Search results

  1. Rwaz

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    kwa vile umejenga hoja kama mtu timamu( maana humu wachambuzi wasio na mihemko wamekuwa adimu), unadhan nani atakuwa mhanga zaid wa hali hii
  2. Rwaz

    Msuya atueleze aliko Sokoine

    Kawawa alikufa na majibu sahihi. Nyerere alikufa na majibu sahihi. Dr Shaba alikufa na majibu kamili. ..TUPITIE HAPA KWANZA: https://www.jamiiforums.com/threads/je-sokoine-alikufa-kwa-ajali-ya-gari-au-aliuawa-kwa-kupigwa-risasi-18-kifuani.1879908/post-39321238
  3. Rwaz

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Nasibu we endelea kujilia hiyo mbegu ya kirundi bana, hujala cha mtu! Hata ukipiga deki ni msafi. Nakushukuru eeh Mungu kwa kunifanya niwe mfuasi wa Yesu Kristo (JOSHUA) katika kila jambo. ...Sipendi mafungamano na mwanamke ili asimiliki nafs yangu na kunifunga hatamu, lakin nawahitaji sana(...
  4. Rwaz

    Kwa wanaume upendo unaanzia wapi baada ya tendo au kabla??

    hebu tuzijue kwanza aina za upendo 1. Eros: Erotic, Passionate Love 2. Philia: Love of Friends and Equals 3. Storge: Love of Parents for Children 4. Agape: Love of Mankind. ..Kama ulimaanisha Passionate love hutapata jibu sahihi (ni subjective). ..Kuna ambapo ukishatoa mzigo biashara imeisha...
  5. Rwaz

    PICHA: Nchi kama hii hata magonjwa utayasikia redioni tu

    tungekuwa na uongozi wenye fikra tunduizi unatoka mbezi mwisho hadi mikoani unapita barabara ina miti ya matunda na mapambo kila aina pembeni.
  6. Rwaz

    Tuonyeshe picha ya baadhi ya vifaa vyako vya kazi vinavokupa maisha

    hii kazi gani inahitaji zana zote hivi kama si kazi ya kurekebisha tabia!1!
  7. Rwaz

    Mwanaume zingatia haya mambo madogo

    niliwai kubahatika kuingia mahabusu kahama kama mtuhumiwa miaka ya 2012. sikuamini nilichoona wanaume wa kisukuma hawatofautishi chupi za kiume na kike! wanavaa zozote bila hofu, hadi bikini! sijui na wanawake ni hivyo hivyo au la!
  8. Rwaz

    Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

    ndoa za kiisram vs kikristo ni kama ubepari na ujamaa! sasa tuanzie hapo ujue upi mfumo wenye ufanisi na tija ukweli ni kuwa inahitajika nguvu isiyo ya kadri kuutetea ujamaa! ndiyo mana hata Tz tukabaki nao katika makaratasi. Vile vile wakristo wanao katika cheti cha ndoa tu, wakiishi mitala...
  9. Rwaz

    Nchi ya Rwanda inaadhimisha miaka 30 tangu kutokea kwa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mwaka 1994

    kwan wahutu hawakufa!!!!!!!! Au roho zao hazihazimishwi
  10. Rwaz

    Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

    hivi dada zangu wahaya huwa wanapatikana kundi gani zuri! Mana kila ubaya wanatajwa ilihali sisi kaka zao ndo tunaonaga ni best of the best!
  11. Rwaz

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    binafsi navitambua na kuviheshimu vitabu vinavyodhaniwa vitakatifu kwa dhana moja tu kwamba ni mkusanyiko wa mafundisho yenye hekma na historia za kweli na kufikirika kwa nyakati hizo. Ili kuvipa nguvu ya kuheshimika na kufwatwa ilibidi itumike mbinu ya ni ...Neno la Mungu Kinachothibisha...
  12. Rwaz

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    nijuavyo mimi ukishaingiza neno* kuamini* umeachana na kuthibitisha! Mambo ya kiroho tunatembelea kuamini baas! Tunapoachana ni kwenye mambo ya kuamini. Ndo hapo tunakutana na wanaoamini kijinga na wanaomini kwa hekima! Ndo kusema washirikina wanaamini kijinga. Mbaya zaidi kuna ushirikina...
  13. Rwaz

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    hebu anza leo kufikiri nje ya hayo ma vitabu! utajikomboa katika mengi. fikiri hivi: biblia haipo na hujawai kuiskia, unajiridhishaje katika hoja husika!
  14. Rwaz

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Upeo wako ndugu ni mkubwa kiasi kuutumia kwa mtu anayeamini katika ushirikina ni ku misuse resources! Ukiangalia watu kwa Mwamposa na makanisani wanavyosaka miujiza ndo utajua safari ni ndefu sana!
  15. Rwaz

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Nikiona mtu anajenga hoja alafu anarejea biblia au quran au torati kwa kigezo ni neno la Mungu/mungu najua tu bado yuko kwenye box lile lile. Ni tatizo la kuwa na msingi usio imara au kujenga hoja kwa kuegemeo mwerekeo mmoja kwa sababu ya kuingiziwa data za aina moja ya kuwaza. Ni matokeo ya...
  16. Rwaz

    Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

    hakuna haramu wala halali katika utafutaji! tofauti ni kwamba kuna uharamu uliokubalika na ambao haukukubalika. Mwanza kuna jamaa aliuza bajaji yake mil 5. akawa anabeti stake ya mil 1 kila siku anapata laki 1. miaka 5 hajapotezaga
  17. Rwaz

    Kufanya mapenzi/ngono kwenye gari yako ni kosa kisheria?

    kwa kuweka mjadala sawa na kupunguza upotoshaji tuelewane kazi ya polisi ni kusimamia sheria na maadili! Sasa kisheria hakuna jinai kwa kufanya mapenzi hadharan. ila kupitia mlango wa maadili wanatakiwa wakuzuie ingawa hakuna charge ya kukupeleka nayo mahakaman labda kubambikiana jinai...
  18. Rwaz

    Kagera kinara matumizi ya vyoo visivyo bora

    chonka bojo!! Ila wasubi, wahangaza, waha na warund wahamiaji huwa wanaharibu takwimu za Kagera!!!!! Itabid sasa takwimu za wahaya na wanyambo ziwe zinakaa pamoja pekee.
  19. Rwaz

    Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

    wakati unaandika mambo mengi hebu jipitishe kidogo kwenye shule ya sifa za kiongozi. Makonda ni total disgrace! Na ataendelea kukataliwa na kudumu popote katika hali ya kubebwa na unafiki katika kutumika na kutumiwa kisiasa. Ni kama uwe na biashara haramu na unakaa karibu na liuaji ili...
Back
Top Bottom