Search results

  1. Mnyabwilo

    ''Mabilioni ya mu-italiano'', serikali isimjibie muhusika

    Huyo makamba nae angekaaa kimya dada yake ana kazi gani ya kumpatia mzigo mkubwa waache utapeli hii imekaaa vibaya sana kwao
  2. Mnyabwilo

    Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

    Mkuu mimi job siku hiyo kazi zilikuwa hazifanyi nilipata mkosi wa ajabu kazi zote zinaharibika
  3. Mnyabwilo

    Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

    Nashukuru sana mkuu mshana jr kwa kuweka uzi humu jamvini hakika mwanaume yeyote ambae amezaliwa kwenye maadili angepata nafasi mwanaume mwenzako akiomba umgegede nafikiri siku ingeharibika sana..kiukweli kesho yake nilikosa raha kila nikiwaza jamaa alivyokomalia akitaka nimgegede..uzuri mshana...
  4. Mnyabwilo

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    wapelekeni watoto shule kusoma sio watu wanapiga kelele mfano mimi kipindi hicho nilisoma seminary nikaweka kijiti cha hatari. kitaa nilimaliza na washikaj ambao waislam matokeo hayakuwa poa wakaanza kuongea kuwa seminary tunapendelewa.nilikataa kwenda loyola kipindi hicho ipo vizuri nikasema...
  5. Mnyabwilo

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

    Madogo lazima wasome hili heshima iwepo wakati sisi tunatengeneza kijiti olevo na alevo unafikir tulikuwa tunacheza hizo GPA lilikuwa jipu vile vile
  6. Mnyabwilo

    Crescentius Magori, ni nani kwenye serikali ya Magufuli?

    Dah...wabongo sisi majanga kwahiyo ukiwa shabiki wa simba ndio unapewa nafasi ya DG ngoja na mimi nijiandae kupewa Umanager maana na mimi shabiki wa simba
  7. Mnyabwilo

    Crescentius Magori, ni nani kwenye serikali ya Magufuli?

    Mkuu acha kuingiza mtu ambae hayupo kwenye mjadala huyo ni katibu mkuu toka zama za jakaya mpaka zama hizi magori hana uwezo kumkaripia wakati yeye yupo nssf acha kuchafua watu wewe mbwea
  8. Mnyabwilo

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Duh...aiseee bongo noma sana kwahiyo watu wapitishwe tu
  9. Mnyabwilo

    Crescentius Magori, ni nani kwenye serikali ya Magufuli?

    Huyo mama ndio nani mkuu hebu fafanua kidogo
  10. Mnyabwilo

    Cheo kipi ni kikubwa kati ya Balozi na Director General

    Dah mzee wa watu nafikiri anakunywa kahawa kupunguza presha aiseee nssf patamu
  11. Mnyabwilo

    Dau wa NSSF ndiyo imetoka hiyo, Kaliacha shirika likiwa katika hali mbaya

    Muhindi sio raia wa tanzania mbuzi wewe kwani ukienda india wanakupa uraia
  12. Mnyabwilo

    Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Mkuu mbona unatoka povu sana mshikaji ameandika kistaarabu tena vizuri tu lakini unamwambia udini unamsumbua...poa mkuu sio mbaya kama kimemo chako kimechelewa atakufanyia mpango kukutafutia scholarship havard ukapige masters kabisa
  13. Mnyabwilo

    Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Sasa kama syria au saudia ataweza kujenga kweli?
  14. Mnyabwilo

    Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Huyo namba 3 bora syria au saudia kabisa
  15. Mnyabwilo

    Mtarajiwa wangu simuelewi

    Jaribu kujiuliza kwani wewe umezaliwa nae? Yeye na Familia yako kipi bora? Ukiumwa kati yake na wazazi wako nani ataumia? Ukijibu hayo nitafute nikupe mbinu
  16. Mnyabwilo

    Marafiki mnaishije? Mwenzenu pesa haikai kabisa

    Mtafute Miss Chaga Pesa kwa ushauri wa fedha zaidi
  17. Mnyabwilo

    Mtarajiwa wangu simuelewi

    Yani mpaka sasa bado hujajua njia ya kumtoa moyoni tu....
  18. Mnyabwilo

    Mtarajiwa wangu simuelewi

    Jamaaa alikuwa ameunganisha masters na PhD kabisa katika chuo cha MIT
  19. Mnyabwilo

    Nahitaji kumuoa, ila hii ndoa sijui itakuwaje

    Mkuu huyo shemeji yetu kama atokei mombasa basi zanzibar
  20. Mnyabwilo

    Nahitaji kumuoa, ila hii ndoa sijui itakuwaje

    Mkuu unataka kwenda kuoa mombasa au zanzibar maana hizo ndio mahali zao
Back
Top Bottom