Search results

  1. S

    Tuseme Ukweli - Kikwete aliiba kura kwenye uchaguzi mkuu 2010

    Ya nini kupiga mzunguko wa kichaka (hit around the bush)? Waliyofanya ccm kwenye chaguzi za meya Arusha na kwingineko, ni kivuli tu cha yale waliyofanya mwezi november mwaka jana.
  2. S

    Ufisadi wa Kikwete haukuanza leo - ulianza wakati wa Mwinyi

    Fuatilia wizara alizoongoza kipindi kile
  3. S

    Set the record straight - wanafunzi UDOM wengi sio wana CCM

    Nimesoma comments kibao sana hapa JF kuhusu mgomo wa wanafunzi wa UDOM. Kuna theme moja nimeiona inashika moto hapa JF kuwa wanafunzi wa UDOM ni wana CCM. You know what, hata mimi nilikuwa nadhania hivyo just few months ago. Kulikuwa na habari kibao kuhusu wana UDOM wakienda kukutana na...
  4. S

    Mbunge gani ungependa kusikia akichangia (au kutoa hoja) bungeni?

    Kabla wapambe hamjaanza kumsakama SD kwa hii thread, naomba tu mfunge macho yenu, mkuze fikra zenu, mchore picha mawinguni, muuhisi mdhanio wa upepo mwanana wa bahari ukivuma tokea pwani ya Tanga, mnuse harufu nzuri ya mdalasini na grrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaph.... .......ghafla.......Sauti ya...
  5. S

    Elections 2010 Fact: Mosque behind Kikwete's (and ccm) popularity in Bagamoyo (and coastal area)

    Kama inavyojulikana kote, CHADEMA na Dr. Slaa (PhD) walishinda katika mikoa ya ziwa, kaskazini, kusini na magharibi. Walileta upinzani mkubwa sana kwenye mikoa ya kati na wakamalizia kwa ushindi wa kutosha kwenye mkoa wa Dar es salaam. NEC ya CCM ikaamua kuchelewesha kutangaza matokeo ya...
  6. S

    Re: Why Did Nyerere Support Biafra? - Semantics !

    Jamani Zitto, Unachinja sana lugha ya malkia. Andika kiswahili na utaeleweka vizuri zaidi.
  7. S

    Hivi ni makosa kumuita mwizi wa kura kwa jina stahili ---- mwizi?

    Jiulize mwenyewe na utafakari
  8. S

    Kwanini kura zisihesabiwe vituoni moja kwa moja?

    Kulingana na mahojiano yanayoendelea live sasa hivi ITV kati ya Masako na Joshua Joel kutoka sumbawanga (Rukwa), kuna jambo nimelisikia ambalo limenitatiza sana. According to Joshua, matokeo hayajatangazwa kwa vile masanduku ya kura yamechelewa kuletwa kwenye kituo cha kuhesabia kura. Hii...
  9. S

    Elections 2010 Flow ya matokeo yanaashiria Dr. Slaa kushinda?

    Nimeendelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi Tanzania. So far, kwa yale ambayo yameripotiwa, CHADEMA imefanya (kuongoza) katika mikoa ya ziwa, kaskazini na nyanda za juu kusini. Ukifuatilia sensa ya karibuni, hii mikoa (ukiacha mkoa wa Dar) ndio ina watu wengi Tanzania. Mkoa wa Dar es salaam...
  10. S

    Sheria kali zichukuliwe dhidi ya wabakaji

    Hawa inabidi adhabu yao iwe mara mbili ya adhabu ya wabakaji wasio viongozi wa dini:
  11. S

    Elections 2010 Chadema iwaambie wananchi haya - pokeeni pesa za CCM ila kura zenu mpige mnakopenda

    Wengi hapa tumesoma yaliyotokea dodoma kwenye mkutano wa bilal. Jamaa alikosa watu kabisa ikabidi malori yatumike kutafuta watu sehemu zingine na kuwaleta kwenye mkutano (kwa mafungu). Hawa jamaa kwa kweli pesa wanazo, wamejaza mabango yote Tanzania, waandishi wa habari wote wanalipwa laki...
  12. S

    Kikwete ndiye alisaini mkataba wa madini wa bulyanhulu?

    Kulikuwa na sababu kubwa kabisa kwa TBC kukatisha matangazo ya uzinduzi wa kampeni ya chadema. Sababu hiyo ni kumlinda mgombea wa uraisi kwa tiketi ya ccm - Mheshimiwa Kikwete. Kwa waliomsikiliza Tundu Lissu, Kikwete alisaini mkataba wa kifisadi wa madini wa bulyanhulu (sijui kama alipata 10...
  13. S

    Elections 2010 Ufisadi wa kutisha ikulu - Kikwete atumia bilion 29 kukarabati ikulu

    kwa mujibu wa CAG (kupitia kwa mbunge wa moshi mjini Ndesamburo), serikali ya Kikwete imetumia bilioni 29 (nimesema bilioni yenye B) kukarabati ikulu. Kumbuka kuwa ikulu ilikarabatiwa kwa bilioni 4+ miaka ya mwisho ya utawala wa Mwinyi, Mkapa alitumia karibu bilioni 10 kuikarabati. Kikwete...
  14. S

    How CCM Miscalculated Entirely Everything

    1. By nominating this honorable: Using a "book" in a press conference! Are you kidding me? 2.....
  15. S

    Elections 2010 Malaria Sugu ni msemaji wa kampeni ya Kikwete (na CCM)

    Yes, yeye Malaria Sugu, na pacha wake Tumaini, na binamu yake Kanda2. Kwa kadri ambavyo mods wanayakubali yale wanayobandika hapa na kuacha yaendelee kukaa kwa miezi na miaka kadhaa (kitu ambacho ni kizuri ukichukulia uhuru wa maoni unaoruhusiwa na JF), ikubaliwe kuwa hiyo format...
  16. S

    Safari za Kikwete nje zimegharimu kiasi gani?

    Je, ni kiasi gani zimetumika so far kuanzia 2006 hadi leo? Wanachama wenye data wa JF - Invisible, Halisi, Enigma, na wengineo, je mnaweza kutuambia?
  17. S

    Kufariki kwa Mwandishi wa Habari Makubo; Je kuna mkono wa mtu?

    Awali - kuna habari kuwa mwandishi wa habari wa Tarime ambaye amehusika sana kwenye kutoa habari za uchafuzi wa mazingira uliofanywa na kampuni za madini tarime amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo (moyo umepasuka). Update: Kuna taarifa nilizopata muda mfupi uliopita kuwa familia ya...
  18. S

    Tanzanian Onion-1 : JM Kikwete at the White House

    Ladies and Gentlemen, the president of URT - Hon Jakaya Kikwete. Few minutes later....... "Is it my eyes or your president appears to have more than five undershirts on?", asked Julie, a special assistant to the state department. She has been asking so many questions today. "I don't know"...
Back
Top Bottom