Search results

  1. Spalulu

    Nahitaji Virgin Hair Fertilizer

    Habarini wadau, Kama inavyojieleza hapo juu, natafuta hiyo kitu (virgin hair fertilizer) mwenye kujua zinapatikana wapi tafadhali anijuze. Natanguliza shukrani
  2. Spalulu

    Mtumishi Serikalini kuomba ajira nyingine PSRS

    Habari zenu wakuu, Naomba kupata ufafanuzi, hivi watu wa PSRS wanaajiri watumishi wako makazini tayari? Maana katika matangazo yao wanaandika watumishi waloajiriwa Serikali wapitishe maombi yao kwa waajiri wao. Nimefanya hivyo mara kadhaa lakini sijawahi itwa kwa interview hata mara moja...
  3. Spalulu

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Mbezi Beach

    Habarini waungwana, natafuta nyumba maeneo ya mbezi Beach, two bedrooms self-contained, isiyozidi laki nne. Ni PM kama una taarifa nazo
  4. Spalulu

    Nisaidieni Dawa ya Tatizo hili

    Habari wana Jf, nina kijibustani changu hapa nyumbani nimepanda mboga chache, sasa nimegundua ni zaidi ya mara mbili au tatu, kila nikimwaga mbegu za mchicha sisimizi wanashambulia mara tu mchicha ukianza kuota na hivyo hauendelei. Nitumie mbinu gani au dawa gani kuondoa sisimizi hawa? Asanteni.
  5. Spalulu

    Contraceptives

    Habarini waungwana. Nisaidieni ktk hili, kwa wale watumiaji wa artificial contraceptives, je kuna ukweli wowote kuwa kutumia loop, (kitanzi) kuna-limit sex styles? Yaani unatumia style moja tu? (Ile iliyozoeleka)
  6. Spalulu

    Urembo asilia

    Habarini waungwana, wiki iliyopita nilisoma habari za mwanamama mmoja mjasiriamali anayeuza urembo asilia kwa ajili ya nywele, ngozi na vinginevyo. Bahati mbaya gazeti silioni hapa hata jina silikumbuki. Habari hii ilieleza kuwa mwanamama huyu anapatikana magomeni japo haikusema ni magomeni...
  7. Spalulu

    Natafuta mpambaji wa maharusi

    Natafuta mpambaji mzuri wa maharusi hapa Dar, Si mbaya km nitajua na gharama zake pia
  8. Spalulu

    Msaada wenu pls

    Habarin waungwana, nna computer yangu aina ya Hp, ilikufa harddisk tukaweka nyingine. Tatito ni kwamba tangu iwekwe hiyo hard disk ingine imekuwa hain sauti. Nimejaribu nimeshindwa. Nimeomba msaada kwa watu nao wameshindwa. Jingine ni screen brightness ina mwanga mkali sana.Nimejaribu kutafuta...
  9. Spalulu

    Kunenepa zaidi mikononi husababishwa na nini?

    Habari zenu wana jf, mmekuwa msaada kwangu kwa mengi sana. Sasa leo tena unisaidie kwa hili, hivi kunenepa mikono zaidi au miguu nini kisababishi? Na nini suluhisho lake? Hasa mikono wadau. Nimeona wadada wengi wana maumbile hayo. Utamuona ana umbo la kawaida sehemu zingine lkn mikono ni zaidi...
  10. Spalulu

    Msaada Nilotic Languages

    Habari wana jf! Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili katika lugha, katika chuo kimojawapo nchini. Nafanya utafiti mdogo katika "Maasai Nominal Morphology"( kama hujui hii terminology usihangaike sana) wanaoelewa watanisaidia. Tafadhali mwenye fununu na jambo hili anipe abc, utakuwa...
Back
Top Bottom