Search results

  1. J

    Je huu mradi unaweza kunitoa kimasomaso?

    nami naona uanze na kuku angalau na kuku 300. Mimi nimeishaanza. Nao mia tatu. Huu ni mwezi wa tatu. Nafuga pia kuku wa nyama wa kisasa.
  2. J

    Je,mwenye diploma ya engineering anaweza kuchukua degree yoyote ya koz za business?

    Anaweza sana. Mimi nilisoma Post Graduate Diploma in Business Administration pale IFM. Tulikuwa watatu na wote tulifanya vizuri sana. Wawili tulikuwa na ADVANCED DIPLOMA OF Mech. Engineering na mwezetu alikuwa na Advanced Diploma ya Telecommunication. Wote kutoka DIT. Sasa hivi wengine...
  3. J

    Elimu ya ftc

    Angalia DIT website itakusaidia
  4. J

    Elimu ya ftc

    Nchi hii hubadilisha mambo mara kwa mara. Sasa inaitwa diploma. Siku hizi hata Elimu ya Advanced Diploma haipo. Siku hizi hata diploma ina viwango vyake kulingana na Nacte.
  5. J

    Hongera Jeshi la Magereza na Mbunge wa Segerea

    Mheshimiwa, nakushukuru kwa kuliona hilo. Sasa tumeishazuiwa njia. Ila gereza liliikuta njia. kwa kawaida ukikuta njia, inabidi watu uwape nyingine kabla ya kufunga ya mwanzo. Nadhani tujitahidi kutengeneza pale kwenye vilima kwani vinateleza wakati wa mvua. Bajaj zetu itabidi kuziacha Segerea...
  6. J

    Mtaa wa wafugaji wa kuku

    Asante bwana. Wafugaji tupo. Nami huwa nauona ugonjwa huo. Ila nadhani ukitumia dawa nzuri mwanzoni huwa haupatikani. Jitahidi kupata ushauri wa daktari. Tuendelee kuwasiliana kwa jonasmpango@yahoo.co.uk
Back
Top Bottom