Search results

  1. PHILE1879

    Gari Kwa gharama ya Tsh. 7,000,000.

    Raum nzuri. Ila isiwe A-hadi-C
  2. PHILE1879

    Gari Kwa gharama ya Tsh. 7,000,000.

    Hello JF members! Je inawezekana kupata Toyota Raum DS....and above Kwa Tsh. 7,000,000? Location: Mwanza . Mwongozo wenu tafadhali.🙏
  3. PHILE1879

    Mimi nataka kujua kitu kimoja na nataka nijibiwe sio kishabiki naomba nijibiwe kwa akili timam za mtu mwenye akili timamu.

    Wazazi wake walitoroka vita DRC mwaka 1998 akiwa na miaka 6. Hivyo maisha yake yote ni Hapa TZ, japo kwa sheria za uraia yeye hakuwa raia kwa sababu wazazi wake ni waCongo. Haya mambo yako Sana mikoa ya pembezoni mwa nchi.
  4. PHILE1879

    Msaada wa namna ya kuhamisha nguzo ya TANESCO

    Najua zilipo. Ili humu kuna wataalamu nisikie mawazo yao kabla kutimba tanesco. Ili niende nikijua ABC
  5. PHILE1879

    Msaada wa namna ya kuhamisha nguzo ya TANESCO

    Nilivuta umeme kwa nyumba kubwa ya mbele. Nguzo iliwekwa pembezoni mwa kiwanja. Jirani aliye nyumba yangu alivuta umeme wakamwekea nguzo. Lakini ili kukwepa mti ulio kwa jirani ,nyaya wakazipitisha katikati ya kiwanja juu ya msingi. Sasa msingi huo nimeujenga,lakini siwezi kuezeka Bila...
  6. PHILE1879

    Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada

    CRDB Bank Fixed deposit account, atakuwa anapata around 650,000 kwa mwezi.
  7. PHILE1879

    App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Ile Browser uliyotumia kuinstall hii App hupaswi kuifuta. Uki uninstall browser na app inapotea.
  8. PHILE1879

    Miaka 150 mpaka 200 ijayo, lugha zetu za asili nyingi zitakuwa zimetoweka

    Hakika https://www.jw.org/hay/makuruki-agahya/
  9. PHILE1879

    Ni App(s) gani bomba ambayo unajivunia katika simu yako?

    https://play.google.com/store/apps/details?id=org.jw.jwlibrary.mobile&hl=en&gl=US https://www.jw.org/sw/msaada-mtandaoni/jw-library/
  10. PHILE1879

    Ni App(s) gani bomba ambayo unajivunia katika simu yako?

    Ni app ya kikristo.Ndani ya app hii kuna biblia katika lugha mbali mbali,Kuna video zinazohusu biblia na encyclopepia ya biblia. Hakuna kuregister wala kulog in.
  11. PHILE1879

    Ni App(s) gani bomba ambayo unajivunia katika simu yako?

    JW LIBRARY Hii ni app ya kipekee sana.
  12. PHILE1879

    Muswada wa kuwekewa kinga kwa Rais wa Urusi

    Putin amekuwa rais anayekandamiza raia wake. mfano mmoja ni pale alipowapiga marufuku Mashahidi wa Yehova,eti ni magaidi! Watu ambao hata hawajui kushika bunduki! Russian police raid Jehovah's Witnesses' homes - BBC News
  13. PHILE1879

    Jina lake ni ngome imara

    HUYU NDIYE MUNGU? AKI LEO NAKUFA MAANA BIBLIA INASEMA "Huwezi kuuona uso wangu, kwa sababu hakuna mwanadamu anayeweza kuniona na aendelee kuishi.” Kutoka 33:20 Bye bye JamiiForums leo ndo hivyo tena nakufa!
  14. PHILE1879

    Guess the location

    umekosa!
  15. PHILE1879

    Guess the location

    umekosa
  16. PHILE1879

    Guess the location

    Kweli! lakini Ni Mwanza sehemu gani? Ujue mwanza kubwa.
Back
Top Bottom