Search results

  1. amaizing

    Mambo 10 ya kuzingatia kabla ya kuvuka miaka 26

    1. Ishi kwa kumtegemea Mungu 2. Weka akiba ya fedha bank 3. Tafuta mpenz mmoja sahihi, atakaekuwa mshaur kwako 4. Anza maisha ya kujitegemea na sio kuishi kwa wazazi au marafiki 5. Kuwa na marafiki wenye changamoto za maendeleo...
  2. amaizing

    Rufaa ya mawakili inachukua muda gani?

    habar wanasheria.nina kesi mahakaman nimedhurumiwa nyumba,wakil wangu aliiomba mahakama kuwa wakil wa upande wa pili(means walionidhuru) aondolewe na jaj alikubal ombi lile,so yule wakil alikata rufaa ili aendelee kucmamia hii kesi.toka alivyokata rufaa ni mwaka umepta kesi haijacklzwa.naomba...
  3. amaizing

    Nafasi ya kujitolea iringa

    wadau nna degree ya public administration,naomben mnijuze ni kampun ip naweza kujitolea mkoan iringa il nipate experience.b blcd
  4. amaizing

    mwanaume nileyezaa nae haeleweki

    nilikuwa na mpenz tuliyedumu miaka sita,bahat nzur nlpata ujauzito na nikazaa salama,isue inakuja baada ya kuzaa nilifaham kuwa jamaa kuna mwanamke kamzalsha pia na watoto wetu wamepishana miez 2.niliamua kuachana nae na sasa mtoto anamiaka mitatu na hajawah kumhudumia,cha ajab mwanamke wake...
Back
Top Bottom