mara ya mwisho nilisikia akiwa anatoka jela on drug charges. Na baada ya hapo ikaelezwa kwamba amefilisika(officially). Inatia huruma. Drugs ndio shida.
Mkuu Chief Mkwawa, asante kwa updates zako. Mimi natumia simu ya Micromax Canvas Gold A300,tatizo ninalopata ni kwamba,muda wote inaniambia memory is full na siwezi ku-download any apps, wakati ina 25GB internal memory. Sijui Unawezaje kuunganisha RAM na hyo 25GB ili niweze kudownload more apps.
Much as i know, any airline can make travel arrangements for any passanger regardless of one's condition. That is why they have arrangements for even paralized/bed ridden patients.
Boflo kama ilivyo katika mapishi,ladha huendana na aina ya mapishi. So sie wengine utamu wa samaki shurti ageuzwe. Huyo wa kuchuchumia km ivo hanogi yakhe.
Watutsi wanataka kuunda the so called ''Kilimanjaro Kingdom'' yaani waitawale Afrika mashariki.Wakikamata kongo inakuwa imebaki Kenya na Tanzania,lakini hizi pia zitakuwa zimekamatwa na kutawaliwa kwa sababu katika maamuzi ya Jumuia ya afrika Mashariki zitakuwa hazina sauti. Nchi...
Zinaweza kuerekodi wakati watu wanafanya hyo kazi ya kubeba na kupakia kama mtu akiwa eneo la tukio husika. Na picha yake kutumika km ushauri-Thatz what I meant.
Ni kweli unayosema, kufanya safari ya masafa inatakiwa uwe na uzoefu wa kutosha.Kwanza hata macho kuangalia lami muda wa masaa matatu au manne huwainafikia yanachoka na hatimaye kupelekea usingizi wa ina flani ambao unaweza ukapelekea gari kutoka nje ya barabara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.