Search results

  1. mkisyeli

    JKT 2018 updates

    Daah usahili mwaka huu unaweza kuchelewa cz zipo op 3 na hazijui hatima yake so kuongeza watu wengine ni changamoto kubwa saana maana hawa waliopo pia wanamatarajio makubwa asa ukiongeza op ingine shida ipo
  2. mkisyeli

    Anajitajika msichana wa Saloon ya kike..kigamboni-kibada

    Angalia DM yko thn unipe mrejesho
  3. mkisyeli

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Highness ww s ulishapima??? Vipimo s vile vile tu au kuna tofauti pia hukunipa mrejesho baada ya kupimwa mwili
  4. mkisyeli

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Simiyu zoez limeisha nimeongea na moja ya rafiki angu amepangiwa kigoma na ukishamaliza kila kitu wanakupa fomu na wanakuambia kambi gani ya kureport hiyo tar 4-9dec
  5. mkisyeli

    Special thread: Wilaya zilizo fungua dirisha la maombi ya kujiunga na JKT kwa utaratibu wa kujitolea kwa mwaka 2017

    Habarini za muda huu wakuu samahan kwa wale waliofanikiwa kupita mchujo wa jkt kwa ngazi ya mkoa vipi nini kinaendelea?? Ninaomba mrejesho tafadhali.
  6. mkisyeli

    JamiiForums Usiku wa manane

    Kwenye private sms
  7. mkisyeli

    JamiiForums Usiku wa manane

    Tatizo bhna na ww njoo tumalizane kule
  8. mkisyeli

    JamiiForums Usiku wa manane

    Njoo dm
  9. mkisyeli

    JamiiForums Usiku wa manane

    We wap
  10. mkisyeli

    JamiiForums Usiku wa manane

    Yes
  11. mkisyeli

    JamiiForums Usiku wa manane

    Liquid lounge
  12. mkisyeli

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Hahha ngoja KIXI aje akujibu mkuu maana sio poa mkuu
  13. mkisyeli

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Nimeambiwa hilo sema vijana wengi hatuna mazoez aiseee kama tunashindia balimi unafikiria utaweza kimbia naskia watu full kuzimia yaan
  14. mkisyeli

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Vp ww umepita?? Mimi nilikuwa na washikaj wawili lakn wote wametemwa nje
  15. mkisyeli

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Pole saana. Nimesikia kilichowakuta huko sio kizuri yaan mnakimbizwa round 3 alafu kwa uwanja ule kama hauna mazoezi duuh
  16. mkisyeli

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Umefanyia wap
  17. mkisyeli

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Duuh mkuu alienitumia hzo pics ni rafiki angu na yy katumiwa aisee
Back
Top Bottom