Search results

  1. B

    Kumbe kuna salamu maalumu ukikutana na mtu usiku mzito? Usiku wa leo mbio ndiyo zimeniokoa

    Sahihi. Wakati wa usiku unapokaribia kupishana na mtu ambaye bado hujaweza kumtambua. Unatakiwa kutoa salamu hiyo "Usiku?" hii maana yake ni "Shari?" Kama ni amani imetawala unatakiwa kumjibu "Mchana" Kama ni shari imetawala unatakiwa kumjibu "Usiku"
  2. B

    Dogo katolewa chumba cha mtihani na Mkuu wa Shule

    Unapompeleka mtoto bwenini. Usimamizi wa kuhakikisha anahudhuria vipindi vya masomo darasani ni mzazi au mkuu wa shule?
  3. B

    Kwanini hizi ndege hupita juu sana na kutoa moshi mwingi?

    Siyo Moshi. Siyo Roketi. Huo ni msuguano wa ndege na hewa ya huko ambako ni mbali sana. Hali ya hewa ya huko ni tofauti na huku chini zinakopita hizi ndege zingine ambako Oxygen ipo nyingi huku
  4. B

    Tunachimba Visima na kufanya underground water survey kwa ghalama nafuu

    Survey. Zaidi ya kuonyesha Water Table ilipo. Je ina uwezo wa kuonyesha Salinity ya Maji?.. Ili mteja asipate hasara ya kuchimba na kupata maji yasiyofaa. Samahani kama kuna atakua ashauliza hili na kujibiwa.Sijapitia comments zote
  5. B

    Yupo wapi Baba T wa East Africa Radio

    nimemuona juzi mitaa ya Posta
  6. B

    Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

    Hili la 'kuongeza muda' si tuhuma mpya toka Upinzani kwenda kwa Raisi wa JMT. Hata Jakaya alishazushiwagwa. Saa hii yuko Msoga. Naungana na Msimamo wa Kiranga.
  7. B

    Dar es Salaam kuelekea mchezo wa Simba na Plateu United

    Mohammed Hussein Kwakua ana kadi ya njano si vema akacheza hii mechi.
  8. B

    Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

    Nawaona nawaona wazee wa kubatua..
  9. B

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    ukipata jibu,,uni tag
  10. B

    Giuliani kaitolea mfano Tanzania kwamba, waangalizi huwa hawatolewi nje ya vyumba vya kuhesabia kura

    Angalau mzungu kasema. Tutaamini sasa kwamba Wasimamizi hawakutolewa ndani. Kwa maana walishuhudia upigaji,uhesabuji na ubandikaji matokeo. Sasa ni jukumu la wanaopinga matokeo kutuletea Data zao za kituo hadi kituo ili tufahamu tofauti iliyokuwepo ili tuwaulize wasimamizi kama wanayatambua au...
  11. B

    Uchaguzi 2020 Hivi ni haki kweli kwa akina Robert Amsterdam kuingilia uchaguzi mkuu wa nchi yetu? Je, tunaweza kuwashitaki kwenye mahakama za kimataifa?

    safari hii mkisema mmeibiwa kura. mje na data za wapi zimeibiwa ngapi na muweke ushahidi wa viambatanishi vilivyosainiwa na mawakala wenu.
  12. B

    Msafiri Kafiri au Kakiri?

    Msafiri Kakiri, Safari Kafiri Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    Msaada swali la hisabati

    8 km Sent using Jamii Forums mobile app
  14. B

    Msaada swali la hisabati

    Alikua na kilo 80 Sent using Jamii Forums mobile app
  15. B

    Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

    Father(Yemo): Are you ready Eko? Eko(Yemo Brother): Yes, I am ready Eko: I ask for no forgiveness father, for I have not sinned I have only done what I need to do to survive. A small boy once asked me if I was a bad man If I could answer him now, I will tell him that, when I was a young boy I...
  16. B

    Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

    Ahahaaaaa "Dont Mistake Concidence for Fate" Lost ni Noma sana... Sent using Jamii Forums mobile app
  17. B

    Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

    I was 23 years old, when Americans came to my country I was a good man, I was a soldier And when they left!! I was something different, for the next six years I did things I wish I could erase from my memory Things I never told myself to be capable of. But I did come to learn this, there was a...
  18. B

    Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

    Lost....Kuna vipande navikubali sana...Ni moja ya series ambayo wahusika walivaa uhusika haswa.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom