Search results

  1. Ngomakipiki

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Wadau vipi xiaomi mi store anaship simu kwa wakati? Njmeona anabei rafiki kiasi Naomba uzoefu wenu
  2. Ngomakipiki

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Posta nimecheki hamna. Ila kwa maelezo ya posta ni kwamba hizo parcel zikifika dar wanazipa tracking number mpya.
  3. Ngomakipiki

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Itachukua muda gani mkuu maana saiz zimeshafika siku 60
  4. Ngomakipiki

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Tracking inaonesha order completed maana yake nini?
  5. Ngomakipiki

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Naomba Muongozo hapa. Niliagiza mzigo tangia mwezi wa nane lakini mpaka saiz sijaupokea posta. Zilipofika siku 48 seller aliextend purhase protection saiz zimebaki siku 29 baada ya kuongeza hiyo purchase protection. Tracking inasomeka hivo. Je kuna uwezekano wa kupokea huo mzigo au ndo nimepigwa?
  6. Ngomakipiki

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Kwa mikoani hiyo option inafanya kazi nadhani kwa daslaam ni rahisi.
  7. Ngomakipiki

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Wadau kuna usalama wa pesa kununua bidhaa Jumia? Msaada tafadhali nataka kujilipua
  8. Ngomakipiki

    Jinsi ya kujiondoa NMB mobile

    Unapigwa kivipi mkuu,naomba ufafanuzi please!
  9. Ngomakipiki

    Kuna mitihani ya maisha inawakuta watu na unaweza kuwaza hivi Mungu ananipima imani?

    Ni kweli lakini ndo kama hivo kupitia hiyo mitishamba ndo muujiza unatendeka.Huwezi kuka a tu ukisubiri muujiza inabidi uhangaike kwanza.
  10. Ngomakipiki

    Kuna mitihani ya maisha inawakuta watu na unaweza kuwaza hivi Mungu ananipima imani?

    Mtoa mada nakupa assigment fuatilia hiyo familia uhakikishe hiyo dawa ni mti gani ili tuponyeshe watanzania wengi zaidi.
  11. Ngomakipiki

    Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

    Unachukizwaje na uumbaji wa Mungu?
  12. Ngomakipiki

    Mchumba wangu hapendi kufanya ngono, ninapata tabu sana

    Tafuta mnayeendana interest kinyume na hapo migogoro haitaisha kwenye hiyo ndoa. Au ujiandae kuwa mchepukaji sana au kuongeza mke.
  13. Ngomakipiki

    Asante M-PESA kwa gawio

    Walinipa Tsh.72
  14. Ngomakipiki

    Ujumbe kwa wanaume

    Inatakiwa usimpe mwanaume wako sababu ya kucheat,ukimpa sababu ananogewa si unajua tena mko tofauti.
  15. Ngomakipiki

    Ujumbe kwa wanaume

    Ni kweli sababu ni nyingi ila kila mtu anasababu yake kucheat ikiwemo hiyo niliitaja. Wengine ni ktk kubadilisha ladha tu,ila wengine wanasababu za msingi.
  16. Ngomakipiki

    Ujumbe kwa wanaume

    Mengine sio mapungufu no kutojielewa akishaolewa anajua amemaliza kazi,kuna wanawake wanawapangia waume zao ratiba. Hapo mwanaume mwenye akili hawezi kuhangaika na wewe.
  17. Ngomakipiki

    Ujumbe kwa wanaume

    Pia nanyi mnachangia sana wanaume kucheat.
Back
Top Bottom