Search results

  1. bg_dg_dy

    Mfumuko wa bei wawafukuza wafanyabiashara wa kigeni Kariakoo, wasema wanapata hasara

    Conversion rate for United States Dollar to Tanzanian Shilling United States Dollar to Tanzanian Shilling - Google Suche Exchange rate haijafika huko 2,800 bali ni 2,570
  2. bg_dg_dy

    Mjue video vixen wa nyimbo ya Mapozi

    Yaliyomo yamo???
  3. bg_dg_dy

    Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

    Hii imenikumbusha na kunitafakarisha matukio ya nyuma sana huko uyahudi, wafarisayi wakiulizwa ile dinari ina chapa ya nani? Wakajibu ya Kaisari! basi ufafanuzi ukatolewa kuwa ya kaisari apewe kaisari na Muumba apewe muumba. Hii pia Ndg. Bashe yaweza tumika kwa busara afuate yaliyohitajika na...
  4. bg_dg_dy

    Je, Mamlaka iliyomuhamishia Mwamposa nyuma ya Shule za Feza, Ukwamani Secondary na Kawe B ina Akili sawa sawa?

    Nasikitika nto maada anazungumza haya akiwa hana ushahidi wowote , naikimbuka Jamii Forums ya kipindi cha nyuma kipindi najiunga nayo, uzi nyingi ziliketwa zikiwa na ushahidi hata wa nyaraka muhimu kuthibitisha kilichoandikwa, lakini sasa hv ni mkusanyiko wa watu wanasema nini ; wazungu wanasema...
  5. bg_dg_dy

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Hii kitu isikie kwa mwenzako, omba lisikutokee. Kuna jamaa yangu moja ilikuwa hvyo hvyo sema alishampoteza tayari mke wake ugonjwa huo huo. Ndugu kaza moyo yote Mungu atakuvusha salama
  6. bg_dg_dy

    Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

    I feel you bro, nakuunga mkono
  7. bg_dg_dy

    Nani kamfunika mwenzie kwenye hii Track?

    Watatoboa soon, sikuhizi nyimbo za kuchekesha na mapenzi ndiyo zinabutua
  8. bg_dg_dy

    Ndio nimejiunga leo na JF wakuu

    Hongera sana, nakupa moyo. Mie leo ni mwaka wa 15 toka nimejiunga na JF “where we dare tak openly”
  9. bg_dg_dy

    Komando na Manati

    Rejea historia ya Goliath na Mfalme Daudi akiwa kinda, hapo ndo utajua haujui nguvu ya silaha ndogo km hiyo kwenye uwanda wa vita
  10. bg_dg_dy

    Ushauri rangi ya kupaka ukuta wa nje nyumba yenye bati la kijani

    Neutral colors such as white, beige, and gray are popular choices for houses with green roofs as they provide a clean and timeless look. These colors can complement a green roof and blend well with the natural environment, creating a cohesive and balanced look.
  11. bg_dg_dy

    Mama mkwe mtarajiwa hataki binti yake aolewe na Kabila langu

    Wanasema mkurua bila mwanamke kupigwa inaonekana hapendwi
  12. bg_dg_dy

    Mama mkwe mtarajiwa hataki binti yake aolewe na Kabila langu

    Wanasema mkurua bila mwanamke kupigwa inaonekana hapendwi
  13. bg_dg_dy

    Jinsi binti yake TB Joshua alivyokabiliana na baba yake kwa kufichua maovu yake

    Hii story inanifikirisha sana na scandal aliyoundiwa kijana mmoja nabii mhubiri maarufu daslamu
  14. bg_dg_dy

    Fatma Karume atoa ya moyoni kuhusu aliekuwa Mume wake

    Mfumo dume katika jamii ndio umetamadali, kwani siku zote mwananke hunyooshewa kidole lkn mwanaume hatazamwi makosa yake. Kuna msemo upo usemao “hakuna changupaka bali changudoa” Hii inamaanisha makosa ya mwanamke huwa ya ainekana zaidi kuliko makosa ayafanyayo mwanaume hasahasa kwenye suala...
  15. bg_dg_dy

    Mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ulinzi maeneo ya nyumbani?

    Nzuri ni mbwa koko mtunze na mwonyeshe upendo ni very loyal na anawafahamu household wote , wala hana gharama. Zingatia chanjo maana ni wepesi kuoata ukichaa wa mbwa
  16. bg_dg_dy

    Nyuki wameingia ndani,baadae wamekufa wenyewe

    Ni kweli bahati halafu tegemea kupata ugeni hivi karibuni
Back
Top Bottom