Search results

  1. warumi

    Lulu ajifungua mtoto wa kiume...

    Habari za chini ya kapet zinasema, mcheza filamu mwenye mvuto wa aina yake, Elizabeth Michael (lulu), amejifungua kwa operation katika hospital ya saifee, unaambia katika hospital hiyo kwa siku wanatoza 1M, kweli lulu kabarikiwa, Mungu ampe nini mtoto wa watu, mume tajir, ana mtoto dah
  2. warumi

    Munalove amvalisha Bobrisky

    Mmh huyu shoga kidawa c mlokole Jaman , imekuaje tena , ila ninachompendea Muna linajua kujipendekeza kwa watu wa maana, ila atengeneze tu pesa, hayo mambo ya ushoga wa bobrisky hayamuhusu[emoji16]
  3. warumi

    Zari na Diamond kuja na reality show yao on Netflix

    This is what I have been expecting from Zari , Sasa mastaa wabongo mtulie mjifunze maana ya reality show kwa Zari sio reality show zenu hizo fake za Instagram, can’t wait for this [emoji91] Can’t wait for this , hii show itakua ni , wabongo mkae mkao wa kula mjifunze maana ya reality show sasa...
  4. warumi

    Mastaa wasusia Party ya Gigy Money

    Huyu nae Kila Siku hajifunzi tu, kila siku mastaa wenzie wanamkimbia kwenye shughuli zake , ye kutwa kushoboka na za wenzie. Hizo pesa za kufanyia sherehe bora ungeenda kula na watoto yatima ukapata thawabu mbele za Mungu , unawaalika watu wanakunywa pombe za bure na kula bure halafu wanakusema...
  5. warumi

    Anguko la Wema Sepetu

    Ila anatia aibu Jaman, kutoka kuwa First class, A-List super star hadi kuangukia pua, Wema ndo kawa wa kutangaza matangazo ya waganga jamani? Like seriously? Ina maana hata Hamisa Mobetto kampiku akili? Mwenzie yuko anafanya ma deal makubwa na kina Rick Ross, makampuni ya maana hapa Tz , shoga...
  6. warumi

    Kajala na mwanae waja na Reality Tv show yao

    Mtu na mama yake ndo upumbavu wao ulipoishia hapa, mxieew reality show kwa maisha yapi waliokua nayo ? Kwa pesa Zipi? , yani kipi cha ajabu sana ambacho wanacho wakafanya mamillion ya watu waache kazi zao kuwatazama? Labda wa shoot porn . Kwa bongo hakuna staa mwenye hadhi ya kuanzisha reality...
  7. warumi

    Lemutuz awashauri Wanawake waliopata wadhfa Serikalini watunge Sheria za kuwalinda Wanawake

    Kumbe mjomba wake Mange sometimes dish linakua active.
  8. warumi

    Gigy Money aharibu tena Nairobi kwenye show ya Wife Material

    Huyu Gigy Sijui alirogwa au kajiroga mwenyewe kila anapogusa ni nuksi tu, show ya watu huko imehairishwa tena chanzo kikiwa ni yeye mwenyewe, Sijui linajikutaga nani, Yan linaudhi, kila sehemu likiwepo lazima lisababishe mkosi, na linavyoongeaga kama litahira kujifanya linajua kila kitu wakati...
  9. warumi

    Picha: Muna love akiwa na Zari...

    Ninachompendea Muna ana Tabia ya kujipendekeza kwa watu waliofanikiwa. Muna Siku hizi ka upgrade uchawa, kutoka kuwa mbeba mapochi wa wema, lulu hadi kuwa Karibu na bosslady Zari , kweli muna mtoto wa mjini anajua kutumia fursa, ana akili sana za biashara. Tunaomjua muna wa miaka hiyo ambaye...
  10. warumi

    Kajala Masanja simuelewagi

    Huyu Mama si ndiye aliyekua anamshutumu Hamisa kumpeleka mwanae kwa Rayvanny , Kajala huyu huyu alimpeleka Rayvanny polisi kisa anatembea na mwanae ambaye ni mwanafunzi, leo hii anamuachia tena yule yule aliyemdhalilisha mwanae mitandao ndo adate na mwanae na she doesn’t care at all. Mh nilikua...
  11. warumi

    Zari, Diamond ndani ya Zanzibar

    Shoga kidawa nasikia yuko Zanzibar na sadala(domo), Sijui ndo wameenda kuoana au ku shoot video, wanataka tu kutupa presha hapa wambea mxieew
  12. warumi

    Jackline Mengi: Nawapenda sana wamachame

    Mmh shoga kashaona wamachame maji marefu kaamua kujipendekeza mwenyewe yaishe mxieew umaskini mbaya, kaa upate mgawo wako ulee watoto wako, watoto wa mengi sio maskin kama wewe, shukuru Mungu tu ulizaa na mzee angalau mjini na wewe utaonekana sasa hivi
  13. warumi

    Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

    Mmh! Shoga kidawa Aunty Ezekiel kwenye mitandao ya kijamii kasema ametoa mchango million nne kumbe katoa laki mbili, Uwoya nae alitangaza kalipa mil 8 kumbe laki tano, hawa wanapenda sifa hela hawana, na hapo bado Domo atasema anatoa mil 100.
  14. warumi

    Usiyoyajua kuhusu Warumi

    Jinsia yangu ni ME, Kijana mpole sana na mwenye aibu ....ebu tupige story kidogo , ni vitu gani vimekua vikikufuraisha/ kukuboa kuhusu warumi?, na ungependa kufahamu nini kuhusu warumi?
  15. warumi

    Haunted houses zipo, chukua hatua

    Sijui why leo nipo kwenye mood ya kuongelea hii Topic , I hope itagusa watu na kuwasaidia kuchukua hatua. Mara nyingi tumekua tukiangalia Film’s za kutisha huko Hollywood kuhusu hizi haunted houses na mikasa ya kutisha kuhusu hizo nyumba zilizotawaliwa na ma roho /majini/ mapepo machafu. Na...
  16. warumi

    Ndoa ya Somizi na Mohale chalii

    Licha ya ndoa yao kuwa one of the biggest wedding ever iliyowahi kutokea South Africa, wanandoa maarufu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kutoka South Africa , Somiz (47)& mohale (26)wanaripotiwa kuachana miezi ya hivi karibuni, chanzo kikiwa ni mohale kushutumiwa kuwa ni gold digger...
  17. warumi

    Utata kifo cha Annele, mapya yaibuka...

    Hivi karibuni , video zimesambaa mitandaon,zikionyesha matukio ya violence baina ya rapper kutoka Africa kusini AKA na aliyekua mchumba wake Annele ambaye ni marehemu kwa sasa. Video hizo zinaonyesha rapper huyo akivunja mlango kwq hasira na kuingia kwenye chumba cha mpenzi wake annele miezi...
  18. warumi

    Diva achana na Udaku, haukufai

    Shoga kidawa toka afukuzwe kazi clouds basi anajifanya kajiajiri mwenyewe, madai anafanya gossip news , news zenyewe ana Copy paste trend news za Instagram ndo anapachika kwake, yani mpaka namuonea huruma. Inshort Diva umbea haumfai kabisa sio kipaji chake yani, huwa ananichekeshaga sana...
  19. warumi

    Wolper ni Mjamzito: Rich Mitindo aweka picha zao za "maternity photoshoot" mtandaoni

    Hatimaye siri imefichuka baada ya Rich Mitindo kuweka picha ya mpenziwe mwigizaji na mfanyabiashara Jackqueline Wolper akiwa na 'kibendi'. Wolper ambaye imekuwa ikisemwa ana ujauzito licha ya yeye mwenyewe kukana na hata kugombana na mwigizaji mwenzie Shamsa Ford, ameonekana mwenye furaha huku...
  20. warumi

    Diamond na kujimilikisha mali ambazo sio zake

    Mie toka adanganye amenunua rolls Royce toka Mwaka 2018 had leo halijaingia Tz ndo nkajua Kweli mondi NTU WA DILI[emoji16]. Mara anasema ana hotel Sijui wapi , mpaka wa leo hatujawah kuisikia tena , na ile mall ya wasafi Sijui imeishia nchi gani au ndo imekufa na corona, mara Sijui ana perfume...
Back
Top Bottom