Search results

  1. P

    Elections 2010 CCM wasitegemee sana kura za vijijini uchaguzi wa keshokutwa

    ebwana uchaguzi wa mwaka huu ni noma.Siamini mazee.nimetoka kuongea na mjomba angu sasa hivi shamba.Huyu mzee ni ccm damu miaka yote.Pamoja na mambo mengine,nilimuuliza kesho kutwa kura yake ya urais atampa nani?Mzee akasema yeye na shangazi yangu(mkewe) na binamu zangu(watoto zake) kura zao ni...
  2. P

    Matatizo mengine tunajitakia?

    "Under nutrition is an underlying cause of 53% of deaths among children under five years of age in subsaharan african countries"(WHO report). sasa wakuu hii ni achilia mbali zile deaths due to infectious diseases like malaria and the likes ambazo could be prevented and cured. hoja yangu ni je...
  3. P

    Nani mwenye sifa za kufanya kazi usalama wa taifa?

    wakuu heshima mbele sana kwa mnaojua,nisaidieni kunipatia vigezo ambavyo vinaweza kumfanya mtanzania kufanya kazi usalama wa taifa.mtaani nimesikia wakisema hizi kazi huwa unachaguliwa tangia ukiwa shule ya msingi au sekondari huwezi kujipeleka mwenyewe kuomba hizi kazi.je ni kweli?je ni kweli...
Back
Top Bottom