Search results

  1. Rodyizzy

    Jinsi ya kutuma barua ya maombi ya kazi kwa njia ya e-mail

    nataka kutuma barua ila maelezo yote ya barua nimekwisha yaandika kwenye Microsoft word sasa nimekwama kwenye kucompose e-mail apo kwenye mistari ya rangi nyekundu inafaa kuandika nini
  2. Rodyizzy

    Maisha baada ya kifo

    Habari zenu Nina maswali ambayo kwa uwezo wa fikra zangu nimeshindwa kuyapatia jibu ,nimeamua kuyaleta kwenu najua siwezi kukosa jibu, maswali yanahusiana na imani zaid NOTE: usilete utani tupo apa kusaidiana 1:Kwa mujibu wa imani zetu tunafundishwa kwamba siku ya mwisho baada ya ukumu wenye...
  3. Rodyizzy

    HEKIMA YA NG'OMBE PAMOJA NA UPUMBAVU WA KUKU

    Ng'ombe, akishatoa maziwa ya kulisha familia nzima, hurejea katika malisho yake taratibu. Lakini kuku, akishataga yai moja hupiga kelele ili kila mtu ajue. Je! Yai hilo alilotaga laweza kutosha hata kwa mlo wa mtu mmoja? Jibu ni hapana. Katika maisha kuna watu wa aina 2 kuna wale wanaofanana na...
  4. Rodyizzy

    Tofauti kati ya mwanaume mwembamba na mnene katika mapenzi

    Habari zenu kuna swali huwa najiuliza ila bado sijapata jibu,nimeamua kuwashirikisha huwenda mtanisaidia kupata jibu ningependa hasa kupata jibu kutoka kwa wakina dada kwani wao ndio wahusika wakuu ila pia si mbaya ata wakina kaka wenye experience wakinijibu. swali: hivi kwanini wadada wengi...
  5. Rodyizzy

    Nafasi za kazi za uhakika

    Habari zenu wana JF msaada wenu tafadhali, nahitaji kujua website za kuaminika zinazotangaza ajira za uhakika asanteni!
Back
Top Bottom