Kutokea mwenge unaifuata bagamoyoroad mpaka Boko njiapanda y'a mbweni then unaingia kushoto barabara ya mbweni mpaka mwisho WA Lami ilipo hospitali.Ni km 6 from bagamoyoroad. Inaitwa St. Joseph hosptal
Mbona mnatuhumu Makonda kama muuaji jamani acheni hizo hisia kuwa 100% kifo ni sababu ya kutumbuliwa.Makonda yuko sahihi jamani ametimiza majukumu ya kazi yake na anajua wajibu wake ndio maana hata dhamiri yake haimshtaki kwenda msibani.Kwani mtoto wako akikosea ukampa adhabu unamchukia na...
Wakuu habari Zenu! ITV wametangaza mchana huu kuna ghorofa linalotitia taratibu Kariakoo kutokana na ujenzi mbovu jirani na ghorofa hilo na kusababisha nyufa kwa jengo hilo..
Wananchi na wapangaji wa jengo linalotitia wameomba wahusika kuchukua hatua stahiki kwani wao wamejitahidi kufatilia...
Usichoke kuongeanae utetee uhai wa mtoto,mwambie kuua ni dhambi!Hiyo mimba ni binadamu aliyeumbwa na Mungu kwa sura yake na pumzi yake asisubutu mwambie nitakushitaki!
Wakuu habari zenu.
Jamani naombeni ushauri king'amuzi kizuri kwa sasa;gharama yake kwa sasa na malipo ya kila mwezi.Napenda inayoonesha local chanel bila kulipia
Ndugu yangu kwa kwa dhati kabisa nikushauri kwamba kama Mwenyezi Mungu amekuumbia mwenzi wako wa maisha usali na kumwomba akuoneshe yeye mwenyewe kwa njia yake atakayoipenda.Hii mitandao ni mizuri kwa mambo mengi lakini sikushari utumie mtandao kumtafuta binadamu mwenzio aliyeumbwa kwa ajili...
Ushindwe na ulegee hilo halitakaa litokee kamwe!Ujue ndoto yako mara nyingi ni marudio ya unayoyawaza mara kwa mara.Acha kuwaza vurugu na vita!Mambo yanaweza fanyika bila vurugu wala vita.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.