Search results

  1. Spalulu

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba kujua kama naweza fanya money tranfer from nmb to crdb kwa atm
  2. Spalulu

    Je, Dkt. Abdallah Possi na Dkt. Ally Possi ni ndugu? Nimevutiwa nao...

    Professor Mwajabu alinifundisha course ya special needs education, sijui PE ngapi nishasahau, alikuwa akiwatolea sana mifano wanawe hawa ktk lecture zake. Alinuia kusoma course za special needs kwa sababu ya wanae hawa walokuwa na mahitaji maalum
  3. Spalulu

    Haya ndiyo ya kufanya kama una uso wenye mafuta

    Em jaribu kutengeneza mwenyewe nyumbani. Kama hujui angalia tutorials za you tube jinsi ya kutengeneza mafuta ya nazi. Ni rahisi sana Kuna/saga nazi zako km tatu hivi Chuja vizuri Acha ilale kwa fridge usiku wote Asubuhi mafuta yatakuwa yamejitenga juu na maji chini Engua mafuta hayo na chemsha...
  4. Spalulu

    Enzi zetu bwana!! Mambo yalikuwa hivi...

    Mchezo wa baba kasema......... Afu tunachora tulichotajiwa na mmoja wetu
  5. Spalulu

    Enzi zetu bwana!! Mambo yalikuwa hivi...

    SShule za vijijini mtoto kuja bila viatu kawaida sana. Madaftari kubebwa kwenye plastic bags, wasio nazo hasa drs la kwanza na la pili walikuwa wanaweka mgongoni baada ya kuchomekea shati/blouse Tumebeba sana nyasi za kuezekea vyoo almaarufu kama 'lyundu' Tumebeba sana samadi almaarufu kama...
  6. Spalulu

    Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Mara nyingi Mungu huacha tuhangaike kwa uwezo wetu wote bila mafanikio, si kwamba hajui au hatuoni, ila ili yeye ajitwalie Utukufu na siyo sisi! Pale jitihada zetu zote kama binadamu zinapokwama ndipo yeye kiurahisi tu hufungua njia. Naamini hivi karibuni utatupa ushuhuda. Wengine mchango wetu...
  7. Spalulu

    Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Pole sana mdogo wangu, Mungu yu-upande wako hatakuacha. Zidi kumuomba na kumtumaini. Nafurahi kwamba licha ya changamoto nyingi unazopitia, bado ndoto yako haijazima. Na kwa kweli, lolote lisizimishe ndoto yako. Your son will shine very soon. Yusufu alikuwa na ndoto, alipowasimulia ndugu zake...
  8. Spalulu

    Jifunze namna ya kujikinga dhidi ya radi

    Asante sana kwa elimu
  9. Spalulu

    Noela: Mwanafunzi aliyeshangaza watu kwa kuandika hotuba ya Waziri Mkuu

    NNimekupenda bureee Noela! You are determined my daughter! Keep it up! With God on your side. Your dream will come true!
  10. Spalulu

    Walimu Sekondari kupelekwa kufundisha shule za Msingi

    Sioni kusudi lao kwa kweli, unless wahusika wangepelekwa shule za mbali kwenye upungufu kweli wa walimu. Yaani wanazungushwa ndani ya kata hiyo hiyo, mradi ni shule ya msingi. Not fair kwa kweli. Na huko wanakopelekwa tayari kimejaa walimu. Wanasolve nini Jamani? Kingine, mahali pengine hadi...
  11. Spalulu

    Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

    Vimenipa shida sana hivi pale Udsm Hall4, 7, Coet! Loooh! Acheni tu jamani maisha yale siyo kabisa
  12. Spalulu

    TAMISEMI yafanya uhakiki wa walimu

    Hawajalazimishwa kunako huko, wengi wanapenda na hawataki kabisa kusikia sekondari. Kwa kuwa ngazi za mishahara ni zile zile kutegemeana na elimu na muda uloanza kazi. Sasa kuna haja gani?
  13. Spalulu

    UDSM, usafi wa vyoo umewashinda?

    Sitaki kukumbuka adha hii jamani pale vyoo vya SR's looh!
  14. Spalulu

    Miliki na jenga nyumba yako na al-balwan investment company limited kwa gharama nafuu.

    Umehama One to One focus, au nyie ni ndugu?
  15. Spalulu

    Brown rice,mchele maalumu kwa watu wenye kisukari.

    Hiyo jumla ni kuanzia kilo ngapi? Unatuma kwa wateja walk nje ya AR?
Back
Top Bottom