Search results

  1. angetege

    matema beach

    Si ufunguke tu hiyo shule.......maana kipindi hicho tour za Matema beach ilikua maarufu sana.
  2. angetege

    Wamasai rudini shule sasa

    Ni kweli kabisa hawa jamaaa inabidi wajipange na hali ya sasa.Kutokana na ukosefu wa ajira baadhi ya wamasai wamejiingiza kwenye mtandao wa wizi wa magari.kuna jirani yangu alikua na gari mbili rav 4 kwa ajili yake na Noah kwa ajili ya wife.Akamua kuajiri wamasai wamlindie nyumba yake.wamasai...
  3. angetege

    Sisi Wanaume Bhanaaa

    Dah!Kitu iringa moja hiyo....
  4. angetege

    Daktari Mgiriki auawa Tanzania

    Maeneo ya city centre hasa ocean road ukipita usiku ni hatari sana.Uwe kwa miguu au kwa gari ni hatari sana.Kinachoshangaza ni kwamba kituo cha polisi kipo jirani lakini hawa waharifu hata hawashughulikiwi.Kwa nini kusiwe na doria maeneo yote hatari??Na huu uporaji wa kutumia magari upo sana...
  5. angetege

    JF Imekufanyia nini katika maisha Yako?

    JF imenisaidia kuanzisha mradi wa kufuga kuku wa kienyeji na kupelekea kuongeza kipato na kitoweo cha nyumbani. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  6. angetege

    Wakaanga Chips na Kuku Maarufu jijini Dar es salaam

    Hubu tupia Jina na mahali alipo mkaanga chips na kuku maarufu jijini Dar es salaam. 1.Facebook -Msasani 2.American chips - Kinondoni 3. 4. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  7. angetege

    tabora na kigoma

    Nenda Tabora,kwani ni karibu na mikoa ya jirani.Namaanisha ukitaka kwenda Shinyanga, Mwanza au singida.Hata Dar ni safari ya siku moja.Kigoma tatizo umbali,ukiingia umeingia.Ukiwa na safari ya Dar ni siku mbili.Mwanza siku nzima.Kama ndio unasafiri kwa basi ndio utaipata fresh,tope kipindi cha...
  8. angetege

    Jamani hii kitu gani?

    Na hii je? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  9. angetege

    Jamani hii kitu gani?

    Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Back
Top Bottom