Search results

  1. R

    Alichokisema Pengo Mahubiri ya Christmas

    Elsewhere, Polycarp Cardinal Pengo urged Tanzanians to support President John Magufuli’s efforts to bring development in the country by working hard. He said in his Christmas Eve sermon at St Marcus Church in Kurasini Parish, Dar es Salaam, that Tanzanians should work hard without complaining...
  2. R

    Kwa nini Mramba wa TANESCO alifukuzwa?

    Sasa hivi ndio imekuwa worse, umeme shida tupu. Huyu uliyemuweka mbona kashindwa tangu jana? Wameshindwa kabisa, wanakudanganya, hawakwambii ukweli maana utawatumbua. Total failure! Tunalala, tunashinda bila umeme
  3. R

    Moderators mbona mnawalinda viongozi wa dini

    Inasikitisha kuwa viongozi wa dini wakisemwa tu, mnafuta uzi harakaharaka. Wao ni watu wana wajibu wa kukemea haya yanayoendelea. Wacha nao wakumbushwe wajibu wao. Wanasahau kuwa Askofu Janan Luwum aliuawa ya Amin kwa mkono wake, hawako salama wasijidanganye Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    Dini na watawala

    Enzi hizo watawala wa Kiingereza na Warumi, kiongozi wa dini ndiye alikuwa mkuu wa nchi. Sheria ya kanisa ndiyo ilikuwa sheria ya nchi. Dini rasmi ya nchi ni dini ya mtawala. Msishangae kuona viongozi wa kikristu wamenyemaza na haya yote yanayotokea. Acha mengine, hata kubomolewa masikini...
  5. R

    Bomoa bomoa: Hakuna sheria ya 1932 inayotamka mita 121.5 pande zote mbili toka katikati ya barabara

    Hakuna sheria ya 1932 inayotamka mita 121.5 pande zote mbili toka katikati ya barabara. Ni Raod management Regulations za 2009 zenye vipimo hivyo. Hawa wana haki ya kulipwa, WAMEONEWA Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    Halotel haipatikani

    Jamani huko halotel internet inapatikana? Hapa hakuna sasa ni saa kama tatu hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. R

    Mh. Angela Kairuki: Kwenye vocabulary yako huna neno la matumaini kwa wafanyakazi

    Nimekufuatilia kauli zako. Zote ni vitisho, manyanyaso, ubabe, nitawafukuza, nitawafunga jela etc kwa wafanyakazi. Kweli huna neno la matumaini kwa walalahoi wako masikini. Hakuna jema walilolifanya katika utumishi wao. Katekisimu ya kikiristo au kiislamu ilitufundisha hivyo, tusiwe na huruma...
  8. R

    JF: CREATE A FORUM FOR VERIFIED USERS ONLY

    Wakubwa wa JF, mnaonaje mkianzisha forum kama hii ambayo KILA MMOJA anayejiunga awe verified ie ID yake ijulikane kwa wote. Nawaza tu! Nadhani huko kutakuwa na kweli GREAT THINKERS. Hakuna atakaye andika mambo yasiyo ya msingi, ujinga ujinga!
  9. R

    Uhakiki wa taarifa za wastaafu PPF

    Kuanzia tarehe 12/9/2016 PPF watafanya uhakiki wa wastaafu wao wanaopata mafao toka kwao. Mfahamishe na mwenzako. Source: Nimetumiwa msg toka PPF
  10. R

    An article on sedition law in modern democracy- Malaysia case

    Wadau, nawawekea hii as an attachment an article on sedition law in modern democracy- experience from Malaysia. "ukitaka kumficha mtanzania kitu just put it in writing"!
  11. R

    A bid to rid Africa of criminal defamation, sedition laws

    Let us share this to shed light on the above two laws, how the international community looks at it. Follow the link below. ====== A bid to rid Africa of criminal defamation, sedition laws The African Union's special rapporteur on freedom of expression and access to information, Commissioner...
  12. R

    Utamaduni unajengeka wa kupata vyeo

    Nakumbuka Bwana wa Mkoa wa Dar alimkwida Warioba, akapata cheo. Huyu wa Arusha alimtukana /alimdhalilsha binti Korogwe kuwa degree yake ni ya Chupi, sasa kapandishwa! Tunajenga utamaduni gani?
  13. R

    Hivi NACTE hawajafunga maombi awamu ya pili?

    Nimeingia NACTE website naona kama hawajafungu applications kwa wale ambao wameomba mara ya pili, Je hii ni kweli? Mwisho ilikuwa tarehe 13/8/2016. Mbona bado application profile iko wazi na unaweza badilisha? Tujuzane please
  14. R

    Kuhamisha clip toka computer kwenda kwenye flash

    Wataalamu, naweza kuhamisha clip toka kwenye computer kwenda kwenye flash yangu? If so nafanyaje!
  15. R

    Rais Magufuli sikiliza Mwalimu walivyokuwa wanamuona Albert Einstein Shuleni

    Albert Einstein, a man whose name is practically synonymous with genius, is one of history's greatest thinkers. As a physicist and mathematician, Einstein wasn't an inventor in the vein of Thomas Edison or Alexander Graham Bell, but his theories of relativity led to new ways of looking at time...
  16. R

    Prof. Ndalichako, usiwalazimishe watoto kusoma science

    Mh. Prof, sijui umesoma fani gani ie Arts or Science! Waache watotot wachague WANALOLIWEZA. Angalia equation hiyo hapo chini, this is absolutely abstract thinking ambayo siyo kila mmoja anayo. Najaribu kuonyesha kumlazimisha mtoto kusoma vitu vya aina hiyo! Schrodinger Equation The...
  17. R

    Tuongee asubuhi Star Tv 13.08.2016 jicho letu ndani ya habari

    Kumbe Kamara Kasyupa yuko vizuri kichwani. He has Logical arguments ,not arguing for the sake of wining the debate! He is unbiased making reference to all sides of opposition and ruling side pinpointing their strong and weak points.
  18. R

    WANASHERIA NA WAANDISHI WA HABARI LINAWAHUSU

    Kufungiwa magazeti yenu na Nape kwa kutumia sheria ya magazeti based on seditious contents of your publications can only be challenged on the grounds of unconstitutionality, short of that uonevu utaendelea kama ilivyo sasa. Nasikia mmekatazwa kuripoti habari za maandamano and the like! (Actually...
  19. R

    Tuachane na dini za kuletewa, turudi dini zetu za asili

    Hizi dini za wazungu na waarabu ni za kwao, wametuletea. Sasa tuamke turudi kwenye dini za babu zetu! Tufanye marekebisho kidogo kuondoa yale yanayopingana na haki za bindamu, democracy, and the like then tusonge mbele! Hizi za sasa zinatia ukakasi sana na Unafiki. Tumejifunza kipindi hiki kuwa...
  20. R

    Msaada kuhamisha document kutoka kwenye desktop kwenda kwenye simu

    Wapendwa, Naomba kujua namna ya kuhamisha document toka desktop kwenda kwenye simu yangu- be it HTC, Huawei, Samsung Tablet and Mi note.
Back
Top Bottom