Search results

  1. naa

    Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Uzazi wa mpango,hormones imbalance kunenepa baada ya kujifingua.. hizo zote zinaweza kua sababu mkuu badala ya kurusha lawama tu jaribu kua muelewa na mtafute suluhu, achana na hao viwambaza walokaza anagongwa nnje.
  2. naa

    Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. naa

    Kipi kimetokea umejikuta hauna rafiki hata mmoja?

    Wewe ni mimi kabisaa..i can’t keep up,yaani ikiwa hatuonani mara kwa mara ndo imeishaa hiyo
  4. naa

    Nifanye nini niongezeke uzito?

    Yaani atulie tu nlikua kama yeye nahangaika kunenepa, baada ya kuzaa nimefutuka natamani kulia nahangaika kupungua sasa
  5. naa

    Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

    Hyo bei ya eplasi na budget yake ni huzuni [emoji80]
  6. naa

    Joto ya jiwe ATM haijatema, Dar es Salaam joto lipo kati ya 33°c na 34°c

    Kwani bia si ni maji pia me ndo nasindikizia joto hapa [emoji1]
  7. naa

    Shida ya mtoto kutopenda kula kwa hiari yake

    Apime wingi wa damu kama iko chini apwe dawa za kuongeza damu
  8. naa

    Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

    Hahaha dah!
  9. naa

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Ni huzuni [emoji3]
  10. naa

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Baada ya kukosa usingizi [emoji3]
  11. naa

    Kwa bajeti ya 250k mpaka 270k simu gani nzuri nichukue?

    Kuna hii nimeona inaitwa lg velvet vipi hyo mkuu
  12. naa

    Kwa bajeti ya 250k mpaka 270k simu gani nzuri nichukue?

    Mkuu kwa 400k nichukue simu gani? Iwe na camera nzuri na slim, yaani cm ya kidada [emoji846]
  13. naa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu nipe code nirud kutest kama kigundu kimeisha [emoji3]
  14. naa

    Ambao mna marafiki huwa mnawapataje?

    Jamani kama leo am bored to the maximum, natamani ningekua na mashost tukatoka tukaenjoy[emoji53]
  15. naa

    App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Browser habari za kubonyeza next na ukitaka kurudi mwanzo lazima urud had page ya kwanza vinanikwaza mnoo. Halafu hata mpangilio wake haunivutii hata robo naona siku app ikifa na mimi ndo utakua mwsho wa kutumia jf
  16. naa

    App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Me browser ndo imenishinda jamani, nshakubali swala la kutoona picha
  17. naa

    Watanzania tujifunze na kujadili hatma ya vizazi vyetu, hali ya nchi ni mbaya sana

    Haya mambo yanakera mnooo, nachukia kuzaliwa mtanzania
  18. naa

    Watanzania tujifunze na kujadili hatma ya vizazi vyetu, hali ya nchi ni mbaya sana

    Hayawezi kupita, tuache ubinafsi tufikirie vizazi vijavyo tuamke tuwapambanie. Hivi walopigania uhuru wangekua waoga waoga na kusema yatapita sisi saivi tungekua tunaishije!? Ifike sehem tukatae huu ushenzi wa wachache wao watoto zao wanawakimbiza nnje na kurithishana vitengo, watoto wetu ndo...
  19. naa

    FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    Hata akipoteza hatuna tunachomdai kazi kaifanya mengine majaliwa tu
Back
Top Bottom