Search results

  1. M

    Mawazo kuhusu biashara ya Bahasha za khaki / Paper Bags

    kiwandani wanauza 1600pcs kwa 64,000 tu mpigie 0717367693
  2. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    MBEZI BEACH MAKONDE ENEO LA VIWANDANI HAMNA UMEME TANGU JANA SHIDA NI NINI?AU MWENYEWE KAONDOKA NA MAMBO YA MAZOEA YANAANZA
  3. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    KAMA KAWAIDA YENU TANESCO KILA JTATU NA JUMANNE UBUNGO BUSSINESS PARK HAMNA UMEME,MMESHAKATA HILI TATIZO LITAKWISHA LINI?MBONA NYIE NI SIKIO LA KUFA,NAMNA HII KWA ENEO LENYE MATUMIZI MAKUBWA KAMA HILI MNAPOTEZA MAPATO NA MNATUTIA SISI HASARA. SIJUI MTABADILIKA LINI NYIE
  4. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO HUDUMA ZENU BADO SANAA HAPA UBUNGO BUSINESS PARK JUMATATU NA JUMANNE KUNA MGAO USIO RASMI SIKU NZIMA TUNAOMBA TUJULISHWE SHIDA NI NINI MAANA TUNA VIWANDA KUPOTEZA SIKU NZIMA BILA KUZALISHA NI HASARA. NATAFUTA NAMBA YA KALEMANI TANGU LAST WEEK SIJAPATA NIKIPATA NITATAKA KUJUA HAPA KUNA...
  5. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO KUNA SHIDA GANI YA UMEME SIKU YA PILI SASA HATUNA UMEME UBUNGO BUSSINESS PARK NA NI ENEO LA VIWANDA NCHI YA VIWANDA ITAFIKA KWELI NAMNA HII????????HALAFU MUWE MNATANGAZA BASI TUJUE KWAMBA KWA SIKU KADHAA HAKUTAKUWA NA UMEME
  6. M

    Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

    We jamaa mimi nilikutumia PM ina miezi zaidi ya minne hata hukujibu inaonekana hauko serious.
  7. M

    Tatizo la mikopo kwa wenye Leseni za Migodi

    Bank zinatoa mkopo mkuu ila uwe umeshafanya nao walau miezi sita na oda yako iwe ya kiwanda kinachokubali kusaini makubaliano na bank ya kupitishia hela kwao,so nenda CRDB NMB wanazo huduma hizo.
  8. M

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    DAWASA TUNAOMBA KUFAHAMISHWA KIMARA BONYOKWA TUMERUDI KWENYE MGAO WA MAJI ?MAANA MLIJIGAMBA HAKUNA TENA SHIDA YA MAJI KIMARA TUMEKUWA NA KUKATIKA KATIKA KWA MAJI WIKI YA TATU SASA NA HIVI NINAVYOANDIKA TANGU JUMAMOSI HATUNA MAJI SASA SIJUI KUNA SHIDA GANI NA HATUTANGAZIWI, MUWE MNATOA TAARIFA...
  9. M

    Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

    Mkuu hii gypsum ninya wapi?una eneo kubwa kiasi gani?
  10. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nina mambo mawili 1. Kimara mwisho njia hii ya kwenda bonyokwa kila siku umeme unakatika na sio unakatika kwa muda mfupi no. Unakatika muda mrefu bila matangazo bila samahani bila chochote tunaomba kujua hili tatizo litakwisha linii????Maana imekuwa ni kawaida sio siku moja mbili wala tatu ni...
  11. M

    Nafasi za kazi Muhasibu na Meneja wa kiwanda

    Packline company limited is a new established company mainly dealing with manufacturing of paper, non woven bags and other packaging materials looking to recruit few staff to fill the following vacant positions. If you fill that you are willing and able to join our team please do not hesitate to...
  12. M

    Naihitaji sana Toyota Hillux Double Cabin damu ya mzee

    Ni PM namba yako mkuu
  13. M

    Anataka nianze kuishi nae kabla ya ndoa, hivi ndoto yangu yakuvaa shela itatimia kweli?

    Hapo ndipo wadada mnapokosea umri ukisogea tu unaamua kiwa cheap hata kama ulijitunza kwa muda wote,umri wako ukusaidie kuamua kwa busara una uhakika gani kama hao aliozaa nao hakutumia mbinu hiyohiyo?mahari sio ndoa wala kutoa mahari hakuhalilishi kuwa mke,dini zote zina taratibu zake za ndoa...
  14. M

    Waziri Lukuvi nisaidie, ni mwezi wa pili sasa nasubiri saini ya kamishna wa ardhi ili niweze kupata hati

    Muheshimiwa William Lukuvi kwanza nikupongeze kwa jitihada zako katika wizara ya Ardhi, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni umejitahidi kwa kadiri unavyoweza na angalau sasa kuna afadhali upande huu wa ardhi maana ilikuwa majanga, nina malalamiko yangu najua huku hata kama si wewe binafsi unapita...
  15. M

    Ni miezi kadhaa sasa tangu tumeanza kuishi pamoja lakini sijui pesa zake anapeleka wapi

    Bado unasubiri nini hapo?unajua nyie kina dada ukishapata mtoto unaona kama ndo mwisho wa dunia kwa hiyo suruali yoyote inayokuja unajitwisha,mtajitwisha na mizigo isiyo yenu kama unaweza lea mwanao na unaona huyo hana uelekeo wa kuwa mume you better quit before is too late,sifa ya mwanaume ni...
  16. M

    Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

    Sexless, Huna haja ya kufanya hivyo,miaka 33 bado una nafasi kabisa nani kakuambia wazee wako 30s,acha mawazo hayo kuna watu wanaolewa na 45 wewe bado kabisaa wala sio kwamba nakutia moyo kama una amini kwa Mungu omba ukiamini mume wako yupo na atatokea,vile unavyokiri ndio utapokea ukijiona...
  17. M

    Nahitaji mifuko ya salfeti

    mtafute huyu 0784876543
  18. M

    Nataka kufunga ndoa tatzo sijui nijipangeje?

    Kwanza hongera mkuu kwa kufikiria hili jambo ni LA Baraka katika maisha,mambo muhimu ya mwanzo kabisa kabla hata ya kutaarifu familia Kama wewe na mwenzi wako mjadiliane mnatakata ndoa ya aina gani?Mara nyingi wanaume huwa wanataka kitu simple tu ika wadada kichwani mwao huwa wanataka kitu cha...
Back
Top Bottom