Search results

  1. fortunate_goustone

    Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

    Mwenyezi Mungu akutie faraja katika hili ndugu..... Najua kwa nini umeandika uzi huu..... Kumbuka sote sisi ni mavumbi na kila mmoja ana wakati wake.
  2. fortunate_goustone

    Kilimanjaro: Mwanafunzi Ajinyonga kwa msongo wa Mawazo

    Nimeichek yule sista... Dah huzuni sana
  3. fortunate_goustone

    Ni muda gani mtu hupata mafao yake ya Pension baada ya kustaafu?

    Yaani umeandika vyema na mtiririko wenye kutia moyo sana.
  4. fortunate_goustone

    Tanzania tuna uhuru mkubwa wa habari na uhuru wa kujieleza, Serikali ina nia njema kusajili na Kudhibiti-Dr. Hassan Abbas afafanua live on Chan.10

    Kuna mahali niliona unazungumzia Press Card na kwamba Dr. Abbas ndo anahusika na utoaji wa cards hizo, hivi utaratibu huwa umekaaje kupata press card? Thanks in advance mkuu!
  5. fortunate_goustone

    Wakati umefika kuigawa CRDB Bank

    Kuna m Pia NMB Clock Tower, Arusha pia meneja ni bora, utendaji wake na namna anavyokuhudumia huku akiwa na mishe nyingine anafanya bila kupoteza muda. Tunahitaji watu kama hawa… Simple and Smart!
  6. fortunate_goustone

    Tishio la pesa za digitali: Je, Serikali zitabaki na Bunduki tu?

    Asee kuna watu wanapiga pesa sana kupitia bitcoin investment plans......
  7. fortunate_goustone

    Nimekata tamaa. Sina kazi na sina rafiki

    Usikate tamaa rafiki, kwa elimu yako na taaluma ya umeme nikukumbushe tu upo sehemu nzuri sana kwa hakika..... Ni dhambi kuinyima nafsi yako haki ya kuishi. Ni kosa kiimani kuitishia amani nafsi yako. Wapo wasio ona wala kusikia na bado wanamshukuru mungu kwa zawadi ya uhai... Zingatia Baraka!
  8. fortunate_goustone

    LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

    Dah.... Yaan unalinganisha kikombe na galoni... Asee tena nenda mlimani ukaombe radhi
  9. fortunate_goustone

    Napata wasiwasi na shule anayosoma kijana wangu

    Mkuu washtue taasisi na wizara ya elimu....
  10. fortunate_goustone

    GPA 3.4 inawezekana ku apply degree?

    Hata ungemaliza 1999, ingeleta shida mkuu...
  11. fortunate_goustone

    Chemsha ubongo tafadhali

    Hapo sawa.... [emoji736]
  12. fortunate_goustone

    Mwenye uelewa wa foundation course

    Tulia hapo hapo.... Huo mchezo umefutwa na TCU mwaka huu
  13. fortunate_goustone

    Natafuta kazi ya ualimu

    [emoji15] yan unailindaje taaluma kwa kutotaja SPECIALIZATION? Hii mpya bosi!
  14. fortunate_goustone

    Chini ya GPA 3.5 tunaweza ruhusiwa kusoma?

    Nitafute hapa 0679224180, nikupe technique....
  15. fortunate_goustone

    Tuliowahi kufukuzwa shule

    Nilifukuzwa shule tarehe 22/11/2004 siku ya jumatatu nikiwa kwenye line kuanza mitihani ya taifa Kidato cha pili.. M. Hili tukio lilivuruga ndoto zangu kabisa..... Nilikula ada ya chai
  16. fortunate_goustone

    Tazama namna ya kutumia mfumo wetu

    Mkubwa hii system tumia mbinu zote itangaze sana... Nimeikubali sana! Idea na coding ulizofanya sio mchezo big up! Ila kuna vitu vidogo vya kilugha badilisha uhudumie watu wote wasione tovuti sio ya kinamna.... Mfano JISAJIRI iwe JISAJILI..... Ahsante sana mkuu!
Back
Top Bottom