Search results

  1. masanzu

    Mawakala wa Kutoa/Kuweka Pesa Walivyo wezi wa Pesa za Wateja

    Acha uongo mfano mimi natumia app ya m pesa nikitoa line niliyoisajiri kwenye hii app basi app haifanyi kazi mpk niweke tena line husika ndy app inaweza kufanya mwamaala
  2. masanzu

    Style ya leo kumuaga marehemu

    Leo wanasimba kwenye vibanda vya magazeti walikuwa wanasoma vichwa vya habari Kama wako kwenye kumuaga marehemu😀😀😄😄😄😄😄😄
  3. masanzu

    Wapangaji kuuziwa unit moja ya umeme 500 tsh na mwenye nyumba hii ni sawa??

    Mkuu dawa ni ndogo tu nikuhama tafuta fremu kwingine Sent using Jamii Forums mobile app
  4. masanzu

    Mbunge Viti Maalum CCM, Amina Mollel adai Mbunge Joshua Nassari hajui shida za waliomchagua

    Wewe ndiyo mpotoshaji lione kwanza hivi mnatufanya watanzania akili hatuna mnafanya mikutano nyinyi tu wenzenu wakijikusanya watatu tu mnawakamata
  5. masanzu

    Jwtz niliowaona mkoani mara leo kwa Rais magufuli

    Habari wanajamvi leo nilikuwa natoka msoma naelekea mwanza bahati nzuri nikakuta rais akihutubia wananchi Bunda.kitu kilicho nivutia na kunishangaza mpk kuandika huu uzi ni walinzi wake tumezoea kuwaona jwtz wakiwa kwenye sare tulizo zizoea leo nimeona sare tofauti kbs hivi wale ni wanajeshi wa...
  6. masanzu

    Je, hii ni haki? Nimeshindwa kuelewa/kusoma alichoandika Daktari

    Mpk ubahatishe hiyo hospital nyingi ni binafsi ndy watumia computer Sent using Jamii Forums mobile app
  7. masanzu

    J. Makamba aweka pozi akingoja picha ipigwe huku akimpatia chakula mwananchi mwenye njaa.

    Mwanasiasa ni sawa na mwanamke malaya kila akivaa ngua akahisi imempendeza lazima atakuwa anajipitipitisha mbele ya wanaume Sent using Jamii Forums mobile app
  8. masanzu

    Je, hii ni haki? Nimeshindwa kuelewa/kusoma alichoandika Daktari

    Wakuu huwa najiuliza hivi ni kwanini maandishi ama miandiko ya hawa wenzetu wanaitwa madokta huwa haieleweki au huwa wanafundishwa hivyo chuoni? Kuna baadhi ya watu pindi wanapokuwa wako sekondari walikuwa wanasifika kwa mwandiko mzuri shida wakitoka kwenye vyuo vya udaktali miandiko yao...
  9. masanzu

    King’amuzi cha Azam chaondoa Chaneli za FTA na kubakiza TBC na ZBC tu

    Baadaye utakuja kusikia no kusafiri toka mkoa mwingine kwenda mkoa mwingine bila kibari from the father of the house
  10. masanzu

    NAFASI ZA KAZI 16 HALMASHAURI YA WILAYA YA ITILIMA

    SIMIYU NDIYO WAPI HUKO AU NI MPAKANI NA BURUNDI
  11. masanzu

    Masaa yameongezwa badala ya 24 kwa siku sasa ni 48 sisi taarifa hatuna

    Siyo bange mkuu siku haziendi eti mda wote huo eti ndy nashaangaa kwa miaka 3 tu bado 7 tutafika kweli
  12. masanzu

    Masaa yameongezwa badala ya 24 kwa siku sasa ni 48 sisi taarifa hatuna

    Wanajamvini miaka 10 ya Mh Mrisho mimi sikumbuki hata iliishaje nilikuja kustukia tu uchaguzi Mara uncle Magu siku zimegoma kbs kusogea au majira yamebadilika masaa yameongezwa badala ya 24 yamekuwa 48 sisi taarifa hatuna
  13. masanzu

    Kumbe nilikuwa nakosea kumchukia Mkwere

    Nilidhani ukiondoa wafanyakazi hewa,ukaondoa ufisadi,kutowaongezea mishahara watumishi,kupunguza matumzi yasiyo ya lazima serikali itakuwa umeipunguzia mzigo serikali hivyo utapunguza hata kodi kwenye mambo ya msingi kama vifaa vya ujenzi nk
Back
Top Bottom