Search results

  1. Limbukeni

    Kikwete amkacha Rostam Afrika ya Kusini

    Kikwete is a cleanse person by heart, soul and ethics he is going to be the best presdent ever for thise nation . This is the oder from the higher power let every body funga domo lake juu ya mumkashifu muheshimiwa rais kama wakritu fuaata biblia waisilam fata msaafu wapagani fuata katiba...
  2. Limbukeni

    Huduma ya Maktaba Tanzania ikoje?

    Tanzania for change msingi wake ni elimu tuu ndio mradi wetu mama maabara na videoconference lecture zitatolewa nchi nzima bure
  3. Limbukeni

    Kwa nini-SIASA?

    ndio maana tanzania for change dot gov inasema mahesabu badala ya siasa mfano mradi wetu mama wa maths for all ni kufundisha hisabati kwa level zoto ili tuwe na walimu wengi wa maths nakupata kazi kila pembe ya dunia
  4. Limbukeni

    Suala la Kitila na Mfanyakazi wake wa Ndani

    Heri ningelipa boga hicho cheo lakini sio kitila mkuMbo he was but aFter joined them he is no more
  5. Limbukeni

    Kenya (Malindi) on Fire?

    choma choma wakekuja kufanya uziizi tuu hao
  6. Limbukeni

    TANZIA Bi. Nasma Hamisi Kidogo Afariki dunia

    kila mtu atakufa kilichompa uhai ndio lkilichomuua
  7. Limbukeni

    Orodha ya wabunge bubu bungeni yawekwa hadharani

    huu mchakato wa kitoto sana wabunge wote wataongea ili waonekana wameongea tu basi.
  8. Limbukeni

    Eti ombaomba wanatutia aibu?

    Omba omba yupi huyu anayepanda ndege kila mwisho wa mwezi kwa wahisani au yupi?????!!!!!!!!!!!!
  9. Limbukeni

    Dr. Shein kuelekea 2015...

    nakupendekeza wewe naona unafaa zaidi
  10. Limbukeni

    Does bio-fuel replace food production in Tanzania?

    i wish you will have quote my ifs and only if
  11. Limbukeni

    Does bio-fuel replace food production in Tanzania?

    Hii ni dhambi kubwa sana sijui msamaha wake utapatikana vipi. Yaani watu wanakufa njaa, halafu wengine wanaendeshea mitambo na vyakula. Hii ni kufuru. Labda wahakikishe kila mtu anasaza ndio wafanye miradi hiyo. Mradi fikirivu utakaoonekana umeenda shule nionavyo mimi ni kwamba watumie...
  12. Limbukeni

    MwanaHalisi lamshinda Rostam

    Huyu jaji munuo ni jaji mbarikiwa sana sijawahi kusikia mashauri yake lakini uwamuzi huu ni wa haki iliyotukuka na nirahisi mno. Baraka na laana ni vitu rahisi na vya bure ushauri wa gharama kwa yeyote ' chunga sana kiburi chako hasa cha mali bahati mbaya mali uliyoipata isivyo halali...
  13. Limbukeni

    Misemo ya wahenga na uhalisi wake

    Utamaduni wetu umekuzwa kwa aina ya misemo mingi yenye malengo kama ifuatavyo. Kutiana moyo. Haba na haba hujaza kibaba, maonyo haraka haraka haina baraka , asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu matumaini mpanda ngazi hushuka masharti mtaka cha uvunguni sharti ainame...
  14. Limbukeni

    Obama a Very Smooth Liar

    He is just a presdent with full of bipartism agreemets. He can not only do wath he want, he can only do what they want as a team
  15. Limbukeni

    Tanzania Government to Bailout troubled Kiwila Coal Mine

    yeah Tanzania Gov to bail in mkapa
  16. Limbukeni

    Who's right? "Had have had"

    Chochote walichokubaliana kuongea ni sahihi ili mradi ujumbe uliokusudiwa ufike
  17. Limbukeni

    Critical path to ones fortune

    Everyone has a big dream of becoming a sucssesfull person in life. Ways and means differ from one person to another mostly influenced by locality. As i am concern for poor people country like us our fortune relay on weither our parents has been having a big post in the gov or private sector. In...
  18. Limbukeni

    Hoja ya Wabunge kuwa Mawaziri

    mzalendo embu tujipange upya na mambo yetu tutakoka vipi na tuanzie wapi?
  19. Limbukeni

    Mwitikio wa Serikali na Wengine juu ya Mengi kutaja mafisadi!

    watasema mpaka ithibitishwe na vyombo yva sheria kwamba wana hatia ndio serikali ichukue hatua. inakuwa je hii?
Back
Top Bottom