Search results

  1. LUBEDE

    Msimamo wa ligi kuu ya baridi

    Kwa namna hali ilivyo hapa nani atachukua kombe msimu huu?
  2. LUBEDE

    Nimempa ujauzito mke wa mtu

    Wakuu kwema? Mwenzenu nina kisanga hapa, kuna mwanamke ni ex wangu, ila yeye aliolewa na wenye pesa kwa sherehe kubwa baada ya kuona mimi sieleweki na sina mpango wa kuwa mtumwa wa ndoa. Jamaa yake saivi amekuwa mlevi na kiaina ni kama ameikacha familia, so mkewe baada ya kuona jamaa kasahau...
  3. LUBEDE

    Hivi kwanini Tanzania hatunaga Postal Codes?

    Wakuu hivi kwanini Tanzania hatunaga anuani za uhakika za miji yetu na majumbani mwetu zaidi ya namba za simu tu? Hivi Serikali haioni kama inatucheleweshea maendeleo na kutupa ugumu wa kufanya biashara kimataifa? Wanatuzidi hadi Uganda jamani. Kama nchi ifike kipindi tubadilike, kununua kitu...
  4. LUBEDE

    Naomba ushauri kuhusu Toyota surf ssr-v the navigators

    wakuu kwema? jamani nahitaji ushauri juu ya hizi ndinga, nataka kuichukua,mwenye uzoefu naomba anipe ushauri anazionaje? itanifaa kwa misele ya mjini na vijijini?naihitaji as a family car...but nataka niwe na uhakika wa safari incase natakiwa nisafiri sio mawazo tena yawe lukuki..
  5. LUBEDE

    Huawei ascend G6

    wakuu wataalamu wa simu,nina tatizo,kuna simu hapa inakataa ku'reboot na sijaju tatizo ni nini,naambatanisha picha sijui kama zitaeleweka,lengo ni kupta msaada wa namna ya kulitatua hili tatizo,asanteni..
  6. LUBEDE

    Mwanamke mwenye tattoo

    Kuna mwanamke ana tattoo kwenye ziwa ,nampenda na natamani awe mke wangu,lkn nikiwaza ule mtatoo siku nikimpeleka kumtambulisha kwa ndugu zangu wakaiona ile tattoo si itakuwa taflani? hivi nyie wanawake mna nini? huu utamaduni wa kishenzi mmeuiga wa nini?ni lazima uwe na hayo ma alama ya...
  7. LUBEDE

    Soda na mgeni uswahilini

    Hivi kwanini sisi wa uswahilini tukitembelewa na mgeni lazima tuanze kuhangaika kumnunulia mgeni soda? ni nani aliuanzisha huu utaratibu?kwani wageni nao huwaga hawawezi kunywa hata maji tu?
  8. LUBEDE

    Binti yangu kaniandikia hivi, mnisaidie cha kumjibu

    Wakuu poleni na pirika za kutwa nzima...binti yangu karudi nyumbani baada ya kumaliza masomo yake ya kidato cha sita,leo kuna swali kaniuliza sijamjibu hadi sasa hivi nakosa cha kumjibu,naombeni kwa mwenye uzoefu tubadilishane mawazo nione ingekuwa ndio kaulizwa yeye angemjibu nini mwanae...
  9. LUBEDE

    Marufuku ya mifuko ya plastiki

    Nyie mnaoshabikia kupigwa marufuku kwa mifuko ya plastiki,tutaona ndugu zenu watakuwa wanatapikia wapi wakiwa wanasafiri kuja mjini kuwatembelea..
  10. LUBEDE

    Tuambiane maneno ambayo hata ukilitamka au kulisoma kinyume linabakia vile vile..

    Mimi naanza na 1)LIPULI, 2)KATIKA 3)............
  11. LUBEDE

    Bwana harusi mtarajiwa hajatokea kwenye sendoff

    Wakuu hii imekaaje,sitosema nilipo maana inawezekana mhusika akawa humu, Kisa ni kwamba kuna dada mmoja wa kitaa,huwaga ananata sana kama super glue,naye yamemkuta,kuna mwana alimuotea akaahidi kumuoa,akafuata taratibu zote kuelekea kwenye ndoa,ila siku ya sendoff mwana hakutokea,ikawa aibu...
  12. LUBEDE

    Kwa waislamu; Je, ni sahihi muislamu kutangaza biashara ya kitimoto?

    Samahani ndugu zanguni,kuna swala linanitatiza kidogo hapa nataka nipate ilmu na ufahamu zaidi ,kuna rafiki yangu yeye ni muislamu,ana biashara zake huwa anazifanya,sasa leo katika status ya whatsapp kapost tangazo la biashara ya kitimoto,anatangaza soko la mshkaji wake kuwa anauza kitimoto...
  13. LUBEDE

    Mara ya kwanza kupanda treni

    Jamani tujikumbushe kwa mliowahi kusafiri kwa treni,hizi treni zetu za dunia ya tatu..mimi ilikuwa natoka DODOMA kuelekea MWANZA,baada ya kukamilisha taratibu za tiketi ambayo nilikata wiki mbili kabla ya safari,nikaanza kuwa na mashaka na muda ulivyokuwa mrefu tangu nikate tiketi hadi...
  14. LUBEDE

    Kwa mara ya kwanza wanaume wa mkoani wametamani kuwa kama wanaume wa DAR...

    Kufuatia ushindi wa TAIFA STARS dhidi ya UGANDA kwenye hii michuano ya kufuzu kombe la mataifa afrika,kumezua tafrani mikoani baada ya mkuu wa mkoa wa DAR kuahidi kuwa endapo TANZANIA tutaifunga UGANDA basi gambe litakuwa nusu bei,leo huku mikoani wadau roho inawauma sana kulipa bei mara mbili...
  15. LUBEDE

    Nimegongwa na Nge

    Wakuu nimegongwa na nge,wataalamu naomba mnisaidie tiba,natakiwa nifanyaje,maumivu ni makali sana na hadi saiv ishapita nusu saa bado sielewi natakiwa nifanyaje,msaada wenu tafadhali...
  16. LUBEDE

    Watu wanaozungumza kwa kigugumizi wamepotelea wapi?

    Hivi hawa watu wenye vigugumizi siku hizi wamepotelea wapi,maana kipindi cha nyuma ilikuwa kama fashion,au kuna kitu huwa kinasababisha watu wa aina ile kuwepo,siku hizi wamekuwa adimu sana watu wa namna hiyo..
  17. LUBEDE

    Mheshimu mwanamke wako kwa kuwa amekuchagua wewe japo si bora kuliko Wanaume wengine

    Mheshimu mwanamke wako kwa sababu sisi wote tunamtaka(tunamtamani) na sisi ni bora zaidi kuliko wewe,lakini alikuchagua wewe,sasa siku akichoka..ndio akili itakukaa sawa!
  18. LUBEDE

    Kila mtu anauliza matokeo

    Ukitaka kujua watu wanapenda tu mafanikio ndio kipindi kama hiki, kila MTU anaulizia matokeo lakini kipindi cha ada hakuna aliye kuwa anauliza jamani tuwe wastarabu kama hujawahi kuulizia ada usiulize matokeo!
  19. LUBEDE

    Wapweke tukutane hapa

    Dah,leo katika pirika zangu mijini humo, nimekutana na couple moja wanajidai sana,utadhani wamejua kuwa kwa sasa mwenzangu yupo mbali,mwana kavimba mbaya mpenzi wangu popote ulipo kiukweli nakukumbuka sana,najua tupo wengi humu,ambao tunapitia hii hali,njooni hapa tujifariji kwa kuwaonea wivu...
  20. LUBEDE

    Walio single wapo macho hadi saivi

    Tusiokuwa na wenzetu kwenye mahusiano hadi muda huu tunagaragara tu kitandani,hakuna jipya,usingizi hakuna,basi tabu tupu.!
Back
Top Bottom