Search results

  1. doup

    Ushahidi waanza Kutolewa kuhusu madai ya kuwepo Kwa Alliens na UFO

    Kwa muda Sasa kumekuwa na mijadara hisia mingi kuhusu kuwepo Kwa viumbe wa ajabu kutoka sayari za mbali "Aliens", pamoja na technolojia yao ya usafiri almaarufu kama UFO(unidentified flying object). Dhana hii imekuwepo sana uko Marekani Kwa muda na wakeleketwa wa hii hoja wamekwenda mbali...
  2. doup

    Free Crypto Coin Mining Apps

    Bila shaka Neno crypto currency sio geni, miongoni mwetu coin maarufu ya BITCOIN ilianza mwaka 2009 ukiwa na thamani ya kutupwa lakini bada ya miaka kidogo ilifikia Hadi thamani ya $67,000. Dunia inaelekea huko hata hapa Kwetu TZ kuna fununu za miongozo kuandaliwa. Pia kuna wanadau Tayari...
  3. doup

    Ulaji wa Mafuta uliopitiliza Suzuki Escudo TL52W

    Wadau ninakimeo hicho ambacho nilikiagiza mwenyewe toka Japan Mtumbani. Tatizo kuu toka siku ya kwanza ni fuel consuption yake yaani nadhani lita 1 kwa km 6. Nimekipeleka kwa watalaam wa mtaani wamesha safisha fuel pumb, badiri plug, safisha Nosel, badili Gearbox oil na service zingine kama...
  4. doup

    LUKU Timebased TZS 6,734.40

    Jamani toka nilipofunga meter ya luku mwaka wa tatu huu. Kila naponunua umeme mwanzo wa mwezi nakatwa hiyo figure hapo juu. Mwanzo nilizani itakuwa inapungua kadri muda unavyokwenda. Kwamba ni deni lakini wapi. Naweza kupata ufafanuzi ni kitu gani hiyo. Na itakuwepo daima?
  5. doup

    Grand Challenges Canada - Stars in Global Health -

    Plz review and like if you find the idea is interesting Application: Use of Mobile phone technology to improve uptake and adherence to standard PMTCT intervention. A cluster-randomized control trial in Tanzania http://applications.grandchallenges.c a/en/viewVideo/28735E6AA7E638B1BFD2B1DC...
  6. doup

    Hivi kwanini Mahakimu uitwa Waheshimiwa

    Leo nilikuwa mahakamani , nilishangaa kuona hata hawa wauaji (polisi) na wengineo wakinyenyekea na kila mara kabla ya kuongea uanza na "muheshimiwa" nikajiuliza je nikimuita ndungu Hakimu kuna Kosa?
  7. doup

    Dunia adaa, Wanasana AKA kung'ang'ania Baada ya kuiba penzi la watu.

    Ni Huko kenya, Mwenye mali alipopewa chake tu, mnato ukaisha. gonga link hiyo hapo kwa u-tube ku-view kisa na mkasa! na jee huu ni uungwana? Man Stuck Inside After Getting Caught with Someone's Wife - YouTube http://youtu.be/gEABw7dz1N0
  8. doup

    Wizi wa aina Yake, Kuweni makini na mtoe tahadhali kwa wengine

    Jana nimesimuliwa kisa cha ajabu sana kutoka kwa jirani yangu, ambaye ni mama wa makamo wa kunizaaa hivi. Mama alikwenda kwenda kuchukua pesa kwenye ATM kwa ajili ya manunuzi ya sikukuu (kwa wenyeji njia ya kwenda Kitunda au Gongo la mboto) ni pale banana - ukonga kwenye tawi la Akiba. Basi...
  9. doup

    CDMA Modem

    jamani msaada kwa yoyote anayefahamu wapi naweza pata modem inayosuport CDMA, nina lSIM card ya TTCL. sina uhakika kama hizi modem nyingine zenye kusupport WCDMA,EDGE,HSPDA,GPS etc inaweza faa, niliyo nayo ni ya voda siwezi kuitest kwa TTCL
  10. doup

    Ndege ya Jeshi yaanguka airport Dar

    wadau nimesikia kuna ndege ya jeshi leo mchana imeanguka baada ya kushindwa kutoa matairi wakati wa kutua na kuangukia tumbo; wanajeshi wachache waliokuwemo humo wameumia. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa mdau chuo cha zima moto na uokozi;
  11. doup

    Elections 2010 kawe kimeeleweka

    mdee 43,365 angela 34,412
  12. doup

    Saloon Saloon Kwa Wakaka tu; Limited nafasi

    hapa nazani ni serengeti au huko arua https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=11415
  13. doup

    WC 2010 Matches

    Tuangalie njia ya ghana kwenda grand finale; naona ina miba kweli!
  14. doup

    Adhabu sahihi kwa marefa WC 2010

    Nafikiri hii ndio adhabu sahihi ; wachezaji wanaweza kuitoa kwa marefarii
  15. doup

    Kumbe Mzee wa Monica Lewisk Yupo Dar

    hivi kumbe Bill clinton yupo Tz; hili kombe la dunia bwana!!
  16. doup

    Wazo Jipya - Mkono mtupu Haulambwi

    Wadau nimeona ile thread ya kuchangia JF; ningependa kuchangia! details za Akaunti nimeziomeona. Angalizo: Siku hizi waTZ tunapenda sana maisha ya "REMOTE" hivyo basi wahusika wanaonaje wakituwekea hutuma ya kuchangia kwa kupitia M-PESA/ZAP. twaweza weka 500 500 mpaka hesabu ikatimia; na...
  17. doup

    Dar Weather - WeekEnd

    Utabiri wa hali ya anga mwisho wa wiki hii; JIJINI DAR Wazee wa mitoko msisahahu mwamvuli kwapani
  18. doup

    Kitchen Party - Makalio

    Waungwana kuna-kinadada wamejariwa makalio tena ya kutosha; kiasi kwamba wapitapo barabarani magari kukwaruzana ni kitu cha kawaida; yapo yaliyo tulia na yele yanayofanya fujo kweli kweli. hawa ni wale waliojaria lakini kuna wale vimbau lakini fujo zao ni mara difu ya waliojariwa. Hivi hawa huwa...
  19. doup

    Sinza -MAkaBuRINi

    Nasikiliza Leo tena ya Cloude FM; Mdau mmoja karipoti, eneo hilo limekuwa hatari sana kwa wawindaji; ukisimama tu na gari wanakuja mbio na kondom mkononi, na promo inapigwa kuna body morphological structure mbali mbali pia. mdau(Mwanamke) kilichomkwaza alimuona binti wa kati ya miaka 15...
  20. doup

    SIMBA FC - How to unsubscribe from MSG service

    Wadau kwa muda nimekuwa nikichangia SIMBA kupitia ile huduma ya ujumbe wa taarifa za klabu. Kwa sasa naona inatosha. Msaada Kwa yoyote anaye fahamu ni jinsi gani ya kujitoa ktk huduma hiyo. Asante
Back
Top Bottom