you got it right, it is in Africa) to write and/or to speak English fluently sometimes scare the hell out of me. so pardon for my English. seeing clots of blood from my inside was a shocking moment I ever had, I was like "Damn! is this Ebola originated from...
  6. moghasa

    Mrejesho: nimekutwa na Chronic prostatis

    wakuu habari za muda huu!! kama tulivyo binadamu ukishazaliwa kuugua ni sehemu ya maisha! na mimi nimekuwa nikijitokeza ndani ya jukwaa hili mara kadha wa kadha kupata ushauri juu ya afya yangu!! ukirejea badhi ya post zangu za awali niliomba ufafanuzi wa ugonjwa niliokuwa siujuwi, nikapata...
  7. moghasa

    Mrejesho: Nimefika Dar, bado nahitaji msaada

    Wakuu nimekuja huku kama nilivyosema nipo kairuki lakini Urologist mpaka jmosi, kama kuna mdau anajua Ratiba ya urologist yeyote kwa Leo na kesho hospital nyingine aniambie coz ninamaumivu mpaka jmosi naona mbali. Asanteni.
  8. moghasa

    Kero ya wanachuo kwenye vyombo vya usafiri

    Wanajf Igweeeee! Nipo ndani ya basi la ABC linalofanya safari zake kutoka Singida to Dar! kero kubwa ninayokumbana nayo ni hii; Kuna wanachuo sijajua ni chuo gani hapa Singida, ingawa najua ni hivi vyuo vya kozi mbalimbali (Singida hakuna university) wanakasheshe ndani ya basi kama wanafunzi...
  9. moghasa

    Msaada wa haraka unahitajika enyi ndugu, tafadhari pita hapa

    Wakuu nadhani ni zaidi ya mwaka nilipost hapa kuwa ninatatizo la kutokwa na mabonge ya damu kwenye mbegu za kiume. Wengi wenu mlinishauri vizuri sana!! Moja ya ushauri mkubwa ilikuwa nikapime prostate/ tezi dune. Nimezunguka kila kona nafanyiwa utra-sound lakini hamna tatizo. Wakadai ni UTI...
  10. moghasa

    Tuaminio biblia, msaada kwenye tuta tafadhali naumbuka

    Wakuu asalaam, Leo katika pitapita zangu kitaani baada ya kutoka chachi nikakutana na jamaa, baada ya kuniona na biblia akaniuliza yafuatayo; 1. Kama kweli gharika kuu ya Nuhu ilitokea, Je, kwanini dunia nzima sio Maji ya Chumvi au Maji baridi. 2. Je, Ndege aina ya Penguine (hawaruki)...
  11. moghasa

    Kwa hili la walimu wa english, serikali iache utani

    Wanajamvi umofia kwenu!! Napenda kuipongeza serikali kwa michakato yote ambayo wanaendelea nayo na niwapongeze zaidi kwa kuwa ni viongozi wachache lakini wanaongoza wadanganyika zaidi ya milioni 45, akiwemo Deogratius Kisandu, unaweza kujenga picha mwenyewe. Mimi ni mwalimu, yes, English...
  12. moghasa

    Naomba mwenye taarifa kama CRDB tayari mshahara umeingia aniupdate

    Wakuu heshima kwenu!! Naomba mwenye taarifa kama crdb tayar salary aniupdate is urgent wakuu!!
  13. moghasa

    Tanzania ya FaizaFoxy na Iphone 7

    Kila shetani na mbuyu wake ni usemi uliokuwepo tangu tangu na tangu!!. Shukrani kwa wahenga, wangechelewa tu kusema labda ningesema Mimi!! Kabla ya kujiunga hapa Jf miaka minne iliyopita nilikuwa naitembelea kama mgeni, nikiwa na member ambao ilikuwa kwangu ni lazima nione wamebandika nini...
  14. moghasa

    Rais atakayewezesha kiswahili kitumike nikiwa hai, nitamwabudu yeye

    Wakuu amang'ana?!! Nikiwa chuoni mwaka wa tatu, akiwa anatoa mada darasani profesa Madumulla alisema kuwa serikali iliwahi kufikia hatua ya kubadili vitabu vingi vilivyokuwa katika lugha ya kiingereza kuwa kiswahili, vitabu vingi vilivyokuwa vikitumika ngazi ya sekondari hadi vyuoni. Yeye...
  15. moghasa

    Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

    Wasalaamu wakuu!! Mimi ni mwalimu naomba nieleze nilivyo, yes waalimu tulivyo. Napenda kutoa pole yangu ya dhati kabisa kwa mkuu wa shule kwa yaliyomfika, waalimu waliofikwa na janga na mtoto aliyepatwa. Maisha ya shule yana mengi, nadhani na pia ni hakika kuwa wengi humu tumepita shule...
  16. moghasa

    Je unaweza kufa 2016 na kuzikwa 2015?

    wakuu asalaamu? watu wengi hapa jf walishawahi kutoa michango yao kuhusu kurudi nyuma ya wakati yaani "back in time" na mimi kwa mawazo yangu nahisi kama inawezekana! mfano, nchi ya Rwanda iko nyuma ya Tanzania kwa saa moja , ikiwa Rwanda ni saa 12 asubuhi, basi Tanzania ni saa moja . je...
  17. moghasa

    Ungependa kuwa mwerevu ? Pita hapa !

    Wana Jf Amang'ana ? Naamini mu buheri wa afya! kwanza kabisa napenda kuonesha masikitiko yangu ya waziwazi kuhusu mambo mengi na mijadala mingi ambayo imekuwa ikijadiliwa humu na namna majibu yamekuwa yakitolewa. Hivi mtu akikuuliza kama Osama kafa au la ? jibu lako litakuwa lipi ? hakuna...
  18. moghasa

    CCM na Magufuli ni Tembo na Mkonga wake

    kuna siku mama alinambia "mwanangu hata unifanyie mabaya kiasi gani siwezi kukusahau kwani wewe bado ni mwanangu " akaendelea kusema kuwa mtoto akimnyea mzaziwe mkononi mzazi hawezi kuukata mkono. lakini pia TEMBO HASHINDWI NA MKONGA WAKE. Yote hayo ilikuwa ni kuthibitisha kuwa hana namna ya...
  19. moghasa

    Hospital nzuri ya mkojo na uzazi Dar ni ipi? (Urology)

    Wapendwa wanajamvi umofia kwenu!!!!! Mimi ni mgonjwa naishi nje ya Dar! Napenda kujua ni hospital gani iliyopo Dar ambapo naweza pata huduma nzuri kitengo cha njia ya mkojo na uzazi (Urology)! Ninatumia bima ya NHIF Brown Card hivyo kuhusu gharama sina shaka! Mwanzo niliwaza Muhimbili lakini...
  20. moghasa

    Hospitali nzuri jijini Dar kitengo cha Urology ni ipi?

    Wapendwa wanajamvi umofia kwenu!!!!! mimi ni mgonjwa naishi nje ya Dar! napenda kujua ni hospital gani iliyopo DAR ambayo naweza pata huduma nzuri kitengo cha njia ya mkojo na uzazi (urology)! ninatumia bima ya NHIF brown kadi! hivyo kuhusu gharama sina shaka! mwanzo niliwaza Mhimbili lakin...
Back
Top Bottom