Search results

  1. T

    NMB: Makato mapya kwa wateja wa NMB yaja yakiwa yameongezeka mara mbili zaidi ya sasa?

    Hawa ni waongo jamani nimefanya salio nmb klink nimekatwa zaidi ya 15000 c sawa hata kidogo jamani mtu unahisi unaeahisisha maisha Kumbe ndio unajididimiza
  2. T

    Mei mosi: Sina imani tena na vyama vya wafanyakazi

    Sheria hiyo hiyo inasema mfanya kazi apandishwe daraja kila baada ya miaka 3,watu wanamiaka sita mitano hawajapandishwa madaraja hawana barua za malalamiko kuhusu utendaji wao jamaa limefumba macho,increments kila mwaka IPO kwenye sheria hazionekani mwaka wa tatu sasa ila za kumgandamiza mfanya...
  3. T

    Sanaa ya maandamano na sikukuu: Nyuma ya pazia kuna wakubwa

    Utajiri upi arifu me naona taabu tu maisha haya kila Leo afadhali ya Jana!Mbaya zaidi ata afueni ya kulalamika, kukosoa,hamna ukisubutu kukutwa unageuzwa mbwa koko kwa mateke na visu na risasi za moto zinazopigwa hewani zinakata kona kuufumua ubongo wa MTU alieko ardhini.
  4. T

    Sijawahi kusikia Polisi wamemuua mwana CCM

    Kuna sehemu nlickia kadi ya ccm ni muhimu sana nikawa nawaza kivip leo ndo nimeelewa
  5. T

    Mapungufu katika jeshi letu la polisi sio weledi ni utashi wa baadhi ya askari. ..

    Mxiuuuu jeshi la polisi limeoza na hii ni kwasababu uvunjifu wa sheria umeanzia kwa executive system so hamna wa kumfunga mwenzie kengele na awamu hii ukivunja sheria kama police unalindwa na kupewa cheo!weledi wa kazi gani sasa
  6. T

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Ya Leo inaitwa ctaki ugomvi na mkuu c kwa kuminywa huku kwa kutoa maoni
  7. T

    Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

    Na alaaniwe kwa laana kuu yeye na kizazi chake na wote tuseme AMINA
  8. T

    Mbeya: Serikali kugharamia mazishi ya Alen Achiles aliyefariki baada ya kutoka Polisi

    Hamna mchawi atuulie huyu MTU Maana Mungu yuko slow sana!! Jamani
  9. T

    Askari sita waliokamatwa kwa kumuua Akwilina Akwilini wako wapi? Wamechukuliwa hatua gani?

    Mungu na akulipe wewe na kizazi chako pamoja na kila aliyeshiriki kufunika damu za vijana wetu Allen na Akwillin!
  10. T

    Ushauri: Abdul Nondo tekeleza hili jambo haraka sana

    Duh aombe msamaha ili aachiwe aishi???!me naona bora aombe ukimbizi au arekodi clip ya ukweli wote airushe mtandaoni wamuue tukiwa na ushahidi ,karma will make dem pay!!Mungu ni wetu sote
  11. T

    Vituko vya Tanzania: Unashitakiwa kwa kudanganya kuwa ulitekwa, unanyimwa dhamana kwa kuwa watekaji wako hawajakamatwa

    Sasa unachoogopa ni kitu gani adi unajizalilisha kiasi hichi hivi mbona watu kibao hawajaajiriwa na wanaishi,huku tunakoelekea tutakua taifa LA majuha kiss ujuha wa MTU mmoja
  12. T

    Hivi Mwigulu anavyomwita Mtanzania "Kinyago" ana uhalali wa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani?

    Wana watanzania wakufikirika vichwani na matumboni mwao ndo wanaowapigania kina Akwilina na sisi wote wanotuona ni vinyago tu kwao ndo maana ujasiri wa kuita watu vinyago wanao
  13. T

    Kupotea 'kutekwa' kwa Nondo: Picha iliyotengenezwa kishamba

    Mungu ikumbuke Tanzania pia yote haya ni kwaajili kijana kaamua kuongea against powerful people tulowapa ikulu na nchi yetu waiongoze!! Kijana akafanywe mfano apotezwe wat about his mother?!wat if anawadogo zake wanamtegemea amalize chuo asaidie japo ada yao?!!!wat about his mother?
  14. T

    Chakula gani kitamfaa mtoto wa miezi sita?

    Mara nyingi mtoto akishiba anaonyesha dalili kua makini kuzitazama alafu kwakua mtoto wakouzito ni mkubwa unaweza kumkadiria chakula kidogo akilia unampa matunda kama papai me ndo nlianza nalo,usiogope wewe ni mama your judgement is exactly what your child requires! Mungu amekupa uwezo mkubwa...
  15. T

    Chakula gani kitamfaa mtoto wa miezi sita?

    Uji sio lazima swty cha muhimu mtoto apate balanced meal hizo veges unapika na kipande cha samaki au nyama unablend pamoja unakua uji mzuri tu wenye virutubisho vyote,kunenepa ni wanga unakua mwingi na kumlazimisha mtoto kula chakula kingi zaidi ya mahitaji yake
  16. T

    Siku tatu kutoa mahari nakutana na meseji anaomba pesa kwingine

    Hizi akili ndo zile mwanaume lazima awe na nyumba ndogo mwanamke mafiga matatu kidumu,ni ukahaba tu na kutoheshimu ndoa
Back
Top Bottom